Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Salaam wakuu, binafsi nimekuwa na wazo la kufungua duka la hardware jijini Mwanza katika maeneo ambayo mji ndio unajengeka. Je, nitawezaje kupata reliable source nzuri ya mahitajio/bidhaa ili nami nijipatie faida, je ni biashara inayoweza kunilipa? Kwa wale wazoefu, ni mtaji kiasi gani unaoweza kuhitajika?
 
Biashara ya hardware ni nzuri lakini pia imegawanyika kwenye maeneo mengi Vifaa vya kuanzia ujenzi,na vyaumaliziaji ss inatakiwa ujue sehem unayotaka kufungua Vitu vyaaina gani watu wanahitaji! Na ili upate faida nzuri inatakiwa uwe na Mtaji MKUBWA vinginevyo utaishia kupata HELA yakula2!
 
Naomba mwenye uzoefu wa hii biashara ya kutengeneza na kuuza tofari za blogs, nguzo n.k anisaidie kuhusu kiwango cha mtaji unaotakiwa, vifaa, uendeshaji , faida na risk zake.
 
Sema bajet yako nikusaidie,kuna mashine za umema na mkono,na wewe inategemea upo wapi
 
Mashine za kutumia mkono zinauzwa kuanzia laki 4,mpaka tatu na nusu(Sido kipawa)tofari moja moja kuanzia nchi tano mpaka sita,pia zipo machine za haina mbalimbali za tofari,mfano luvaanz nk,juz juzi nimeona kuna kampuni nyingine inatengeneza mashine za mkono na umeme zinatoa tofari mbilimbili,ni biashara mzuri ukipata eneo zuri,
 
Unatakiwa kujua eneo ulipo Tripu ya mchanga tsh ngapi?mfuko siment je tsh,na watu wananunua tofari Tsh ngapi..maji yanapatikana kwa urais
 
Naomba mwenye uzoefu wa hii biashara ya kutengeneza na kuuza tofari za blogs, nguzo n.k anisaidie kuhusu kiwango cha mtaji unaotakiwa, vifaa, uendeshaji , faida na risk zake.

Roli moja la mchanga kubwa ni tzs 120000-180,000 inategemeana uko wapi kwa hapa Dar
Mifuko 12 kwa roli moja =13500x12
Upigaji tzs 5000 kwa mfuko x 12=60000
Idadi ya tofali za biashara kwa mfuko 1 ni 55 hadi 60. Maji na upangaji wa tofari fanya 30,000/= asume 5% ya tofali zitavunjika. Fanya tofali moja utauza kwa sh800-1000. Hizo zote ni variable cost. Hapa naasume kuwa tayari una mashine na vibao vyake. Kama huna machine andaa laki 4 hadi 3.5
 
Idadi ya tofali za biashara kwa mfuko 1 ni 55 hadi 60. Maji na upangaji wa tofari fanya 30,000/= asume 5% ya tofali zitavunjika. Fanya tofali moja utauza kwa sh800-1000. Hizo zote ni variable cost. Hapa naasume kuwa tayari una mashine na vibao vyake. Kama huna machine andaa laki 4 hadi 3.5vibao ni kuanzia 300 mbavyo ni sh laki nne hivi
 
Roli moja la mchanga kubwa ni tzs 120000-180,000 inategemeana uko wapi kwa hapa Dar
Mifuko 12 kwa roli moja =13500x12
Upigaji tzs 5000 kwa mfuko x 12=60000
Idadi ya tofali za biashara kwa mfuko 1 ni 55 hadi 60. Maji na upangaji wa tofari fanya 30,000/= asume 5% ya tofali zitavunjika. Fanya tofali moja utauza kwa sh800-1000. Hizo zote ni variable cost. Hapa naasume kuwa tayari una mashine na vibao vyake. Kama huna machine andaa laki 4 hadi 3.5

Nikiwa na milion mbili ninaweza kufanya kazi hii?
Msaada.
 
Habari JF members,

Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuwa wakala wa uuzaji wa vifaa vya ujenzi na vinginevyo vinavyohusiana na ujenzi. Hapa namaanisha mfano: cement, tanks, mabati, sink, bathtub, .n.k

Mwenye taarifa zinazohusu swala hili naomba mchango wako, kujua vigezo, masharti, n.k.

Asanteni.
 
Ngoja nikusaidie kukuita mkuu lucky sabasaba atakusaidia

Huyu mkuu Luckysabasaba nimefanya naye biashara mara mbili ni mwaminifu sana, ntafungua thread yake muda si mrefu kwani kuna mahali nimeingia naona kama naingizwa chaka na ni baada ya yeye kuwa likizo kwa takribani miezi miwili.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mkuu Luckysabasaba nimefanya naye biashara mara mbili ni mwaminifu sana, ntafungua thread yake muda si mrefu kwani kuna mahali nimeingia naona kama naingizwa chaka na ni baada ya yeye kuwa likizo kwa takribani miezi miwili.

Bado yuko UAE?
 
Back
Top Bottom