Ukitoa Biblia na Msaafu au quraan kuna kitabu gani kingine cha imani ulichosoma??
Mbona unaongea hadi usiyoyajua??
Haujasoma hata kitabu kinachowaongoza mafreemason kwa miaka kadhaa tangu kuanzishwa kwake (na sidhani kama unafahamu kama vipo) haujasoma vitabu vya mabuddha, wala wagiriki, wala wahindu, wala dini zingine za mchongo. Wala wachina..wathailand au mongolians..hukoo.
Mnazijua tuu dini mbili za kikristo na kiislamu kwa sababu ndio za kimapokeo kwa huku afrika..ila hata imani za waafrika wenyewe hatuzijui historia, maandiko wala maagano yake.
Shame.
Alafu unatetea kuhusu kubadilika kwa..
Baujui hata kwanini Msaafu umeandikwa, na umeandaliwa..haujui.
Wala haujui kwanini Biblia imeandikwa na kuandaliwa..haujui na hautokaa ujue.
Na kama haujui vyote hivi, kwanini unaamini dini ambayo haujui muongozo wake?
Ina maana wewe ni mmoja wa mamilioni mnaofuata mkumbo?? Mmoja wa wale ambao mnaangamia kwa kukosa maarifa??
Shame again..