Je akimpiga na asipokufa biblia imesemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je akimpiga na asipokufa biblia imesemaje?
Mbona umekatisha 21 haujaiweka?. Huku post ya mtoa mada inasema 20-21
Inasema bwana wake hataadhibiwaJe akimpiga na asipokufa biblia imesemaje?
If you think the entire Bible is all about Israel, most likely you've been reading a different book.
Tuko kwenye Kipindi cha Agano Jipya au Kipindi cha Neema SIYO Kipindi cha Torati (Agano la Kale)!
Yote yaliyoandikwa katika Torat na Manabii yalitimilizwa pale Msalabani kwa Kifo cha Yesu Kristo na kufufuka siku ya Tatu,
(Mathayo5:17-18)
(Luka16:16-17)
(Luka24:44-48)
Kwa hiyo tangu hapo mpaka leo ni Habari NJEMA za Uzima wa Milele zinahubiriwa siyo Habari MBAYA za Torati(Mauti)!
Ndiyo kusema mtu haruhusiwi kumpiga mtumwa wake kama ilivyokuwa enzi za Torati.
Tuko kwenye Kipindi cha Agano Jipya au Kipindi cha Neema SIYO Kipindi cha Torati (Agano la Kale)!
Yote yaliyoandikwa katika Torat na Manabii yalitimilizwa pale Msalabani kwa Kifo cha Yesu Kristo na kufufuka siku ya Tatu,
(Mathayo5:17-18)
(Luka16:16-17)
(Luka24:44-48)
Kwa hiyo tangu hapo mpaka leo ni Habari NJEMA za Uzima wa Milele zinahubiriwa siyo Habari MBAYA za Torati(Mauti)!
Ndiyo kusema mtu haruhusiwi kumpiga mtumwa wake kama ilivyokuwa enzi za Torati.
Akkimpiga akifa ataadhibiwa. Na asipo kufa hatoadhibiwa. Bado hiyo haitoi maana kwamba ni ruksa kumpiga mtumwa.Amekurupuka vipi wakati image uliyoweka inayasema yale yale ambayo mtoa mada anayasema. Ama husomi ulichoki attach ?
It is not a big deal we as Christians our father is Abraham who is also the father of Jews
Akkimpiga akifa ataadhibiwa. Na asipo kufa hatoadhibiwa. Bado hiyo haitoi maana kwamba ni ruksa kumpiga mtumwa.
A God who only spoke to Israelites is not Universal God, But he was created by those same people (Israelites)If you think the entire Bible is all about Israel, most likely you've been reading a different book.
Even if literal Israel were the central theme in the Scriptures, having a few of them that still abide by the faith still would not matter.
Lucifer sinned in the very abode of God, when he was occupying one of its highest and holiest positions.
Judas betrayed his very Master, just as some people today deny the existence of their Creator.
Back to Israel, the fact of the matter is that there are countless spiritual Israelites who have never bowed down to Baal (to borrow the Lord's own words).
Mstari upi huo unasema mtumwa apigiwe?Acha janja janja. Yaani sio ruhusa kumpiga. Lakini ukimpiga hasipofariki hupewi adhabu yoyote, Mungu hana noma na wewe ukimpiga mtumwa wako. Ila unasema hajaruhusu umpige. Na mstari wa kumpiga kauweka kwenye biblia kabisa
Real Jews are not likely to have peace or agree with Christians because they dislike them and spitting on them is a tradition.It is not a big deal we as Christians our father is Abraham who is also the father of Jews
We are followers of a Jew Jesus Christ whose father ia Abraham who is also our father
We respect diversity in our family As children of the same father Abraham
we respect each other's faith and tolerate each other
We are united as a family despite our difference in beliefs
Pains of Jews is our pains as children of same family of our Father Abraham
Whether they are christians or not they are our relatives they respect us and we respect them and we live in peace despite our difference in faith ana nobody can separate us in our relationship whether they accept Christianity or not
We respect them as family members as sons and daughters of Abraham
Our relationship is not belief based never
Mstari upi huo unasema mtumwa apigiwe?
We Christians live peacefully with JewsReal Jews are not likely to have peace or agree with Christians because they dislike them and spitting on them is a tradition.
I'm not sure where the concept of Muslims comes into this discussion.We Christians live peacefully with Jews
Problem is with Muslims they pretend that their faith came from the son of Abraham Ishmael a jew and recognize Jesus a jew as a Prophet but the hate Jews and want to kill all of them
We as Christians we respect jews as our brothers and sisters
Also Jews respect us they don't harm us or have enimity with us
We too we don't have enimity with them
Only Muslim fools that hate Jews and pretend that there faith is Abrahamic faith
How can you hate your brother and sister a jew because he or she doesn't believe what you believe
Muslims are hopeles
Jews have no problem with any other faith because Christians and Muslims roam around to seek new followers to convert them join their faithI'm not sure where the concept of Muslims comes into this discussion.
But Mr. Shotocan, it's important to note that Muslims are the true brothers of Christians, and Jews are putting a lot of effort into breaking this bond.
Daaah inafikirisha sana,tuendelee kuamini tunavyoamini🤗Wameandika binadamu wanaodai walitumwa na Mungu.
Wengine wanadai walishushiwa na Mungu