Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Unaelewa ulichoandika yeye ndo kristo mnayemfuata ,ukisema mimi mkristo unamfuata kristo ...Je yeye atakuwaje mkristo wakati nyie ndo mnaemfuata?

kwa hyo unataka kusema Mungu wenu ni mkristo?
Umeisha potea hata hukumbuki ulinipinga kitu gani.

Nimesema Yesu ndie mwanzilishi wa Ukristo. Kwasababu wafuasi wake wanaitwa wa kristo.
Kwahiyo wafuasi tunaitwa Wakristo na tunae mfata anaitwa Kristo.

Usichoelewa nini sasa hapo ?
 
😂😂😂Yesu hakuanzisha ukristo

👇👇👇

Act 11 26-27

"Alipompata, alimleta Antiokia. Nao wote wawili walikaa na lile kanisa kwa mwaka wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. Huko Antiokia, ndiko, kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo"

Hapo ndo ukristi ulianzishwa na bwana paulo.
 
Nilitaka kukuonyesha yesu alisema kumuabudu bwana yenu na sio kumwabudu yeye (kristo) kwa kujiita wakristo.

Bwana yenu ni Mungu mmoja sio yesu.
 
Tutaenda na bible kama ilivyo au sio ,

Haya mwana mwanae kama mnavyochukulia sasa tuje👇👇

Sisi sote ni wana wa Mungu kutokana na bible kwa mantiki yesu alitumwa kama kiumbe cha Mungu ila sio mwana wa kumzaa nikiwa na maana hata Adam ,yakobo , ibrahimu ni wanae pia.

Warumi 8 16-17

"Ni Roho mwenyewe anayeshuhudia pamoja na roho zetu kwamba sisi ni wana wa Mungu"

Hii ikiwa na maana kwamba sisi na yesu ni level moja katika utukufu kama tutafuata yale yote ya Kumpendeza Mungu basi na sisi ni watoto wa Mungu .

Kwa nn mnamtukuza yesu pekeake ? wakati bible ipo clear wote ni watoto wa Mungu?
Mungu wa Ibrahimu alitamka waziwazi Kwa Yesu, hakuna mwanadamu au malaika aliyewahi itwa na Mungu wa Ibrahimu, kuwa ni Mwana wake wa pekee kama ilivyoandikwa.

Waebrania 1:5,9-10
[5]Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote,
Ndiwe mwanangu,
Mimi leo nimekuzaa?
Na tena
Mimi nitakuwa kwake baba,
Na yeye atakuwa kwangu mwana?
For unto which of the angels said he at any time, Thou art my Son, this day have I begotten thee? And again, I will be to him a Father, and he shall be to me a Son?

YESU KRISTO NDO WA PEKEE ALIYEITWA MWANAYE MPENDWA NA MUNGU MWENYEWE, HAKUNA NABII WALA MTUME WALA MALAIKA AMBAYE MUNGU ALITAMKA KWA KINYWA CHAKE KUWA NI MWANAYE MPENDWA.

Mathayo 3:16-17
[16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
And lo a voice from heaven, saying, This is my beloved Son, in whom I am well pleased

HATA MUSA HAKUITWA HIVYO.
HATA ELIYA HAKUITWA HIVYO.
HATA ISAYA HAKUITWA HIVYO.
HATA DAUDI HAKUITWA HIVYO.

NIONYESHE MAHALI AMBAPO MUNGU WA IBRAHIMU ALISEMA KWA MTU YEYOTE WAZIWAZI MBELE ZA WATU HAYO MANENO NDO TUENDELEE NA MJADALA.

Sisi ni wana wa Mungu ila hatujawahi ambiwa waziwazi na mbele za watu wote. Daudi , Mungu alimuita mtumishi wangu. Musa aliitwa mtumishi wangu. Ila Yesu aliitwa, Mwana ampendaye, Mwana wa Mmiliki.
 
😂😂😂Yesu hakuanzisha ukristo

👇👇👇

Act 11 26-27

"Alipompata, alimleta Antiokia. Nao wote wawili walikaa na lile kanisa kwa mwaka wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. Huko Antiokia, ndiko, kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo"

Hapo ndo ukristi ulianzishwa na bwana paulo.
Paulo alitumwa na nani kufanya kazi aliyoifanya ?
 
Nilitaka kukuonyesha yesu alisema kumuabudu bwana yenu na sio kumwabudu yeye (kristo) kwa kujiita wakristo.

Bwana yenu ni Mungu mmoja sio yesu.
Shida yenu waislamu mnajifanya mnaijua na mnaielewa sana biblia kuzidi sisi wakristo.

Mkristo akisema Bwana unajua anamaanisha nini ?
 
Umeisha potea hata hukumbuki ulinipinga kitu gani.

Nimesema Yesu ndie mwanzilishi wa Ukristo. Kwasababu wafuasi wake wanaitwa wa kristo.
Kwahiyo wafuasi tunaitwa Wakristo na tunae mfata anaitwa Kristo.

Usichoelewa nini sasa hapo ?
Amelishwa matango pori madrasa.

Atuonyeshe sehemu ambapo Nabii yeyote wa Biblia , Mungu alimtamkia waziwazi kuwa ni Mwanaye Mpendwa.

Sisi wote ni Wana wa Mungu ila sio yule Mwanaye Mpendwa na hatukuambiwa na Mungu waziwazi kama Yesu.
 
Shida yenu waislamu mnajifanya mnaijua na mnaielewa sana biblia kuzidi sisi wakristo.

