A physical object inayowashwa kwa moto wa kiberiti inakuletea matumaini na heshima kwa mechanism gani hasa kama hakuna ibada ya kishetani inayofanyika hapo. Maana nuru ya kwenye maandiko uliyo quote siyo hii inayotolewa na hili dubwasha mnalokimbiza kila kona kama nilivyoeleza hapo juu....Sisi tumekwisha uwasha mwenge
Wafuasi wa Chadema wengi huwaa hawana sera wanaanzisha lolote lile halafu walivyo wapumbavu wanasapotiana...Biblia asili yake ni huko uzunguni kivipi wajiwekee misingi yao wao kwamba anayeabudu mwenge ana laana halafu hiyo laana itupate sisi??..ndio maana wahindi wana miungu yao na wamekataa huu upumbavu wa kuwa watumwa japokuwa kwenye biblia hizohizo wameandika usiabudu miungu mingine lakini wahindi wanaabudu kama kawaida na blessings over blessings zinakuja kwa nchi yao
Soma historia jinsi Mwenge ulivyopatikana, aliutoa ibilisi mwenyewe.Hiyo nimesoma, na wewe soma hata biblia ya kiingereza labda utaelewa nilichokuambia na utaelewa pia maana ya hili tendo la kuwasha mwenge
Katika maandiko matakatifu kuna mafundisho, maagizo na unabii
Kwa mafundisho tunajifunza, kwa maagizo au amri tunatekeleza na unabii unatimizwa
Sababu ya Mungu kutuleta duniani ni kuja kutimiza kazi zake. Kila mtu ni mtume wa Mungu kwa nafasi yake, na tukifuata Mungu alichotutuma kwa kuisikiliza sauti ya tutatimiza hata unabii uliowahi tabiriwa. Hata wewe hapo ulipo unaweza kukuta unatimiza unabii either kwa kujua au kutokujua
Kwa kuuwasha mwenge Nyerere alikua anatimiza unabii ulioandikwa kwamba
Isaya 9: 2
Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza.
Tukumbuke wakoloni waliotutawala waliwekeza sana Kilimanjaro kwenye huduma za kijamii kama mashule, mahospitali, mahoteli, kilimo, makanisa...... Nyerere hakuishia kuwasha tuu mwenge kama tendo la imani. Bali aliweza kuisambaza ile nuru kutoka Kilimanjaro kwa kuhakikisha vijana wa ule mkoa wanasambazwa nchi nzima ili kueneza kile walichokua nacho kupitia mashule na ajira. Na hii ilisaidia sana kuvunja ukabila, matabaka na kuleta upendo na umoja.
Huo ndio unabii wa mwenge wa uhuru
Mwenge wa Tanzania haukuwashwa ili utumike kama silaha au uabudiwe, bali uliwashwa kama tendo la imani katika kuleta nuru na matumani kwa nchi yetu na majirani
2Petro 1: 19 - 20
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
A physical object inayowashwa kwa moto wa kiberiti inakuletea matumaini na heshima kwa mechanism gani hasa kama hakuna ibada ya kishetani inayofanyika hapo. Maana nuru ya kwenye maandiko uliyo quote siyo hii inayotolewa na hili dubwasha mnalokimbiza kila kona kama nilivyoeleza hapo juu....
Soma historia jinsi Mwenge ulivyopatikana, aliutoa ibilisi mwenyewe.
Wazungu wenyewe walipelekewa injili ya kristo na mtume Paulo ambaye ni myahudi, mafanikio yanayotokana na ibada za kimiungu huko india unakosema siyo blessings kutoka kwa Mungu Mkuu, ni mafanikio ya kimiungu au ya kiibilisi........Mungu Mwenyezi siyo ng'ombe anayeabudiwa na wahindi, tambua hilo......Wafuasi wa Chadema wengi huwaa hawana sera wanaanzisha lolote lile halafu walivyo wapumbavu wanasapotiana...Biblia asili yake ni huko uzunguni kivipi wajiwekee misingi yao wao kwamba anayeabudu mwenge ana laana halafu hiyo laana itupate sisi??..ndio maana wahindi wana miungu yao na wamekataa huu upumbavu wa kuwa watumwa japokuwa kwenye biblia hizohizo wameandika usiabudu miungu mingine lakini wahindi wanaabudu kama kawaida na blessings over blessings zinakuja kwa nchi yao
Umetafuta backing kwenye maandiko ya biblia ukagonga mwamba, endelea na upotevu wako bibie......ila kuwa makini kupotosha watu wengine maana utawabebea adhabu zao.Punguza povu maana ni kama mwenge unakuchoma hadi kumoyo
MWENGE ni object inayotumika kuamsha ari za watanzania kama KENGELE inavyotumia makanisani na ADHANA inavyotumika miskitini
Usiendeele kuumia maana tumekwisha uwasha mwengeπ π π
Kwa hiyo Mwenge tuliokatazwa nao sio huo wa CCM?Ili ibilisi wenu aupinge mwenge lazima aje na uongo. Hilo andiko leno ndio ushetani wenyewe
Hata Mtume Mohammad SAW na Yesu walitungiwa uongo mwingi tuu na bado kazi ikaendelea
Na ndio hivyo mwenge ushawashwa na nuru, amani, matumaini vimeshaene
Kwa hiyo Mwenge tuliokatazwa nao sio huo wa CCM?
