Bible Vs Science: Je ulimwengu una umri gani?

Kama Adam aliishi miaka 900 mfano, Mwaka moja wake utaanza siku aliyoumbwa, dunia ikiwa na umri wa siku tano.
Ungejenga hoja kuanziq hapo sio Ibrahim.

Kwa hesabu za John Ussher na jinsi ulivyojipambanua kwamba wewe ni YEC, kuanzia Mwaka 1 hadi mwaka 404,Mwaka unaodaiwa Dunia kuumbwa, kabla ya 404 kulikuwa na nini hasa kama dunia haikuwepo? Na kama haikuwepo inakuwaje muanze kuhesabu mwaka 1,2,3...hadi Mwaka 404?
 
unachanganya bibilia na makorokoro nje ya Bibilia mkuu. Ukiendelea hivyo utapoteza mwelekeo.

Faith and science all stem from God. Faith and science in strict sense does not contradict,all are from God. Science is regarded contradicting Faith when it explains beyond science, it violates NATURAL LAW which inscribed in our hearts.
 
Mwaka Moja kwa Sababu Bibilia imeweka Miaka ya Adamu.
maana yake kabla kuumbwa kwa adamu, dunia ilikuwa na siku tano.
hii sio huyo mdau tu, bali hata wewe ukitulia na usikwepesha mambo yaliyo wazi kwenye bibilia utagundua ulimwengu kinda ni dhana yenye mashiko kiliko zote na unapta nguvu yake humohumo bibiliani haihitaji msaada wa fikra na logic za kufikirika.
 
Nami namdhania hivyo…...
 
maana yake tangu kuumbwa kwa adamu, dunia ilikuwa na siku tano.

Kama siku Adamu anaumbwa Dunia ilikuwa na siku 5, inakuwaje unakubaliana na nadharia ya Ussher kwamba Dunia iliumbwa usiku wa Oktober, Mwaka 404? Kwani ni kipi kinaunda Mwaka? Ni Mwaka unaunda siku au ni siku zinaunda Mwaka? Inakuwaje kama umri wa Dunia ulianza na siku moja halafu ifike Mwaka 404 ndiyo Dunia iumbwe? Hii thinking ya namna gani? Mnatumia kwato kufikiri au ?
 
Faith and science all stem from God. Faith and science in strict sense does not contradict,all are from God. Science is regarded contradicting Faith when it explains beyond science, it violates NATURAL LAW which inscribed in our hearts.
kuna mantiki katika maelezo haya ila pia Sayansi inapwaya sana. Ili sayansi na Imani uzioanishe inabidi upukutishe nguvu za Mungu hadi imani zifikie kwenye sayansi. Maana Imani inavuka sayansi na kukutaka uamini unscientific biblical facts.
Mfano Kitembea juu ya Maji, Shoka Kuelea, mtu kufufuka, bahari kupasuka na kutokea njia, Punda kupiga stori na mwanadamu (baalam).

Wanachokifanya wanasayansi ni kujunguza creative work of Almight God. Ni jambo jema ila popote uchunguzi huo unapokuwa na Basis ya kumkataa creator wanaweza kukupeleka chaka. ndio maana nimekupa mfano wa wanasayansi fake wanaotumika kuhalalisha ushoga kwa kusema kuna genes za ushoga. Sasa kama wanasayansi china juzi wameweza kufanya editing ya gene za mtoto akatokea dogo flan wa ajabu, unadhani watashindwa nini kufungua maduka ya homosexual genes huko mbeleni.
hii ni tahadhari kwa msomi wa bibilia ambaye anaamini kwamba Bibilia au Maandiko Matakatifu ndio Life manual Yake. na homosexuality ni moral fall sio genes. huo ni mfano mmoja katika mingi.

hivyo katika kazi njema ya kudecode creative work ya Mungu, Tambua limitations za science, pia tambua wanaweza kutumika kama muhuri wa kumtukania Mungu na kupingia baadhi ya simplw biblical facts.
 
Ahahaaah.
Aisee!!!
Nafikiri leo kuna mtu humu jukwaani amekuambia kuna Mungu zaidi ya mmoja,lakini huyo mtu sio mimi Chief.
Usinichanganyie habari,mimi naamini Mungu ni mmoja tu.

Yawezekana bro.
Mimi Nimezingatia maelezo ya hapa chini

[Hiyo SISI katika lugha ya Kiswahili inawakilisha nafsi ya tatu katika wingi, ina maana inatumika kuelezea mtu/nafsi zaidi ya mmoja. Hivyo basi kauli hiyo inaonesha Mungu hakua peke yake kipindi anafanya uumbaji wa binadamu]

Uislamu unakataa uwili, au utatu au unne au utano kwa namna zote uwe katika nafsi, mwilli, utendaji nk.
 
