Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Kwa mantiki hiyo biblia haiwezi kuamua na kuendana na maisha ya sasa😂😂mbona watu wanaachana kwa hiyari yao mfano Marehemu Mengi.

Mfano watu wanamichepuko ni sawa ila kuongeza mke hapana ,kwa mantik ya uumbaji biblia ni batili hapa tunajua maumbile ya mwanaume...So nakuonyesha bible ni batili😂😂kabisa na ninayo mifano lukuki
Ukiitaka biblia iendane na maisha ya sasa ni kuitaka iruhusu ushoga pia. Sasa itakuwaje siku ya hukumu?! Ndiyo maana walioishi miaka mingi iliyopita au watakao ishi miaka mingi ijayo biblia ni ileile na upanga uleule. Mwanaume hata akioa wanawake 10 bado atataka aongezewe mpaka sasa Mungu kwanini akusikilize?! Alimuumba adamu akampa mke mmoja, Yesu anasema Musa kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu lakini toka mwanzo haikuwa hivyo. Michepuko ni uasherati ambao biblia inautambua kama zambi.kuachana ni kwa walioshindwa ambao pia ni zambi.wanaoachana sio mpango wa Mungu kiufupi ni kwamba shetani ameshawaweza. Avumiliaye mpaka mwisho ndiye atakayepewa taji. Biblia sio batili kwetu sisi wakristo lakini inaweza kuonekana batili kwa dini nyingine hilo sikukatalii kama ambavyo wakristo wanaweza kuona vitabu vingine ni batili
 
kwani ni wakina nan wana agano la kale na jipya.

Ambao wanasema agano la kale halitumiki sio nyie kweli?

Kwa hiyo mbona mnasema nguruwy alikatazwa agano la kale ,jipya hamna tatizo ?

Natumia bible yenyewe kukuonyesha mikanganyiko humo ndani.
 
😂😂unachekesha sana ibada mnafanya rohoni ? kelele za siku ya ibada zimetoka wapi?
Ibada ikiambatanishwa na nia ni rohoni hili ni popote pale.

Nakula hapa nimeanza kwa jina la Mungu kimoyo moyo ila mkristo aliopo karibu yangu naona anazungusha mikono kweny mabega mpaka kweny paji la uso.

Mliambiwa mwili wa binadamu ni hekalu la Mungu ina maana kila tendo lazima liambatane na ibada kwamba lazima ufanye kwa kufuata sheria za Mungu...
Mr. Mwamedi alifundisha habari ya Ustarabu kuwa, usikojoe mahali popote,
akashauri ukitaka kukojoa kakojoe majalalani.

Sasa nakuuliza swali kwa zama hizi ukikojoa kwenye Dampo la takata, unafikir watu tutakuchukuliaje...

Ukiwa sokoni unawauliza watu jalala liko wapi nataka nikakojoe. Ndugu watakupima akili 😃😃😂😂😂😂

Yapo mengi sana yalifundishwa na Muhammad ambayo ahaya kazi na inatakiwa kufanya editing kubadili kilichofundishwa.

Yesu kusema kwa mifano na Mafumbo hakuwa mjinga.
 
Mr. Mwamedi alifundisha habari ya Ustarabu kuwa, usikuoje mahali popote,
akashauri ukitaka kukojoa kakojoe majalalani.

Sasa nakuuliza swali kwa zama hizi ukikojoa kwenye Dampo la takata, unafikir watu tutakuchukuliaje...

Ukiwa sokoni unawauliza watu jalala liko wapi nataka nikakojoe. Ndugu watakupima akili 😃😃😂😂😂😂

Yapo mengi sana yalifundishwa na Muhammad ambayo ahaya kazi na inatakiwa kufanya editing kubadili kilichofundishwa.

Yesu kusema kwa mifano na Mafumbo hakuwa mjinga.
😂😂😂Mbona tunaishi na hakuna kesi yaani ni katiba nzima kila kutu tunarejea kule ..
 
😂😂unachekesha sana ibada mnafanya rohoni ? kelele za siku ya ibada zimetoka wapi?
Ibada ikiambatanishwa na nia ni rohoni hili ni popote pale.

