Mwanadamu ujue anajihisi kwamba anajua sana, ana akili nyingi, au anataka kujijua zaidi, na kutambua kipande chake cha maisha, historia na uwezo au Power (utawala) aliokuwa nao kabla ya hapa..
Mwanadamu mpaka sasa, kulingana na maendeleo ya kiteknolojia na ukuaji wa akili, anaamini kuwa muda wake wa kujua, kudadisi na kujifikiria ndio huu, umefika.
Mwanadamu wa sasa anafanya uumbaji, anatengeneza AI mbalimbali ambazo zinarahisisha na kuongeza spidi ya maendeleo exponentially, Space crafts, ISS, Supercomputers, etc
Mwanadamu anaweza hadi kupossess some spiritual powers, kuzungumza na waliotangulia, kujua na kuelewa mambo makubwa zaidi ya kiroho na kuyafanya yamnyanyue juu zaidi...mifano hai ni watu maarufu, wasani, wachezaji mpira akina ronaldo na messi, na kadhalika, na kadhalika.
So, hili swali linaonekana gumu kidogo kwa sababu ni suala la muda tuu, mwanadamu atakua mungu mtu, kama ilivyoandikwa katika Biblia.
Biblia ni user manual ya mwanadamu, na mwanadamu ni machine ya Mungu.
So, kwa ufupi ni kwamba, Mungu ni Fundi wa mwanadamu...na ndio, yupo..alikwepo na atakuwepo, milele na milele.
Ulimwengu wa Mungu ni wa milele, ilanulimwengu wa mwanadamu...naaah
Ulimwengu wa maroboti (ambayo yametengenezwa na mwanadamu) unaweza kuwa wa milele, maana bado mwanadamu mwenyewe anaendelea kupambana kuutafuta umilele..
Acheni uboya, Mungu yupo..shauri lenu..
Kwa wanadamu wanaoendelea kujidanganya ujinga kuwa hakuna Mungu, swali langu ni hili..ni lini mwanadamu atapata umilele kwenye maisha yake?
Jibu ni hapana,
Mwanadamu alipataga umilele wa maisha miaka hiyo, ila Creator akamaindi, akamchekecha na kumuachia miaka mia hapoo..kwa sababu ya mambo hizihizi za aakili nyingi..
Unadhani hata milima ya Olympus kule Mars imetokana na nini? Mars ni sayari ya vita...na pale alikaaga mtawala wa Solar system yote hii, enzi hizo dunia ndio ilikua Venus..
Kwa wataalamu wa unajimu nadhani wanajua mambo haya, na hata zile historia za mchongo za wagiriki zinagusiagusia kidogo mambo haya..