Mkristo akisema Bwana unajua anamaanisha nini ?
😂😂Sitaki kukuharibia nilikuambia tukijibu kwa kutumia bible humo ndani kuna mikanganyiko mingi.

Mfano ule yesu ni mtoto wa Mungu then wanasema tena "sisi wote ni watoto wa Mungu.".
 
😂😂Sitaki kukuharibia nilikuambia tukijibu kwa kutumia bible humo ndani kuna mikanganyiko mingi.

Mfano ule yesu ni mtoto wa Mungu then wanasema tena "sisi wote ni watoto wa Mungu.".
Tuonyeshe Nabii hata mmoja ambaye Mungu ALITAMKA waziwazi Mbinguni kuwa ni Mwanaye Mpendwa.

Yesu alitamkiwa hivi tena katika kitabu Cha Luka
Luka 9:34-35
[34]Alipokuwa akisema hayo, lilitokea wingu likawatia uvuli, wakaogopa walipoingia katika wingu hilo.
While he thus spake, there came a cloud, and overshadowed them: and they feared as they entered into the cloud.
[35]Sauti ikatoka katika wingu, ikisema, Huyu ni Mwanangu, mteule wangu, msikieni yeye.
And there came a voice out of the cloud, saying, This is my beloved Son: hear him.
 
Acha uongo maana unakinzana na maandiko kama una hakika yesu alianza ukristo leta andiko naslimu

Jamani tulikuwa tunabishana kwamba yesu alikuwa mkristo au laah .
😃😃😃 Ukiwa mlopolopo uwe na kumbukumbu.

Muanzilishi wa ukristo ni nani ?

Ukasema kama Yesu alianzisha Ukristo basi utaslimu.

Go ahead sasa
 
😂😂Sitaki kukuharibia nilikuambia tukijibu kwa kutumia bible humo ndani kuna mikanganyiko mingi.

Mfano ule yesu ni mtoto wa Mungu then wanasema tena "sisi wote ni watoto wa Mungu.".
Omba msaada usaidiwe, ujuaji hauta kusaidia.

Mathayo 13:13-14
[13]Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.
[14]Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema,
Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa;
Kutazama mtatazama, wala hamtaona.

Wewe muislamu unaujua Ukristo kuzidi sisi wakristo??? Haiwezekani.
 
Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,
Biblia ndio kitabu kikongwe kuliko vyote Duniani.

Unafahamu Pyrgi Gold Tablets, unafahamu Nag Hammadi Library, unafahamu Etruscan Gold Book, unakifahamu Diamond Sūtra.

Nenda kasome kama mwalimu wako wa Sunday school alikuaminisha hivyo pole ILA nenda kasome au njoo nikupe vitabu vitavyofungua akili yako iliyojazwa uongo kuhusu mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na nguvu zote.
 
😅🤣Hinduism ni dini yenye vitabu vya zamani kuliko dini yoyote...if shida ni vitabu au story za zamani ukristo imecopy dini za wayahudi, dini za wagiriki, wapersia na hata wahindi. Issue ya utatu ni ya wahindi, story ya Adam na Eve na Noah's ark ni ya Gilgamesh, kuumbwa kwa udongo ni china, tower of babel ni Babylon, Jesus ndo kabisa karibia miungu yote ya Asia na Europe ilizaliwa bikra ikafanya miujiza na ikafufuka. Tena wengine baada ya siku tatu kabisa. 🤣Afu unasema bible ni original. Dini ya ukristo ni bonge la wizi yaani

Yaani katika watu weupe kichwani ni huyo unayemjibu hana anachojua na tukisema tuanze kuchambua hivyo vitabu ataona HIYO biblia yake jinsi inavyo loose kwa kukopi stori.

Mkuu inabidi tushushe uzi unaoelezea haya mambo hawa watoto waliokalilishwa Sunday school na madrasa wanashida sana.
 
Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano...

01. Upendo vs Maovu
Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k
Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi

Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa kupigana na taifa.

Vyanzo vingi mbalimbali vya kivita.

Serikali za kifalme zilifanya mambo gani hapo zamani.

Visa vya vita kubwa hapa duniani na sababu zake.

watu wenye nguvu na ukuu.

Mali au utajiri umeleta mfalakano makubwa sana kati ya mtu na mtu.

Mabadiliko ya hali ya hewa njaa na majanga tofauti tofauti yameelezwa.

02. Nielezee kidogo uumbaji wa mwanadamu ulikuaje kwa Mujibu wa biblia.
Mwanzo 1:26-27

[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Hii sura ya Kwanza ni roho ya mwanadamu ndio ilifanywa na Mungu.

Lakini katika sura ya pili ndio tunaona Mwili ukitengenezwa.
pamoja na nafsi.

Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

kwahiyo.
Binadamu ni
01. Roho
02. Mwili
03. Nafsi.

Ukiwa na elimu hii ni mwanzo mzuri sana wa kujua vitu vingi kuhusu...

Mambo ya rohoni na Mambo ya mwilini au
Ulimwengu wa roho na Ulimwengu wa mwili.

Sijui kama kuna kitabu kingine chenye majibu mengi sana ya maswali yangu na wengine pia kama mnamaswali.

Kama kutakua na kitabu kingine ningependa kukifahamu niweze kukisoma pia.

Uwe na Amani na furaha nafsini.

Don't forget to Meditate 🧘‍♂️
Na hata mfumo mzima wa Maisha ya Mwanadamu yameandikwa mule

hakika hchi kitabu kinatufunza na kutujenga kimaarifa na ufahamu wetu kukua
 
Back
Top Bottom