Nakula hapa nimeanza kwa jina la Mungu kimoyo moyo ila mkristo aliopo karibu yangu naona anazungusha mikono kweny mabega mpaka kweny paji la uso.

Mliambiwa mwili wa binadamu ni hekalu la Mungu ina maana kila tendo lazima liambatane na ibada kwamba lazima ufanye kwa kufuata sheria za Mungu...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hatarii! Sisi sio mabubu sasa kwanini tukae kimya wakati tumekutana? Nimefafanua kwamba huwa tunakutana kama ilivyo desturi ili kuonyana na kufundishana.tutafundishanaje bila kuongea?! Maandiko yanasema kwa moyo mtu huamini kwa kinywa mtu hukiri
 
😂😂😂Mbona tunaishi na hakuna kesi yaani ni katiba nzima kila kutu tunarejea kule ..
Tujadili vitu vya msingi, maswala ya kulazimishana kuvaa nguo kama gunia, nikikimbia nilishike kama dela. 🤣😅

Sitakuwa na muda wa kukusikiliza kwa hayo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hatarii! Sisi sio mabubu sasa kwanini tukae kimya wakati tumekutana? Nimefafanua kwamba huwa tunakutana kama ilivyo desturi ili kuonyana na kufundishana.tutafundishanaje bila kuongea?! Maandiko yanasema kwa moyo mtu huamini kwa kinywa mtu hukiri
Jamani mbona mnavaa vipensi😂😂si ndo mabadiliko yenyewe hao
 
kwani ni wakina nan wana agano la kale na jipya.

Ambao wanasema agano la kale halitumiki sio nyie kweli?

Kwa hiyo mbona mnasema nguruwy alikatazwa agano la kale ,jipya hamna tatizo ?

Natumia bible yenyewe kukuonyesha mikanganyiko humo ndani.
Hata ujio wa Yesu ulitabiriwa agano la kale. Wakristo tunatambua agano la kale vyema kabisa. Agano la kale lilisema atakuja masihi kuwakomboa watu wake ndiye Yesu sasa. Hata hilo la ndoa moja ni Yesu alietukumbusha hiyo kweli iliyokiwepo kabla dhambi haijaingia. Yeyote atakaye mwamini ataupata uzima wa milele
 
Biblia Sio kitabu cha mungu Ndio maana kimeshindwa kuwaweka waumin wake pamoja na kimekuwa rahisi kuchakachulika

Mi kitabu kilichotungwa na watu kwa utashi wao na matakwa binafsi

Quran inabaki kuwa kitabu cha kipekee na cha muongozo kwa ulimwengu mzima ndo maana kimebaki kama kilivyo toka asili yake
Hakuna agano la zaman wala jipya

Na wakristo wengi wafuata quran bila wao kujua
Mfano swala la kuoa na mfumo mzima wa maisha wanaoishi kula,kuoga,kulala nk
 
Hata ujio wa Yesu ulitabiriwa agano la kale. Wakristo tunatambua agano la kale vyema kabisa. Agano la kale lilisema atakuja masihi kuwakomboa watu wake ndiye Yesu sasa. Hata hilo la ndoa moja ni Yesu alietukumbusha hiyo kweli iliyokiwepo kabla dhambi haijaingia. Yeyote atakaye mwamini ataupata uzima wa milele
kasome kumbukumbu torati 12 5-7
 
Jamani mbona mnavaa vipensi😂😂si ndo mabadiliko yenyewe hao
Usijali tunasoma zamani watu walikuwa wanatembea uchi kabisa. Wakavaa magome ya miti. Ukristo ni mambo ya rohoni .utaratibu upo kwaajili yangu mimi na sio mimi kwaajili ya utaratibu.
 
