Sema bajet yako nikusaidie,kuna mashine za umema na mkono,na wewe inategemea upo wapi
Naomba mwenye uzoefu wa hii biashara ya kutengeneza na kuuza tofari za blogs, nguzo n.k anisaidie kuhusu kiwango cha mtaji unaotakiwa, vifaa, uendeshaji , faida na risk zake.
Naomba mwenye uzoefu wa hii biashara ya kutengeneza na kuuza tofari za blogs, nguzo n.k anisaidie kuhusu kiwango cha mtaji unaotakiwa, vifaa, uendeshaji , faida na risk zake.
Roli moja la mchanga kubwa ni tzs 120000-180,000 inategemeana uko wapi kwa hapa Dar
Mifuko 12 kwa roli moja =13500x12
Upigaji tzs 5000 kwa mfuko x 12=60000
Idadi ya tofali za biashara kwa mfuko 1 ni 55 hadi 60. Maji na upangaji wa tofari fanya 30,000/= asume 5% ya tofali zitavunjika. Fanya tofali moja utauza kwa sh800-1000. Hizo zote ni variable cost. Hapa naasume kuwa tayari una mashine na vibao vyake. Kama huna machine andaa laki 4 hadi 3.5
Ngoja nikusaidie kukuita mkuu lucky sabasaba atakusaidia
Ngoja nikusaidie kukuita mkuu lucky sabasaba atakusaidia
Huyu mkuu Luckysabasaba nimefanya naye biashara mara mbili ni mwaminifu sana, ntafungua thread yake muda si mrefu kwani kuna mahali nimeingia naona kama naingizwa chaka na ni baada ya yeye kuwa likizo kwa takribani miezi miwili.
Kumbe yuko popular sana hapa JF?Bado yuko UAE?
ni wa hapahapa, sema sku hizi haonekani online sjui amefikwa na nini lucky sabasabakumbe yuko popular sana hapa jf?
Yap ila majuzi alikua Dar