Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

Kwa kweli aje atufafanulie. Maana inaogopesha kama Mungu ndie anasema hayo
Mtumwa ni mtumishi wa kutumwa kazi au mwajiriwa

Wayahudi kujenga uchapa kazi ndio walipewa Hilo Kwao Walikuwa hawaoani Wala kuchangamana na watu wasio wayahudi .Hivyo Hiyo Sheria iliwekwa ili mtu awe mchapa kazi akiajiriwa na myahudi mwenzie

Hadi Leo wenyewe Kwa wenyewe wakiajiriana bosi kumtandika vibao mwajiriwa myahudi mwenzie mvivu au alikosea sio shida Kazini ila akiwa mgeni au wako nchi zingine na waajiriwa sio wayahudi hawapigi .Ila wao kwa wao Iko Hadi Leo ndio maana vigumu kukuta myahudi mvivu Kazini tofauti na Sisi waswahili
 
 
Ukimuadhibu mtoto wako na asiathirike, akawa mzima, Kuna Mtu atakushtaki?

Sasa embu itokee umemuadhibu na akafa... Unaujua mtiti wake? Ndio maana ya maneno hayo;
 

Attachments

  • Screenshot_20240623-132737.jpg
    172.2 KB · Views: 1
Kinacho shangaza sana ni kwamba hii misaafu ya kidini haijazuia, kulaani wala kukataza utumwa na ndio maana hii misaafu kwenye maeneo mengine waga inaacha maswali mengi yasiyo na majibu.
 
Kinacho shangaza sana ni kwamba hii misaafu ya kidini haijazuia, kulaani wala kukataza utumwa na ndio maana hii misaafu kwenye maeneo mengine waga inaacha maswali mengi yasiyo na majibu.
hapa unaongelewa msaafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…