Tutaenda na bible kama ilivyo au sio ,
Haya mwana mwanae kama mnavyochukulia sasa tuje👇👇
Sisi sote ni wana wa Mungu kutokana na bible kwa mantiki yesu alitumwa kama kiumbe cha Mungu ila sio mwana wa kumzaa nikiwa na maana hata Adam ,yakobo , ibrahimu ni wanae pia.
Warumi 8 16-17
"Ni Roho mwenyewe anayeshuhudia pamoja na roho zetu kwamba sisi ni wana wa Mungu"
Hii ikiwa na maana kwamba sisi na yesu ni level moja katika utukufu kama tutafuata yale yote ya Kumpendeza Mungu basi na sisi ni watoto wa Mungu .
Kwa nn mnamtukuza yesu pekeake ? wakati bible ipo clear wote ni watoto wa Mungu?
Mungu wa Ibrahimu alitamka waziwazi Kwa Yesu, hakuna mwanadamu au malaika aliyewahi itwa na Mungu wa Ibrahimu, kuwa ni Mwana wake wa pekee kama ilivyoandikwa.
Waebrania 1:5,9-10
[5]Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote,
Ndiwe mwanangu,
Mimi leo nimekuzaa?
Na tena
Mimi nitakuwa kwake baba,
Na yeye atakuwa kwangu mwana?
For unto which of the angels said he at any time, Thou art my Son, this day have I begotten thee? And again, I will be to him a Father, and he shall be to me a Son?
YESU KRISTO NDO WA PEKEE ALIYEITWA MWANAYE MPENDWA NA MUNGU MWENYEWE, HAKUNA NABII WALA MTUME WALA MALAIKA AMBAYE MUNGU ALITAMKA KWA KINYWA CHAKE KUWA NI MWANAYE MPENDWA.
Mathayo 3:16-17
[16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him
[
17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
And lo a voice from heaven, saying, This is my beloved Son, in whom I am well pleased
HATA MUSA HAKUITWA HIVYO.
HATA ELIYA HAKUITWA HIVYO.
HATA ISAYA HAKUITWA HIVYO.
HATA DAUDI HAKUITWA HIVYO.
NIONYESHE MAHALI AMBAPO MUNGU WA IBRAHIMU ALISEMA KWA MTU YEYOTE WAZIWAZI MBELE ZA WATU HAYO MANENO NDO TUENDELEE NA MJADALA.
Sisi ni wana wa Mungu ila hatujawahi ambiwa waziwazi na mbele za watu wote. Daudi , Mungu alimuita mtumishi wangu. Musa aliitwa mtumishi wangu. Ila Yesu aliitwa, Mwana ampendaye, Mwana wa Mmiliki.