Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

Tuko kwenye Kipindi cha Agano Jipya au Kipindi cha Neema SIYO Kipindi cha Torati (Agano la Kale)!
Yote yaliyoandikwa katika Torat na Manabii yalitimilizwa pale Msalabani kwa Kifo cha Yesu Kristo na kufufuka siku ya Tatu,
(Mathayo5:17-18)
(Luka16:16-17)
(Luka24:44-48)
Kwa hiyo tangu hapo mpaka leo ni Habari NJEMA za Uzima wa Milele zinahubiriwa siyo Habari MBAYA za Torati(Mauti)!
Ndiyo kusema mtu haruhusiwi kumpiga mtumwa wake kama ilivyokuwa enzi za Torati.
 
Mbona umekatisha 21 haujaiweka?. Huku post ya mtoa mada inasema 20-21
Screenshot_20240623-160038_1.jpg

20,21,22 hiyo hapo

Bado nasisitiza mtoa mada amekurupuka
 
If you think the entire Bible is all about Israel, most likely you've been reading a different book.

Even if literal Israel were the central theme in the Scriptures, having a few of them that still abide by the faith still would not matter.

Lucifer sinned in the very abode of God, when he was occupying one of its highest and holiest positions.

Judas betrayed his very Master, just as some people today deny the existence of their Creator.

Back to Israel, the fact of the matter is that there are countless spiritual Israelites who have never bowed down to Baal (to borrow the Lord's own words).
 
Tuko kwenye Kipindi cha Agano Jipya au Kipindi cha Neema SIYO Kipindi cha Torati (Agano la Kale)!
Yote yaliyoandikwa katika Torat na Manabii yalitimilizwa pale Msalabani kwa Kifo cha Yesu Kristo na kufufuka siku ya Tatu,
(Mathayo5:17-18)
(Luka16:16-17)
(Luka24:44-48)
Kwa hiyo tangu hapo mpaka leo ni Habari NJEMA za Uzima wa Milele zinahubiriwa siyo Habari MBAYA za Torati(Mauti)!
Ndiyo kusema mtu haruhusiwi kumpiga mtumwa wake kama ilivyokuwa enzi za Torati.

Je Mungu wa agano la kale sio Mungu wa leo hii ? Mungu anabadilika badilika hana msimamo hajielewi leo hii tuna Mungu mpya ?

Why agano la kale lipo kwenye biblia za leo hii ?

Amri kumi za Mungu leo hii hazifai maana Mungu wa agano la kale kabadilka ?

Je Mungu wa Musa na ibrahim leo hii sio Mungu wetu tena ?

Bwana Yesu alisema mwenyewe kuwa “hakuna yodi moja wala nukta moja ya torati itakayoondoka (soma Mathayo 5:18)”… Na Zaidi sana alisema hakuja kuitangua torati bali kuitimiliza.

Mistari ya biblia imeandika

Mathayo 5:17 “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie”.
 
Tuko kwenye Kipindi cha Agano Jipya au Kipindi cha Neema SIYO Kipindi cha Torati (Agano la Kale)!
Yote yaliyoandikwa katika Torat na Manabii yalitimilizwa pale Msalabani kwa Kifo cha Yesu Kristo na kufufuka siku ya Tatu,
(Mathayo5:17-18)
(Luka16:16-17)
(Luka24:44-48)
Kwa hiyo tangu hapo mpaka leo ni Habari NJEMA za Uzima wa Milele zinahubiriwa siyo Habari MBAYA za Torati(Mauti)!
Ndiyo kusema mtu haruhusiwi kumpiga mtumwa wake kama ilivyokuwa enzi za Torati.

70c4986c889beed26361bfa8d40d8582.png
 
Amekurupuka vipi wakati image uliyoweka inayasema yale yale ambayo mtoa mada anayasema. Ama husomi ulichoki attach ?
Akkimpiga akifa ataadhibiwa. Na asipo kufa hatoadhibiwa. Bado hiyo haitoi maana kwamba ni ruksa kumpiga mtumwa.
 