Usijali tunasoma zamani watu walikuwa wanatembea uchi kabisa. Wakavaa magome ya miti. Ukristo ni mambo ya rohoni .utaratibu upo kwaajili yangu mimi na sio mimi kwaajili ya utaratibu.
Yesu alitembea uchi? maana ndo uzao wake na ndo mnamfuata nyie 😂😂
 
Yesu alitembea uchi? maana ndo uzao wake na ndo mnamfuata nyie 😂😂
Unaweza kufanya huu mjadala bila kufanya dhihaka kama hauto jali,. Afu kama nlivyosema ukristo ni mambo ya rohoni itakuwa ngumu sana kwa walio wa mwilini kuelewa mambo ya rohoni. Kama uko interested sana unaweza ku join ili ujue kwa fahamu zako. Na moja zaidi ni kwamba ukristo sio dini japo ulimwengu unatutambua kama dini ya kikristo hiyo inatufanya tusipendelee kukaa kwenye majukwaa ya mabishano ya kidini. Hatujui mengi kuhusu dini kwakuwa tunaamini maisha baada ya duniani zaidi.
 
Sijafanya dhihaka umeingia katikati ndo tatizo lako ,umedandia gari kwa mbele na siwezi kufanya dhihaka.

Alisema watu walitembea uchi huko zamani ,sasa ukianzia historia ya yesu ambaye yey ndo anamfuata nikamuuliza je yesu alitembea uchi?

Jibu ni kwamba "hapana" kwa kizazi tangu enzi
 
Ukitoa Biblia na Msaafu au quraan kuna kitabu gani kingine cha imani ulichosoma??

Mbona unaongea hadi usiyoyajua??

Haujasoma hata kitabu kinachowaongoza mafreemason kwa miaka kadhaa tangu kuanzishwa kwake (na sidhani kama unafahamu kama vipo) haujasoma vitabu vya mabuddha, wala wagiriki, wala wahindu, wala dini zingine za mchongo. Wala wachina..wathailand au mongolians..hukoo.

Mnazijua tuu dini mbili za kikristo na kiislamu kwa sababu ndio za kimapokeo kwa huku Afrika..ila hata imani za waafrika wenyewe (ATR) hatuzijui historia, maandiko wala maagano yake.

Shame.

Alafu unatetea kuhusu kubadilika kwa..

Haujui hata kwanini Msaafu umeandikwa, na umeandaliwa..haujui.

Wala haujui kwanini Biblia imeandikwa na kuandaliwa..haujui na hautokaa ujue.

Na kama haujui vyote hivi, kwanini unaamini dini ambayo haujui muongozo wake?

Ina maana wewe ni mmoja wa mamilioni mnaofuata mkumbo?? Mmoja wa wale ambao mnaangamia kwa kukosa maarifa??

Shame again..
 
Ukitoa Biblia na Msaafu au quraan kuna kitabu gani kingine cha imani ulichosoma??

Mbona unaongea hadi usiyoyajua??

Haujasoma hata kitabu kinachowaongoza mafreemason kwa miaka kadhaa tangu kuanzishwa kwake (na sidhani kama unafahamu kama vipo) haujasoma vitabu vya mabuddha, wala wagiriki, wala wahindu, wala dini zingine za mchongo. Wala wachina..wathailand au mongolians..hukoo.

Mnazijua tuu dini mbili za kikristo na kiislamu kwa sababu ndio za kimapokeo kwa huku afrika..ila hata imani za waafrika wenyewe hatuzijui historia, maandiko wala maagano yake.

Shame.

Alafu unatetea kuhusu kubadilika kwa..

Baujui hata kwanini Msaafu umeandikwa, na umeandaliwa..haujui.

Wala haujui kwanini Biblia imeandikwa na kuandaliwa..haujui na hautokaa ujue.

Na kama haujui vyote hivi, kwanini unaamini dini ambayo haujui muongozo wake?

Ina maana wewe ni mmoja wa mamilioni mnaofuata mkumbo?? Mmoja wa wale ambao mnaangamia kwa kukosa maarifa??

Shame again..
Elimu ipo ndugu, sijaeleza jambo bado nimefanya kudokeza tu.
We can be friends, mr. Walter White
 
Una uhakika gani sisi tumekua watumiaji tuu?

Unajua maisha yaliyopita mtu mweusi ndio alikuwa na uwezo wote?

Unajua kuwa Mzungu alikua mtumwa hukohuko ulaya??

