Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harufu ya utapeli kuwa makini sana! Utalia kilio cha mbwa.Tumepata nafasi ya distributorship wa DANGOTE CEMENT tunakaribisha wawekezaji kwa kuongeza nguvu ya mtaji,karibu :0762586878. Kwa mazungumzo zaidi
Mkuu hii thread ni ya mwaka 2013 ,tena enzi za mkwere....mimi nataka kufaham kuvifata China na Dubai mpaka vinafika hapa Tanzania wapi itakukuwa gharama ipo chini zaidi
siyo kweli ni juzi ty nimetoka kuchukua khanga na shuka pale urafiki viwanda vipo bidhaa zipo tatizo nyingine zinakwenda kufanyiwa packaging nje zinaongezwa thamani.Kaka vya kwetu viko wapi ?kila kitu Mwinyi na Mkapa waliuza sasa kuna vitu gani au ni viwanda vipi vinavyozalisha Tanzania,hata vilivyopo bidhaa zake ni aghali kuliko bidhaa za nje,au kama unasema huenda tununue asali kutoka Tabora,ilaumiwe CCM na serikali yake na si wananchi ambao hawana kauli na michongo ya 10% waliyopata viongozi kwa kuuza viwanda tulivyokuwa navyo,Urafiki ,UFI vimekuwa yard za magari na nyumba za mapopo,si asavali kununua vitu Dubai bana,Tanzania iliondoka na Nyerere wacha kila mtu aangalie ustaarabu wake,pia waambie waliohodhi hela kwenye mabenki Uswisi warudishe wajenge viwanda hapa nchini ndipo tununue bidhaa made in Tanzania
Weka picha ya hiyo milangoTumemaliza misitu kwa kukata miti ovyo. Sasa tubadilike kwa kutumia technology mpya kuna milango mizuri inayopendeza na kudumu kwa muda mrefu sana ya steel. Kiwanda kipo Tanzania Dar es Salaam.
Watanzania tubadilike hii dunia ni kwa faida ya vizazi vyetu pia. Kwa mahitaji yako nipigie 0786741162.
Mkuu hivi cement ya nje ina quality nzuri ukilinganisha na yetu?Mkuu malngo mmoja, wa chuma toka china ni 300,000 - 400,000/= let say una milango 6, dirisha moja kwa laki 2 mpaka 3 let say una madirisha 10, tiles za chumba kimoja kwa laki 5, let say una vyumba 6. hujaingia chooni, rangi na uje kwenye vitanda (0.5M @),makochi (2M),fridge (1.5M) TV (1.5M) kwenye umeme na maji bado!
Kwa kifupi finishing ya kawaida ni arround 20M, inaweza ikazidi kutokana na mahitaji ya mtu binafsi! sasa chukua hiyo 20M dumbukia zako china uende ukalete first class product uone nyumba yako itakuwaje!
Wenye hela anachukua na fundi kabia, anaenda shoping akirudi baada ya 1month anahamia kwake!
Mwenye uwezo wa kununua tani 30 ambazo gharama yake ni tsh 7000,000 tunaweza kumpa faida ya 5% kila mweziMnahitaji partner mwenye capital ya angalau kiasi gani?
Mwenye uwezo wa kuwekeza kuanzia mil 7,tunaweza kumpa faida ya 5%,kila mwezi kwauda wa mwaka mzimaTunasubiri kujuzwa vigezo vya huyo mwekezaji..
Hata mil 7,tunakukaribisha Na utapata faida yako kila mweziCapital kuanzia kiasi gani!???