Niambie jinsi ya biblia imeonyesha namna ya kufanya ibada?
Niambie wapi biblia imeonyesha namna ya kufunga ndoa na kugawana mirathi?
Nionyesha katika adabu na taratibu za binadamu kama kula ,kulala, kutembea Na mambo ya kili siku kupitia bible?
Nionyeshe sayansi ya binadamu kupitia biblia kwa mfumo wowote ule ?
Biblia haiwezi kuwa katiba wala muongozo wa mwanadamu kwa saba mbu haiendani na matakwa ya kibidamu na haina mfumo complete wa maisha ya binadamu.
Ndo maana leo kuna watu hata kuchinja hayaruhusi kisa wanafuata bible sasa wakulajd nyama?
Ishu ya ndoa ambayo ni pana kwa zama za sasa kuvunjika ndoa ila unaambiwa [emoji23][emoji23]ndo ni milele mpaka watu wanakuja kuuana kabisa .
Wanaume wasioe au waoe wanawake wachache ,ilihali kimatakwa ya binadamu hususani mwanaume kamili ni ngumu sana asioe au awe na mke mmoja ,hili tunaona huko mitaani.
Unajua biblia ni kitabu ambacho kina muongozo mzima wa mwanadamu, awe mwema au mbaya, (negative or positive force) na namna ambavyo anapaswa kuishi katika hii dunia, na hii ni haijalishi una imani gani, fikra zipi wala utashi upi.
Hili nashindwa kulichimba sana kwa mapana kwa sababu ninasikia kuwa kuna vitabu vingine duniani vinajaribu kumuunganisha vyema mwanadamu kiakili, kimwili na kiroho, kumuunganisha na asili yake, na kadhalika..na zipo hadi imani zenye mlengo huu wa kimwili..
Hata mashetani, majini, atheists, wasioamini Katika Mungu, mabuddha, wanasiasa, Wanaotambika mizimu, n.k. wanaongozwa na Mfumo mama wa Biblia.
Ila ili uweze kujua mengi ya Biblia na jinsi ambavyo imeurekodi Ulimwengu wote ni mpaka uwe fit mno kimwili, kinafsi na Kiroho. (Uwe elevated spiritually)
Ila sasa, ili uifahamu vizuri unapaswa kujua kuwa upo kwenye force ipi..Negative to it or Positive to it.
NB: Ni kitabu ambacho unaeza kukisoma kimasihara na ukaelewa hivyoivyo kimasihara, na ikaisha hivyo. Hii kwa lugha za mitaani ni kuwa codes zake ziko very encrypted, zimejifunga vilivyo, kama yale maua ya saa nne sijui,[emoji3][emoji3] au yale maua ambayo ukiyagusa tuu yanajifunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Just kidding[emoji16][emoji16]
But seriously, Mfano Ukaisoma Biblia kisiasa au kichawi au kihistoria na ukajikuta unajua mengi na ukiwa vizuri kidogo, unaweza ku-posses some elevation of mind powers, na hata nguvu flani hivii ya nafsi hata kama hausali sana wala kuamini that deep katika imani ya kristo.
Archeologists wanathibitishaga kutumia some biblical lines and studies kugundua ngome, miji, mambo na vitu vilivyojificha, kufanya vumbuzi, na kadhalika..
So, kuhusu kujua asili ya mwanadamu, namuunga ndugu mtoa post kua ukisoma vizuri biblia ki-5G, unaweza kujua mambo Meengi mno.
Na kusoma Ki-5G simaanishi kutumia imani nyingi pekee, au akili nyingi pekee, au falsafa nyingi pekee, au chochote unachotumia kuelewa pekee[emoji23][emoji23]..no, ni kutumia vyote kwa pamoja, kama unaweza.
The more you know, the better...