Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Nilijifunza elimu ya siku za mwisho, nimeona vitu vingi sana na nikagundua usipokua msomaji ni rahis sana kupata elimu ya uwongo bila kujua.
Biblia ni kitabu kinachokupa uwezo wakupambanua mambo ya kiroho na kimwili
 
Una uhakika gani sisi tumekua watumiaji tuu?

Unajua maisha yaliyopita mtu mweusi ndio alikuwa na uwezo wote?

Unajua kuwa Mzungu alikua mtumwa hukohuko ulaya??

Unajua watu waliishije kipindi cha mapyramid yanajengwa? Au kipindi cha early civilization ya mwanadamu miaka zaidi ya elfu ngapi iliyopita?

Unafahamu dunia ilikuaje kipindi cha utawala wa mansa musa?

Au mfalme sulemani?

Kuna vingi hujui kwa sababu kimwili bado historia haijagusia..hata kidogo..au inapalasa tuu

Sayansi imegundua hivi karibuni maisha kwenye kona za arctic yalivyo miaka milioni mbili iliopita via mabaki ya dna ya zamani...

We all know nothing, tofauti yegu i pale tunapotaka kujua...
 
Hii elimu umetoa wapi ?

Yani mimi nikitamani kunywa bia, basi kitendo cha kunywa bia nakua nafanya ibada shehe ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Ulikuwa hujui?
Hiyo ni ibada ya shetani.... au hujui kama pombe ni haramu?
Chochote cha haramu ni cha kishetani.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Biblia kwa sehemu kubwa inakufundisha Tabia ya Mungu.

Katika tukio lililomkuta Yakobo ni kwamba alishindana na mjumbe wa Mungu ambae ni Malaika, sasa jiulize Yakobo alikamatana vipi na huyo Malaika na kudai baraka
alikuwa na uwezo mkubwa wa kutawala ulimwengu wa roho.
Tukio hilo lilikuwa ni spirital realm na sio physical realm

Ni tabia ya Mungu Kumpa mwanadamu kuchagua.

Musa aliambiwa na Bwana kuwa niangamize Waisraeli wote kisha nikufanye wewe kuwa taifa lakini Musa alikataa na kupinga alichosema Bwana.

Hiyo ni Tabia Ya Mungu Tunajifunza kupitia maandiko ya Biblia.
 
Aaah bana, usiweke maneno yako kwenye biblia.

Sogea mbele hapohapo mstari wa 30, jisomee:

30 Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.



Huwa najiuliza huko kati kati ya mapaja alivuta ninihii za Mungu huko?

Aisee, huyu mruzi wa biblia ni bonge la komedian.

Kuna nyingine ile ya David katakiwa apeleke magovi 100 iwe ndiyo mahari, unaikumbuka?

Dah, wacha Waislam wayaondowe kabisa utotoni, yasije yakawa mahari za watu.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.

 

Nyie wafia dini kiama chenu lini?
 
Mimi sijaona kinachochekesha mbona.
wakisema uso kwa uso, unaelewa Mungu na yeye alipeleka uso wake wenye macho na mapua kama yako kuongea na Yakobo 🀣🀣

Atheist wengi wanauliza swali kuwa Kama Mungu yupo kwanini anaruhusu uwovu na watu kunyimwa haki zao.

Kwahiyo sio kila jambo baya kwenye masikio ya binadamu basi limetokana na Shetani na sio kila jambo zuri kwenye masikio ya binadamu basi limetokana na Mungu.

Elimu hii huna kabisa.

Biblia ndio kitabu pekee kinachofundisha Tabia ya Mungu kwa upana mkubwa sana.
 
Biblia ni neno la MUNGU lililoandikwa. maana yake ni kwamba Biblia ni wazo la MUNGU lililowekwa katika maandishi.ubarikiwe mleta Uzi.



YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Mwokozi wa nini!?
Dunia imetekwa?
 
Sio kweli.

Biblia haiwezi kutoa majibu, badala yake inakuongezea maswali zaidi kama utadhani ni uhalisia.

Yaani swali unakuwa nalo moja au mawili, ukiisoma biblia yanakuwa 500.

Hivyo nashauri watu tujihadhari na usomaji wa vitabu hivi vya hadithi kwa kuvitilia umaanani.
Unaweza kusoma kama sehemu mojawapo ya kutafuta burudani ya kazi ya fasihi.
 
Ibada ni lile tendo la Kuabudu.

Kuabudu maana yake ni - hisia au maonyesho ya heshima kwa Mungu.

Nimegoogle mkuu.
Mpaka hapa hichi kipengele umeshindwa.

Biblia imeshindwa kuelezea vipi ndoa ifungwe, vipi mtu afanye ibada, bali hata kuzika imeshindwa kuelezea. Sasa vipi Biblia itumike au kiwe kitabu kilicho elezea mafungano ya mwanadamu ?

Kadhalika kwenye suala la Biashara, vipi mtu auze na kununua.
 
Acheni uboya, Mungu yupo..shauri lenu..

Kwa wanadamu wanaoendelea kujidanganya ujinga kuwa hakuna Mungu, swali langu ni hili..ni lini mwanadamu atapata umilele kwenye maisha yake?

Jibu ni hapana,
Kama jibu ni hapana what next?

Hiyo ndiyo inafanya mungu awepo?
Mwanadamu alipataga umilele wa maisha miaka hiyo, ila Creator akamaindi, akamchekecha na kumuachia miaka mia hapoo..kwa sababu ya mambo hizihizi za aakili nyingi..
Unaweza thibitisha haya madai yako,

Unaeeza kuthibitisha uwepo wa Mungu!?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Twende taratibu.

Leta maana ya ibada kwanza, sio unapinga tu bila sababu.

Wanafunzi wako watafeli mtihani sasa.
Mimi maana niliyoleta nimeipatia Google πŸ˜ƒ nimesearch nikaipata kirahis
 
Umesoma ndugu.
Kuna Mambo mengi ya kujifunza kwenye historia ya Mahusiano ya Mungu na Mwanadamu.

Utawala ni Siasa inayohusisha Nguvu za kiroho.
Ndio maana wengi wanasema kushinda uongozi kwa maneno tu sio rahis, lazima kuwe na nguvu fulani nyuma yako.

Huwezi elewa dunia inakwendaje bila kutafuta uelewa wa mambo ya rohoni na nguvu za kiroho.
 
It is not a physical eyes, it is spiritual eye.


Understand it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…