Andiko lipi mkuu..
Soma Kutoka 21 : 20 – 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andiko lipi mkuu..
😭DaahHabari wadau.
Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
View attachment 3023751
Biblia ni kitabu cha mambo yaliyoandikwa na watu, mambo ambayo mengi ni ya kutungwa na watu tu.Habari wadau.
Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
View attachment 3023751
Hata msaafu nao mtumwa anaonewa sana. Tena msaafu umeruhusu hadi kumgonga. mtumwa wa kike
Sahih Bukhari na Sahih Muslim pia zina hadith pia za Mtume mwenyewe kuwagonga watumwa wa kike
Biblia ni kitabu cha mambo yaliyoandikwa na watu, mambo ambayo mengi ni ya kutungwa na watu tu.
Quran pia ni hivyo hivyo.
Ndiyo maana vitabu hivi vina contradictions nyingi sana.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Exodus 21:16"Anyone who kidnaps another and either sells him or still has him when he is caught must be put to death.icho kitabu kinaonyesha janja janja ya wakoloni tu kutufanya watumwa ndiomana kina wa defend wao tu with that evidance inafikilisha kama maneno ya mungu kwel
Biblia imekuwepo zaidi ya miaka 2000 ukoloni hata miaka 300 haunaicho kitabu kinaonyesha janja janja ya wakoloni tu kutufanya watumwa ndiomana kina wa defend wao tu with that evidance inafikilisha kama maneno ya mungu kwel
Kila unalolisema litawekwa ushahidi dhidi yako
Usiongee bila ushahidi
Waafrika wenyewe ndio walipenda kuchukuliwa utumwani mbona hawarudi Africa sasa.
Maalim nilikuona pale Bunju A kwenye mkutano wa Ndasha Ukijaribu kutoa ufafanuzi wa Aya za Quran.😃Kila unalolisema litawekwa ushahidi dhidi yako
Usiongee bila ushahidi
Yesu alikuja kukomesha baadhi ya sheria kandamizi za wayahudiExodus 21:16"Anyone who kidnaps another and either sells him or still has him when he is caught must be put to death.
Exodus 21:16Kinacho shangaza sana ni kwamba hii misaafu ya kidini haijazuia, kulaani wala kukataza utumwa na ndio maana hii misaafu kwenye maeneo mengine waga inaacha maswali mengi yasiyo na majibu.
Kimekuwepo kabla ya kuwepo wakoloniicho kitabu kinaonyesha janja janja ya wakoloni tu kutufanya watumwa ndiomana kina wa defend wao tu with that evidance inafikilisha kama maneno ya mungu kwel
Huyu sio Mkristo ni wakala wa shetani.
Biblia ni msitu mnene........watu hawaiamini ila wazungu wakiwaambia mlikua nyani mnaamini.
kila mtu hujibu the way alivoelewa na kwa mifano hai,, hakuna sehem nimehamisha hoja,ila wewe unataka nijibu vile wewe unataka,,,,soooo ingependeza ungejibu wewe hivo😎🤏🏾😌,,,watumwa wa kwenye vtabu vya history walipigwa na kwenye Bible wanapigwa pia.Hapo unaamisha hoja. Kwa kutunga mwenyewe maneno yako.
Mfano hapa ni Nani amesema kwamba anaamini binadamu tulikuwa nyani ?
Changia hoja ya biblia iliyoletwa humu. Kwa kujibu hoja hiyo.