Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Kama yupo interested na hiyo biashara anaweza kuchukua nafaka mikoani akaweka stoo kuanzia mwezi wa 9 huko anaweza kupata faida nusu ya mtaji wake.

Kwa hali ya sasa biashara anayowaza huwenda isipe faida pia kwa sababu ya upya wa biashara pale anapoenda kuisimika. Yaani ataanza kazi ya kutengeneza jina la biashara yake kisha atengeneze wateja ni tofauti na vyakula huuzika kwa haraka ukiotea sehemu nzuri.
Ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli japo naomba ushauri maana kwa hyo ela yangu nategemea niwe na cement tu dukani japo kuwavuta wateja kwa mwanzo wangu na bidhaa moja tu haitakuwa rahs sana kingine bidhaa hyo Nina hofu huenda isiishe kwa mda ili kuendana na expire date.
Hakuna hela ndogo wala nyingi kwenye biashara mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli japo naomba ushauri maana kwa hyo ela yangu nategemea niwe na cement tu dukani japo kuwavuta wateja kwa mwanzo wangu na bidhaa moja tu haitakuwa rahs sana kingine bidhaa hyo Nina hofu huenda isiishe kwa mda ili kuendana na expire date.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ushauri wangu kwenye ujenzi ungeanza na vitu vinavyotembea sana sokoni,mbao,mabati,nondo,cement,misumali,mirunda,binding wire,rings etc !! Anza kidogo kidogo ukiwa na vitu hivyo kwa pamoja unateka soko mtu akija kutaka kupiga zege anachukua vitu vyote kwako na pia hata kama hauna msingi wa kutosha kuna magent wanatoa mizigo kwa mali kauli(bond)-Tafuta mdhamini uchukue bidhaa kwa mali kauli.

Hardware haifai kuwa na bidhaa ya aina moja tu.
 
Dawa za binadam au mifugo boss kama za binadamu lazima uwe mfamasia ndg

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea uko location gani. Kuna wale wenye Maduka ya dawa vijijini au nje ya mji sehemu kama kiluvya huko au mbezi ndanindani huwa hawana vyeti vya ufamasia wanamuweka nesi tu anauza.

Nafikiri kuna level zake,si maduka yote yanahitaji vyeti vya mfamasia. Hii ndio biashara pekee iliyobaki kipindi hichi,labda na duka la vyakula(unga,mchele,maharage).

Maana hata migahawa imedorora watu hawatembei kwenye mikusanyiko,ndio maana baadhi ya wenye migahawa wanaandaa take away na kuzitembeza maofisini au kwenye makazi ya watu.

Hiyo biashara ya cement uianzishe kama huitegemei kwa ajili ya kupata hela ya kula kwa sasa,yaani kama una sehem zingine za kupatia hela za kula hapo sawa.

Yaani ukiianzisha sasa hivi matokeo yake utayapata miezi 6 ijayo ndio utegemee kuanza kupata hela au wateja kuja kununua.
 
Inategemea uko location gani.
Kuna wale wenye Maduka ya dawa vijijini au nje ya mji sehemu kama kiluvya huko au mbezi ndanindani huwa hawana vyeti vya ufamasia wanamuweka nesi tu anauza.
Nafikiri kuna level zake,si maduka yote yanahitaji vyeti vya mfamasia.
Hii ndio biashara pekee iliyobaki kipindi hichi,labda na duka la vyakula(unga,mchele,maharage).
Maana hata migahawa imedorora watu hawatembei kwenye mikusanyiko,ndio maana baadhi ya wenye migahawa wanaandaa take away na kuzitembeza maofisini au kwenye makazi ya watu.
Hiyo biashara ya cement uianzishe kama huitegemei kwa ajili ya kupata hela ya kula kwa sasa,yaani kama una sehem zingine za kupatia hela za kula hapo sawa.
Yaani ukiianzisha sasa hivi matokeo yake utayapata miezi 6 ijayo ndio utegemee kuanza kupata hela au wateja kuja kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Big unaeleweka !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, habari zenu !!! Nina kiasi cha mil 10 hivi kwa sasa nategemea kuanzisha biashara ya kuagiza cement kutoka kiwandani na kuiuza rejareja ila kwa mtaji wangu huo nahisi utatosha kwa kuanzisha duka la uuzaji cement tu.

Sasa naomba mwenye mtazamo mpana kuhusu biashara hii aweze kunishauri kwa mapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fwata ushauri hapo juu hasa wa vyakula na madawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom