Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

Msaada ndugu, wa io Sala na wengne tuifaham..tupo gzanπŸ¦‰
 
Kwanini nyerere aliamua kutumia Mwenge iliyolaaniwa badala ya kutumia taa ili kuwamulikia walio gizani?

Sala ya Mwenge Ina maana gani?

Kwanini tunatumia mabilioni ya pesa kila mwaka kwa ajili ya Mwenge?
Kwanini mikesha ya mwenge huambatana na ulevi na ngono? Je mwenge huamsha hamu ya zinaa?
 
Kwenye hayo maandiko nuru inaashiria upako na utukufu wa kimungu, nuru pia inamwashiria Yesu mwenyewe kama nuru ya ulimwengu. Acha kabisa kuhusianisha hayo maandiko na huo uchawi wenu wa moto usije pigwa laana kwa kupotosha mafundisho ya Mungu Mwenyezi...
 
Naomba umjibu Kiranja Mkuu maswali yake
 
mama D ndugu yangu kitenge na laana.
Usiutete wala kuukumbatia uovu, tubu uokolewa
 

Kila kitu kikitumika vibaya ni laana

Biblia katika hilo andiko wamelaaniwa wautumiao mwenge kama silaha, Nyerere aliutumia mwenge kuwa tendo la imani katika kutimiza unabii.

Hata wewe mwenyewe ukitumia hivyo viungo vyako vya mwili usivyostahili ni laana


 
mama D ndugu yangu kitenge na laana.
Usiutete wala kuukumbatia uovu, tubu uokolewa

Hakuna laana kwenye mwenge wa uhuru wa Tanzania, kuna laana kwenye kuutumia mwenge kama silaha

Sikiliza sala ya mwenge wa uhuru wa Tanzania ujue tofauti
 
Hey Bujibuji kila utawala na tamaduni zake..kiukweli mambo ya biblia sijui quran sio taratibu za kiafrika ni vile tu tumetawaliwa na wenye hizo biblia(wazungu) na waarabu(quran) kwahiyo hiyo laana haiwezi kutupata sisi sio asili yetu ..what if mzungu asingekuja kutawala ungeijua biblia?,hakuna cha laana wala nini tutoleeni upumbavu watu wenyewe na dini zenu mnabishana kila siku nani yupo sahihi na wakati mnaabudu Mungu mmoja sasa kwanini mtofautiane misimamo na wakati Mungu ni mmoja?
 

Sisi tumekwisha uwasha mwenge
 
Hakuna laana kwenye mwenge wa uhuru wa Tanzania, kuna laana kwenye kuutumia mwenge kama silaha

Sikiliza sala ya mwenge wa uhuru wa Tanzania ujue tofauti
Soma Biblia Kiswahili cha kale uone
 

Watakua wanaumizwa sehemu na huu mwenge sio bureπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sababu hata sababu za kuwasha huu mwenge zipo na zinaibwa lakini hawazijui

 
Soma Biblia Kiswahili cha kale uone

Hiyo nimesoma, na wewe soma hata biblia ya kiingereza labda utaelewa nilichokuambia na utaelewa pia maana ya hili tendo la kuwasha mwenge


Katika maandiko matakatifu kuna mafundisho, maagizo na unabii
Kwa mafundisho tunajifunza, kwa maagizo au amri tunatekeleza na unabii unatimizwa

Sababu ya Mungu kutuleta duniani ni kuja kutimiza kazi zake. Kila mtu ni mtume wa Mungu kwa nafasi yake, na tukifuata Mungu alichotutuma kwa kuisikiliza sauti ya tutatimiza hata unabii uliowahi tabiriwa. Hata wewe hapo ulipo unaweza kukuta unatimiza unabii either kwa kujua au kutokujua

Kwa kuuwasha mwenge Nyerere alikua anatimiza unabii ulioandikwa kwamba
Isaya 9: 2
Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza.

Tukumbuke wakoloni waliotutawala waliwekeza sana Kilimanjaro kwenye huduma za kijamii kama mashule, mahospitali, mahoteli, kilimo, makanisa...... Nyerere hakuishia kuwasha tuu mwenge kama tendo la imani. Bali aliweza kuisambaza ile nuru kutoka Kilimanjaro kwa kuhakikisha vijana wa ule mkoa wanasambazwa nchi nzima ili kueneza kile walichokua nacho kupitia mashule na ajira. Na hii ilisaidia sana kuvunja ukabila, matabaka na kuleta upendo na umoja.
Huo ndio unabii wa mwenge wa uhuru

Mwenge wa Tanzania haukuwashwa ili utumike kama silaha au uabudiwe, bali uliwashwa kama tendo la imani katika kuleta nuru na matumani kwa nchi yetu na majirani

2Petro 1: 19 - 20
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.



 
Watakua wanaumizwa sehemu na huu mwenge sio bureπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sababu hata sababu za kuwasha huu mwenge zipo na zinaibwa lakini hawazijui

Wafuasi wa Chadema wengi huwaa hawana sera wanaanzisha lolote lile halafu walivyo wapumbavu wanasapotiana...Biblia asili yake ni huko uzunguni kivipi wajiwekee misingi yao wao kwamba anayeabudu mwenge ana laana halafu hiyo laana itupate sisi??..ndio maana wahindi wana miungu yao na wamekataa huu upumbavu wa kuwa watumwa japokuwa kwenye biblia hizohizo wameandika usiabudu miungu mingine lakini wahindi wanaabudu kama kawaida na blessings over blessings zinakuja kwa nchi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…