It is not a big deal we as Christians our father is Abraham who is also the father of Jews

We are followers of a Jew Jesus Christ whose father ia Abraham who is also our father

We respect diversity in our family As children of the same father Abraham

we respect each other's faith and tolerate each other

We are united as a family despite our difference in beliefs

Pains of Jews is our pains as children of same family of our Father Abraham

Whether they are christians or not they are our relatives they respect us and we respect them and we live in peace despite our difference in faith ana nobody can separate us in our relationship whether they accept Christianity or not

We respect them as family members as sons and daughters of Abraham

Our relationship is not belief based never
 
Acha janja janja. Yaani sio ruhusa kumpiga. Lakini ukimpiga hasipofariki hupewi adhabu yoyote, Mungu hana noma na wewe ukimpiga mtumwa wako. Ila unasema hajaruhusu umpige. Na mstari wa kumpiga kauweka kwenye biblia kabisa
 
If you think the entire Bible is all about Israel, most likely you've been reading a different book.

Even if literal Israel were the central theme in the Scriptures, having a few of them that still abide by the faith still would not matter.

Lucifer sinned in the very abode of God, when he was occupying one of its highest and holiest positions.

Judas betrayed his very Master, just as some people today deny the existence of their Creator.

Back to Israel, the fact of the matter is that there are countless spiritual Israelites who have never bowed down to Baal (to borrow the Lord's own words).
A God who only spoke to Israelites is not Universal God, But he was created by those same people (Israelites)

That's why in the bible you can't find in any chapter, God spoke to Tanzanians, kenyans, Ugandans etc...

If there's only one universal God, Africans wouldn't need a book (Bible) which tries to tell us about God.
 
Acha janja janja. Yaani sio ruhusa kumpiga. Lakini ukimpiga hasipofariki hupewi adhabu yoyote, Mungu hana noma na wewe ukimpiga mtumwa wako. Ila unasema hajaruhusu umpige. Na mstari wa kumpiga kauweka kwenye biblia kabisa
Mstari upi huo unasema mtumwa apigiwe?
 
It is not a big deal we as Christians our father is Abraham who is also the father of Jews

We are followers of a Jew Jesus Christ whose father ia Abraham who is also our father

We respect diversity in our family As children of the same father Abraham

we respect each other's faith and tolerate each other

We are united as a family despite our difference in beliefs

Pains of Jews is our pains as children of same family of our Father Abraham

Whether they are christians or not they are our relatives they respect us and we respect them and we live in peace despite our difference in faith ana nobody can separate us in our relationship whether they accept Christianity or not

We respect them as family members as sons and daughters of Abraham

Our relationship is not belief based never
Real Jews are not likely to have peace or agree with Christians because they dislike them and spitting on them is a tradition.
 
We Christians live peacefully with Jews

Problem is with Muslims they pretend that their faith came from the son of Abraham Ishmael a jew and recognize Jesus a jew as a Prophet but the hate Jews and want to kill all of them

We as Christians we respect jews as our brothers and sisters

Also Jews respect us they don't harm us or have enimity with us

We too we don't have enimity with them

Only Muslim fools that hate Jews and pretend that there faith is Abrahamic faith

How can you hate your brother and sister a jew because he or she doesn't believe what you believe

Muslims are hopeles
 
I'm not sure where the concept of Muslims comes into this discussion.

But Mr. Shotocan, it's important to note that Muslims are the true brothers of Christians, and Jews are putting a lot of effort into breaking this bond.
 
Jews have no problem with any other faith because Christians and Muslims roam around to seek new followers to convert them join their faith

To be a jew and be a member of their Jewish faith you don't need to be converted from other faith whether from Muslim or Christian faith you must be a born Jew from a jew mother

We Christians we have understood them problem remains with Muslims with their hate to Jews because they are not of their faith

Hopeless Muslim Iran nation with their Ayatollah even swears to wipe out the nation of Israel

We as Christians all over the world we will stand with our brothers and sisters of Israel Even though we differ in our beliefs
We can't accept Jews to be wiped out by hopeless Muslim fanatics never ever
 
Back
Top Bottom