Bible Vs Science: Je ulimwengu una umri gani?

Bible Vs Science: Je ulimwengu una umri gani?

Kwa nininTuingize hekima za Wapinga Mungu na Uumbaji katikati ya Mahala ambapo Mungu ameshafafanua?
Kwa nininTuingize hekima za Wapinga Mungu na Uumbaji katikati ya Mahala ambapo Mungu ameshafafanua?

Ukiendelea kung'ang'ania hoja ya siku sita tunaweza kukuuliza kwa nini siku sita na isiwe sekunde au siku moja. The way tunavyohesabu muda sivyo ndivyo Mungu naye anavyohesabu. Mungu yuko nje ya Time na Space. Mwandishi Wa Genesis anatumia Jina Sita kuwakilisha tu muda tusioujua sisi aliotumia Mungu. Kwa Mungu wakati wote ni sawa. Kumbuka mambo ya Physical Universe ni kivuli cha mambo halisi katika Ulimwengu tusiouona.
 
Hafungwi na muda ni sahihi kabisa sababu yeye ndio aliumba muda. Na suala la kuumba Dunia (Earth) kwa siku mbili ni utaratibu wake mwenyewe aliojiwekea na ni kosa kuuliza swali kwanini asingeumba chini ya muda huo ? Jibu angetaka angeumba sababu yeye akisema jambo liwe linakuwa na yeye ni muweza wakila jambo.
 
Kwa Mara ya kwanza peke yako itakuwa siku utakapowekwa Mochwari.

Siku nyingine itakuwa muda wowote kabla ya kuwekwa mochwari au baada ya kuwekwa huko.
ukiwekwa mochwari ur nothing ,hujui lolote huna tofauti na gogo au jiwe kwahiyo kukutana na yoyote hapo ni uongo mzoga hauwezi kukutana na chochote
muda mwingine umesema wowote ndio muda upi huo be specific
 
ukiwekwa mochwari ur nothing ,hujui lolote huna tofauti na gogo au jiwe kwahiyo kukutana na yoyote hapo ni uongo mzoga hauwezi kukutana na chochote

Aliyekufundisha hivyo, kakaharibu kwa sababu anachukulia mwanadamu ni mwili tu,jambo ambalo ni uzushi. Mwanadamu ni mwili na Roho. Roho haifi kamwe. Na Roho ndiyo yenye ufahamu.Roho ndiyo Mind.
 
Aliyekufundisha hivyo, kakaharibu kwa sababu anachukulia mwanadamu ni mwili tu,jambo ambalo ni uzushi. Mwanadamu ni mwili na Roho. Roho haifi kamwe. Na Roho ndiyo yenye ufahamu.Roho ndiyo Mind.
umesema nitaonana naye live nikiwa mochwari ,sasa hiyo roho ndio inapelekwa mochwari?
 
umesema nitaonana naye live nikiwa mochwari ,sasa hiyo roho ndio inapelekwa mochwari?

Ili uende Mochwari lazima utengano Wa mwili na nafsi uwe umetokea. Na wakati hill linatokea lazima nafsi yako itajua tu.Hebu jaribu ku-google cases za watu ambao walikuwa proved kuwa lakini baadaye wakarudi usikie wana-share experience gani. Google "the Afterdeath Experience".
 
lazaro alifufuliwa na yesu akiwa ameshazikwa siku 4 ndani ya kaburi ,alipoulizwa kilichotokea alipokua amekufa unajua alijibu nini?
 
Quran pia imesema dunia imeumbwa kwa siku sita lakin limetumika neno sitat-ayaam kumaanisha kipind kirefu sio siku sita kama zetu...lakin pia kwa mujib wa Quran kabla ya wanadamu waliishi majin dunian kwa muda mrefu na wakamwaga damu Mungu akapitisha chukizo lake na dunia ikakaa kipind kirefu ndio akaamua kumuumba kiumbe cha kuja kuingoza dunia...so dunia ina umri mrefu...!

Labda kama hoja ni umri wa binadamu na sio umri wa dunia..! Sababu kuna ushahid dinosor kuish hapa mamilion ya miaka ba mifupa yao ipo
Sina tatizo na siku zilizotumika kuumba dunia ila napenda fahamu imepita miaka mingapi toka dunia iumbwe mpaka leo??
 
nisubiri hapohapo usiondoke

Hii hapa narration ya tukio la Ufufuko Wa Lazaro:

"Basi wale Wayahudi waliokuwapo na Mariamu nyumbani, wakimfariji, walipomwona jinsi alivyoondoka upesi na kutoka, walimfuata; huku wakidhania ya kuwa anakwenda kaburini ili alie huko.
32 Basi Mariamu alipofika pale alipokuwapo Yesu, na kumwona, alianguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
33 Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake,
34 akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame.
35 Yesu akalia machozi.
36 Basi Wayahudi wakasema, Angalieni jinsi alivyompenda.
37 Bali wengine wao wakasema, Je! Huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?
38 Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake.
39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne.
40 Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?
41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
42 Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
43 Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
44 Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
45 Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
46 Lakini wengine wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.
47 Basi wakuu wa makuhani na Mafarisayo wakakusanya baraza, wakasema, Tunafanya nini? Maana mtu huyu afanya ishara nyingi.
48 Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini; na Warumi watakuja, watatuondolea mahali petu na taifa letu.
49 Mtu mmoja miongoni mwao, Kayafa, aliyekuwa Kuhani Mkuu mwaka ule, akawaambia, Ninyi hamjui neno lo lote;"

Sijaona hayo unayoyasema.
 
mkuu sio ussher ni Mungu ndie anasema aliumba dunia kwa siku sita.
Labda hapo ipaweke sawa kuwa Mungu alimaanisha nini? siku sita lateral days au mamilioni ya miaka kwa mujibu wa wanasayansi wasioamini uwepo wake na uumbaji wake huu tunaoujadili.
Mkuu kwa umakini wako sitegemei na wewe uingie kwenye mlolongo wa kutafsiri maandiko lateral kabisa nakumbuka hata nyuma niliwahi fanya sana na ulikua mstari wa mbele kupinga hilo mfano mada ya Leviathan,Rangi ya Yesu na laana ya canaan so sitegemei kuwepo double standards.

Mfano mwanzo 33 inasema Yakobo alipigana na mtu akamshinda alafu huyo mtu akamuita Israel kisa alipigana na Mungu akashinda je hapo ni lateral kuwa alipigana na Mungu???

Pia ufunuo 5:11 inasema Namba ya malaika ni 10,000×10,000 je unaweza nisaidia kma ni lateral

Ufunuo 7 still inasema waisrael 144000 ndio watakuwa present kwenye mkutano ule je nayo ni lateral??

Labda niulize je ni wakati gani unajua Biblia iko lateral au figurative

Joshua 5:1
1 Ikawa, wafalme wa Waamori, waliokaa ng?ambo ya Yordani pande za magharibi, na wafalme wote wa Wakanaani, waliokuwa karibu na bahari, waliposikia jinsi BWANA alivyoyakausha maji ya Yordani mbele ya wana wa Israeli, hata tulipokwisha kuvuka, basi mioyo yao iliyeyuka

Back
Top Bottom