Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Ukiitaka biblia iendane na maisha ya sasa ni kuitaka iruhusu ushoga pia. Sasa itakuwaje siku ya hukumu?! Ndiyo maana walioishi miaka mingi iliyopita au watakao ishi miaka mingi ijayo biblia ni ileile na upanga uleule. Mwanaume hata akioa wanawake 10 bado atataka aongezewe mpaka sasa Mungu kwanini akusikilize?! Alimuumba adamu akampa mke mmoja, Yesu anasema Musa kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu lakini toka mwanzo haikuwa hivyo. Michepuko ni uasherati ambao biblia inautambua kama zambi.kuachana ni kwa walioshindwa ambao pia ni zambi.wanaoachana sio mpango wa Mungu kiufupi ni kwamba shetani ameshawaweza. Avumiliaye mpaka mwisho ndiye atakayepewa taji. Biblia sio batili kwetu sisi wakristo lakini inaweza kuonekana batili kwa dini nyingine hilo sikukatalii kama ambavyo wakristo wanaweza kuona vitabu vingine ni batili
 
kwani ni wakina nan wana agano la kale na jipya.

Ambao wanasema agano la kale halitumiki sio nyie kweli?

Kwa hiyo mbona mnasema nguruwy alikatazwa agano la kale ,jipya hamna tatizo ?

Natumia bible yenyewe kukuonyesha mikanganyiko humo ndani.
 
Mr. Mwamedi alifundisha habari ya Ustarabu kuwa, usikojoe mahali popote,
akashauri ukitaka kukojoa kakojoe majalalani.

Sasa nakuuliza swali kwa zama hizi ukikojoa kwenye Dampo la takata, unafikir watu tutakuchukuliaje...

Ukiwa sokoni unawauliza watu jalala liko wapi nataka nikakojoe. Ndugu watakupima akili 😃😃😂😂😂😂


Yapo mengi sana yalifundishwa na Muhammad ambayo ahaya kazi na inatakiwa kufanya editing kubadili kilichofundishwa.

Yesu kusema kwa mifano na Mafumbo hakuwa mjinga.
 
😂😂😂Mbona tunaishi na hakuna kesi yaani ni katiba nzima kila kutu tunarejea kule ..
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hatarii! Sisi sio mabubu sasa kwanini tukae kimya wakati tumekutana? Nimefafanua kwamba huwa tunakutana kama ilivyo desturi ili kuonyana na kufundishana.tutafundishanaje bila kuongea?! Maandiko yanasema kwa moyo mtu huamini kwa kinywa mtu hukiri
 
😂😂😂Mbona tunaishi na hakuna kesi yaani ni katiba nzima kila kutu tunarejea kule ..
Tujadili vitu vya msingi, maswala ya kulazimishana kuvaa nguo kama gunia, nikikimbia nilishike kama dela. 🤣😅

Sitakuwa na muda wa kukusikiliza kwa hayo.
 
Jamani mbona mnavaa vipensi😂😂si ndo mabadiliko yenyewe hao
 
kwani ni wakina nan wana agano la kale na jipya.

Ambao wanasema agano la kale halitumiki sio nyie kweli?

Kwa hiyo mbona mnasema nguruwy alikatazwa agano la kale ,jipya hamna tatizo ?

Natumia bible yenyewe kukuonyesha mikanganyiko humo ndani.
Hata ujio wa Yesu ulitabiriwa agano la kale. Wakristo tunatambua agano la kale vyema kabisa. Agano la kale lilisema atakuja masihi kuwakomboa watu wake ndiye Yesu sasa. Hata hilo la ndoa moja ni Yesu alietukumbusha hiyo kweli iliyokiwepo kabla dhambi haijaingia. Yeyote atakaye mwamini ataupata uzima wa milele
 
Biblia Sio kitabu cha mungu Ndio maana kimeshindwa kuwaweka waumin wake pamoja na kimekuwa rahisi kuchakachulika

Mi kitabu kilichotungwa na watu kwa utashi wao na matakwa binafsi

Quran inabaki kuwa kitabu cha kipekee na cha muongozo kwa ulimwengu mzima ndo maana kimebaki kama kilivyo toka asili yake
Hakuna agano la zaman wala jipya

Na wakristo wengi wafuata quran bila wao kujua
Mfano swala la kuoa na mfumo mzima wa maisha wanaoishi kula,kuoga,kulala nk
 
kasome kumbukumbu torati 12 5-7
 
Jamani mbona mnavaa vipensi😂😂si ndo mabadiliko yenyewe hao
Usijali tunasoma zamani watu walikuwa wanatembea uchi kabisa. Wakavaa magome ya miti. Ukristo ni mambo ya rohoni .utaratibu upo kwaajili yangu mimi na sio mimi kwaajili ya utaratibu.
 