Unajua watu waliishije kipindi cha mapyramid yanajengwa? Au kipindi cha early civilization ya mwanadamu miaka zaidi ya elfu ngapi iliyopita?

Unafahamu dunia ilikuaje kipindi cha utawala wa mansa musa?

Au mfalme sulemani?

Kuna vingi hujui kwa sababu kimwili bado historia haijagusia..hata kidogo..au inapalasa tuu

Sayansi imegundua hivi karibuni maisha kwenye kona za arctic yalivyo miaka milioni mbili iliopita via mabaki ya dna ya zamani...

We all know nothing, tofauti yegu i pale tunapotaka kujua...
🤣Mansa Musa sio mbongo Sasa usiforce
 
Kuhusu ibada za kikriso maandiko yanasema Yohana 4:24 kwamba Mungu ni Roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu yeye katika roho na kweli. hivi ndivyo wakristo tunamuabudu Mungu,ndivyo tufanyavyo ibada. Sisi tunasali Rohoni wakati wote 24/7 tuwe kazini barabarani shambani vitani usingizini tunasali rohoni.kwa mtu mwingine huwezi kujua kama tunasali kwasababu hatuongei kwa mdomo wa mwili na nyama bali rohoni . Sisi tunafanya makutaniko kama tulivyoagizwa ,Ebrania 10:2525 wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.
Na kuhusu ndoa maandiko yanatufumdisha ndoa ya mke na mume mmoja Mathayo 19:4 .na kuhusu hili ukristo unatambua ndoa za kimira kiselikali au kanisani kwasababu ndoa ni agano la mtu/watu na Mungu. Tunamuona rebeka katki biblia wazazi walimuuliza kama yupo tayari kwenda na mumuwe alipojibu yupo tayari walimtakia safari njema.

Na kuhusu kuzika wakristo tunazika tunayo mifano mingi katika bible ya waliokufa .sijui hapa unataka kujua nini. Kama ni wanawake kuzika then yes ukisoma yohana 11 martha alimzika kaka yake lazaro. Lakini ukristo haujishughulishi sana na mambo ya mwilini ndio maana kuna andiko pia Yesu anasema acheni wafu wawazike wafu wenzao.
NB. Mambo haya ni according to christian na hiyo haimaanishi we are superior or inferior. Dini ni mpango wa mwanadamu kumfikia Mungu lakini wokovu ni mpango wa Mungu kwa aliowaandaa kuwa wake regardless dini.ndio maana kuna waislamu wanaoa mke mmoja na ni msimamo hataki kuoa wengi,na kuna wakristo wanaovalia mavazi kama ya kiislamu and so on. Hatutakiwi kuwa na vikwazo vya sisi kwa sisi kisa dini popote ulipo shika shikilia wokovu ni wa Bwana
Hapa hujajibu swali nililo kuuliza.

Hujaonyesha wapi andiko limefindisha namna ya kuabudu na wapi andiko limefindisha namna ya kufunga ndoa.

Mfano ukiulizwa tuonyeshe namna ya kupika ugali utajibu nini ? Kwanza lazima utupe vitu ambavyo vikiwepo hufanya ugali uitwe ugali, maana yake lazima kuwe na masharti na nguzo kwazo zikitimia basi ugali utaitwa ugali.

Kusali rohoni kukoje ? Yesu hakuwafundisha namna ya kuabudu ? Au yeye alikuwa anaabudu vipi ?

Je, Yesu hakuwahi kiwafungisha watu ndoa ? Zoezi la ufungwaji wa ndoa kipindi Cha Yesu lilikuwaje au lilikuwa linafanyikaje ?
 
😂😂😂 Twende taratibu.

Leta maana ya ibada kwanza, sio unapinga tu bila sababu.

Wanafunzi wako watafeli mtihani sasa.
Mimi maana niliyoleta nimeipatia Google 😃 nimesearch nikaipata kirahis

"Ibada ni linalokusanya kila analolipenda Allaah na kuliridhia, miongoni mwa maneno na vitendo, vilivyojificha na vilivyodhihiri.”

Tuendelee ...
 
Back
Top Bottom