Umetafuta backing kwenye maandiko ya biblia ukagonga mwamba, endelea na upotevu wako bibie......ila kuwa makini kupotosha watu wengine maana utawabebea adhabu zao.
Ndo maana pombe na ngono huwa vinatamalaki sana pale usiku kuzunguka mwenge kama ishara ya kupata amani, furaha na matumaini.......yaani unapata amani ya mungu mwenge.Kasome andiko ulilonakili liko wazi kabisa kukemea matumizi ya mwenge kama silaha
Huu wetu tangu enzi unahubiri amani, furaha, matumaini
Unabii wa mwenge wa tanzagiza umetajwa kwenye maandiko yapi bibie, na Nyerere kama nabii katajwa kwenye vitabu vipi? tuanzie hapo kwanza.....Wewe nawe mzito sana kuelewa
Katika maandiko matakatifu kuna mafundisho, maagizo na unabii
Kwa mafundisho tunajifunza, kwa maagizo au amri tunatekeleza na unabii unatimizwa
Sababu ya Mungu kutuleta duniani ni kuja kutimiza kazi zake. Kila mtu ni mtume wa Mungu kwa nafasi yake, na tukifuata Mungu alichotutuma kwa kuisikiliza sauti ya tutatimiza hata unabii uliowahi tabiriwa. Hata wewe hapo ulipo unaweza kukuta unatimiza unabii either kwa kujua au kutokujua
Kwa kuuwasha mwenge Nyerere alikua anatimiza unabii ulioandikwa kwamba
Isaya 9: 2
Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza.
Tukumbuke wakoloni waliotutawala waliwekeza sana Kilimanjaro kwenye huduma za kijamii kama mashule, mahospitali, mahoteli, kilimo, makanisa...... Nyerere hakuishia kuwasha tuu mwenge kama tendo la imani. Bali aliweza kuisambaza ile nuru kutoka Kilimanjaro kwa kuhakikisha vijana wa ule mkoa wanasambazwa nchi nzima ili kueneza kile walichokua nacho kupitia mashule na ajira. Na hii ilisaidia sana kuvunja ukabila, matabaka na kuleta upendo na umoja.
Huo ndio unabii wa mwenge wa uhuru
Mwenge wa Tanzania haukuwashwa ili utumike kama silaha au uabudiwe, bali uliwashwa kama tendo la imani katika kuleta nuru na matumani kwa nchi yetu na majirani
2Petro 1: 19 - 20
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
Ndo maana pombe na ngono huwa vinatamalaki sana pale usiku kuzunguka mwenge kama ishara ya kupata amani, furaha na matumaini.......yaani unapata amani ya mungu mwenge.
Unabii wa mwenge wa tanzagiza umetajwa kwenye maandiko yapi bibie, na Nyerere kama nabii katajwa kwenye vitabu vipi? tuanzie hapo kwanza.....
Kwenye mwenge haziwezi kuondoka kwa sababu ni sehemu ya ibada yake, umenielewa? haya kazi iendelee....Ukiweza kuanza kukemea pombe na ngono kwenye maisha yako binafsi, kwenye nyumba yako, familia yako, ukoo wako na mtaa wako utakua umelisaidia sana taifa sababu hata kwenye mwenge zitaondoka
KAZI IENDELEE
Sijaona mahali hayo maandiko yamemtaja Nyerere kama nabii, wala hayajataja unabii wa mwenge kutokea nchini tanzagiza....Maandiko nimekuwekea muda sana. Una tatizo la kusoma bila kuelewa wewe
Kwenye mwenge haziwezi kuondoka kwa sababu ni sehemu ya ibada yake, umenielewa? haya kazi iendelee....
Siyo wote wako huko, ila hayo mambo kufanyika kuuzunguka mwenge na shamra shamra mbalimbali ni part and parcel ya ibada ya kishetani inayohusisha moto. Kasome habari za yule mungu ndama aliyechongwa na waisreali, wakacheza, wakala, wakanywa kumzunguka huyo mungu ndama na kufanya naye mapatano ya amani..............haya mambo hatukurupuki bibie tupo nondo hasa......Walevi wote na wapenda ngono huwa wako kwenye mbio za mwenge!? Jiongezage buana, wewe mkubwa ujue.....
Ibada ya mwenge iko kwenye maneno haya yakiendana na uzinduzi miradi ya maendeleo.
Hutaki hama nchi