Usijali tunasoma zamani watu walikuwa wanatembea uchi kabisa. Wakavaa magome ya miti. Ukristo ni mambo ya rohoni .utaratibu upo kwaajili yangu mimi na sio mimi kwaajili ya utaratibu.
Yesu alitembea uchi? maana ndo uzao wake na ndo mnamfuata nyie 😂😂
 
Yesu alitembea uchi? maana ndo uzao wake na ndo mnamfuata nyie 😂😂
Unaweza kufanya huu mjadala bila kufanya dhihaka kama hauto jali,. Afu kama nlivyosema ukristo ni mambo ya rohoni itakuwa ngumu sana kwa walio wa mwilini kuelewa mambo ya rohoni. Kama uko interested sana unaweza ku join ili ujue kwa fahamu zako. Na moja zaidi ni kwamba ukristo sio dini japo ulimwengu unatutambua kama dini ya kikristo hiyo inatufanya tusipendelee kukaa kwenye majukwaa ya mabishano ya kidini. Hatujui mengi kuhusu dini kwakuwa tunaamini maisha baada ya duniani zaidi.
 
Sijafanya dhihaka umeingia katikati ndo tatizo lako ,umedandia gari kwa mbele na siwezi kufanya dhihaka.

Alisema watu walitembea uchi huko zamani ,sasa ukianzia historia ya yesu ambaye yey ndo anamfuata nikamuuliza je yesu alitembea uchi?

Jibu ni kwamba "hapana" kwa kizazi tangu enzi
 
Ukitoa Biblia na Msaafu au quraan kuna kitabu gani kingine cha imani ulichosoma??

Mbona unaongea hadi usiyoyajua??

Haujasoma hata kitabu kinachowaongoza mafreemason kwa miaka kadhaa tangu kuanzishwa kwake (na sidhani kama unafahamu kama vipo) haujasoma vitabu vya mabuddha, wala wagiriki, wala wahindu, wala dini zingine za mchongo. Wala wachina..wathailand au mongolians..hukoo.

Mnazijua tuu dini mbili za kikristo na kiislamu kwa sababu ndio za kimapokeo kwa huku Afrika..ila hata imani za waafrika wenyewe (ATR) hatuzijui historia, maandiko wala maagano yake.

Shame.

Alafu unatetea kuhusu kubadilika kwa..

Haujui hata kwanini Msaafu umeandikwa, na umeandaliwa..haujui.

Wala haujui kwanini Biblia imeandikwa na kuandaliwa..haujui na hautokaa ujue.

Na kama haujui vyote hivi, kwanini unaamini dini ambayo haujui muongozo wake?

Ina maana wewe ni mmoja wa mamilioni mnaofuata mkumbo?? Mmoja wa wale ambao mnaangamia kwa kukosa maarifa??

Shame again..
 
Elimu ipo ndugu, sijaeleza jambo bado nimefanya kudokeza tu.
We can be friends, mr. Walter White
 
🤣Mansa Musa sio mbongo Sasa usiforce
 
Hapa hujajibu swali nililo kuuliza.

Hujaonyesha wapi andiko limefindisha namna ya kuabudu na wapi andiko limefindisha namna ya kufunga ndoa.

Mfano ukiulizwa tuonyeshe namna ya kupika ugali utajibu nini ? Kwanza lazima utupe vitu ambavyo vikiwepo hufanya ugali uitwe ugali, maana yake lazima kuwe na masharti na nguzo kwazo zikitimia basi ugali utaitwa ugali.

Kusali rohoni kukoje ? Yesu hakuwafundisha namna ya kuabudu ? Au yeye alikuwa anaabudu vipi ?

Je, Yesu hakuwahi kiwafungisha watu ndoa ? Zoezi la ufungwaji wa ndoa kipindi Cha Yesu lilikuwaje au lilikuwa linafanyikaje ?
 
😂😂😂 Twende taratibu.

Leta maana ya ibada kwanza, sio unapinga tu bila sababu.

Wanafunzi wako watafeli mtihani sasa.
Mimi maana niliyoleta nimeipatia Google 😃 nimesearch nikaipata kirahis

"Ibada ni linalokusanya kila analolipenda Allaah na kuliridhia, miongoni mwa maneno na vitendo, vilivyojificha na vilivyodhihiri.”

Tuendelee ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…