Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maneno kaandika mungu mwenyewe au binadamu?Habari wadau.
Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
View attachment 3023751
Imeloa njoo ujibu hoja hukuHabari wadau.
Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
View attachment 3023751
Imeloa njoo ujibu hoja huku
Wameandika binadamu wanaodai walitumwa na Mungu.Hayo maneno kaandika mungu mwenyewe au binadamu?
Mtumwa ni mtumishi wa kutumwa kazi au mwajiriwaKwa kweli aje atufafanulie. Maana inaogopesha kama Mungu ndie anasema hayo
Mtumwa ni mtumishi wa kutumwa kazi au mwajiriwa
Wayahudi kujenga uchapa kazi ndio walipewa Hilo Kwao Walikuwa hawaoani Wala kuchangamana na watu wasio wayahudi .Hivyo Hiyo Sheria iliwekwa ili mtu awe mchapa kazi akiajiriwa na myahudi mwenzie
Hadi Leo wenyewe Kwa wenyewe wakiajiriana bosi kumtandika vibao mwajiriwa myahudi mwenzie mvivu au alikosea sio shida Kazini ila akiwa mgeni au wako nchi zingine na waajiriwa sio wayahudi hawapigi .Ila wao kwa wao Iko Hadi Leo ndio maana vigumu kukuta myahudi mvivu Kazini tofauti na Sisi waswahili
Ukimuadhibu mtoto wako na asiathirike, akawa mzima, Kuna Mtu atakushtaki?
Sasa embu itokee umemuadhibu na akafa... Unaujua mtiti wake? Ndio maana ya maneno hayo;
View attachment 3023856
hapa unaongelewa msaafu?Kinacho shangaza sana ni kwamba hii misaafu ya kidini haijazuia, kulaani wala kukataza utumwa na ndio maana hii misaafu kwenye maeneo mengine waga inaacha maswali mengi yasiyo na majibu.
hapa unaongelewa msaafu?