Oooh.
Sasa hapa nimekupata vyema.
Kumbe kwenye uislamu hakuna tofauti ya neno MIMI na SISI!
Hapa umemaliza,sina swali tena.
 
kama umenisoma tangu mwanzo,
nimesema wazi huyo jamaa alifanya kazi yake, ila sikubaliani na tarehe na mwezi hapo amefanya speculations zilizozidi.
ila wanasayansi wote ambao wanaamini creation na dunia kuumbwa kwa siku sita, kwa kutumia uzao wa adam na miaka yao Mwanzo 4,5,11 na kujumlisha miaka kwa mujibu wa maandiko matakatifu dunia haizidi miaka 6000.
haihitaji sayansi kuamini hilo bali unahitaki kuamini matukio ya bibilia kitabu cha mwanzo sio historia zilizofichwa kama unavyotaka kutuaminisha kwa mujibu wa maelezo yako bali ni matukio na maagizo halisi.
watu wote wanaomini kama wewe kamba yale ni mafumbo popote ninapowakuta wakijenga hoja mitandanoni wengi hawamuamini Mungu na uwezo wake japo hawasemi waziwazi. human reasoning and wisdoms kwao zinanguvu kuliko plain biblical facts.
 
kama umenisoma tangu mwanzo,
nimesema wazi huyo jamaa alifanya kazi yake, ila sikubaliani na tarehe na mwezi hapo amefanya speculations zilizozidi.

Hivi mtu anapotumia Biblia kama unavyoichukulia wewe,bado mtu anaishia katika fambling kama huyo John Ussher?Nilitegemea kwa kuongozwa na hayo maandiko afikie exactly muda Wa Dunia kuumbwa. Sasa tunapoona kwamba anaishia kwenye speculation ina maana kwamba John Ussher alifanya mambo ya Usangoma tu kama akina Miller.
 

Kwa tafakari yangu, ni kuwa ulimwengu ulikuwako kabla ya hizo siku sita, LAKINI ULIKUWA HAUNA UHAI KWANI ULIKUWA HAUNA MWANGA, so siku sita za uumbaji ni siku ZA KUANDAA UHAI WA VIUMBE HAI WA MAJINI NA ARDHINI, MAANA Dunia ilikuwapo (Alishaiumba kwenye Mwanzo 1:1-3) so uumbaji wa kuanzia 1:3 ni kuandaa mazingira ya kuweka vimbe hai
 
Huu ni Upumbavu tu Mkuu, wa kutumia Maandiko vibaya, Bila Kufanya Reference.
Ikumbukwe Mungu ni ROHO, Hivyo kama Tumeumbwa kwa Image yake maana kuwa Tunafanana kwa Roho sio Kwa Sura; Na Roho haina Jinsia, Ukitafsiri kwa Ivi nadhani hao wanaohalalisha Ushoga wameamua tu kuwa na Shingo Ngumu.
 
Wanaangalia umri wa bodies kongwe zaidi kwenye universe pamoja na rate ya expansion ya universe
 
Idea kama zile licha kuwa na mapungufu, zipingwe kwa maandiko aliyotumia, au wanayotumia pro-creation scientists kwamba dunia haina miaka mamilioni bali miaka kama angalau elfu sita based to biblical genealogy ya Adam.
sasa naomba ujenge hoja kutokea kwenye bibilia kudenounce idea kuwa Dunia ni kinda inamiaka maelfu na sio mamilioni ili akili zichekechwe vizuri.

Sasa hizi za kisayansi PingaMungu utaziaminije mkuu kuwa ziko sahihi kuliko ukokotozi wa kibibilia ikiwa hypothesis zake zinakana uwepo wa Mungu na Uumbaji wenyewe.
huoni kama unaingia mkenge ikiwa tutashindwa kujenga hoja biblically. Kama kusema kuna Ideas nje ya Bibilia sikatai ila lazima ziumane na Biblical truth au scriptural ideas ili zilete maana vinginevyo tutakuwa tunatembea kwenye sakafu potoshi.
 
nakupa miaka michache ijayo utasikia mengi kutokea kwenye bibilia kuliko hilo la Ushoga.
Ila uelewa wetu tukiutia nanga kwenye bibilia hakuta kuwa na kuyumbayumba na kukopakopa ideas huko kwa wenye hekima wa babeli.
 
asante kwa maoni, mtazamo na tafakari mkuu.
 

MY FINDINGS:

Sahih Muslim 5246: Aishah said: Jibril (Gabriel) made a promise with the Messenger of Allah to come at a definite hour; that hour came but he did not visit him. There was a staff in the hand of the Messenger of Allah. He threw it from his hand and said, "Never does Allah back out of His Promise, nor do His messengers." Then he noticed a puppy under his bed and said, "O 'Aishah, when did this dog enter?" She said: "By Allah, I don't know." He then commanded that it should be turned out. No sooner than had they expelled it, Jibril came and the Messenger of Allah said to him, "You promised to visit me. I waited for you but you did not come." Whereupon he said: "The dog kept me from coming. We do not enter a house in which there is a dog or a picture.”

MATANGO PORI:

Khadija au AISHA??
Mbwa Mfu au MBWA HAI??
Wiki Kadhaa au MASAA KADHAA??
Malaika wanaogopa au HAWARUHUSIWI??

Note: Biblia waachieni wenye nayo:
Kama wenye nayo Biblia ndiyo hawa basi kuna aliyewaroga! Si bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…