Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

🤣We unataka ubishane Ila ukweli unaojua so Sina shida na wewe
Aina ya Mungu
Ushishangae unakuta mtu ni msomi ana elimu kasoma shule nzuri tena za dini lakini yeye ukimuuliza juu ya imani yake anakwambia amini chochote juu ya mungu ujue huyo mtu amefungwa na miungu asiweze kumwabudu mungu mwingine zaidi ya huyo mungu na kanuni za kiroho duniani kuna mungu aliye hai na mungu wa dunia hii ukiona mtu anamkataa mungu aliye hai ujue anamilikiwa na mungu wa dunia hii.
 
Hii elimu umetoa wapi ?

Yani mimi nikitamani kunywa bia, basi kitendo cha kunywa bia nakua nafanya ibada shehe ?? 🤣🤣🤣😂
Kunywa bia ni haramu imekatazwa ina maana sio ibada ila kunywa juisi ni ibada.

Ukinywa bia ni ibada umefanya kwa kumnyenyeke shetani.

Kila kitu katika matendo ya binadamu yakiwa na mfungamano wa kumnyenyekea Mungu ni ibada hata kumfanyia mwenzio mambo mema ni ibada, kuhudumia familia yako ni ibada.

Ndo maana kuna sheria zake za kuomba Duah kabla ya kufanya kitu.
 
🤣Mungu kasema lini na wapi kwamba kunywa bia ni haramu...usinipe story za mababu... niambie in reality kasema lini na wapi?
 
🤣Huyo Mungu aliyehai kwa Nini asiwe Mungu wa dunia Kama ana nguvu Sana...🤣Mbona vitabu vyake vinazidiwa akili na maadili kuliko watu wakawaida tu. Hata wewe Leo hii ukiruhusiwa kutunga sheria za nchi hutafata za Biblia na story kuhusu uumbaji dunia kujaa maji Sodom biology na cosmos kiujumla ni za watu wasio na ujuzi wa chochote kile ni kama unasoma katuni...🤣Ila mna moyo Sana mi nimeshindwa kwa kweli
 
🤣Mungu kasema lini na wapi kwamba kunywa bia ni haramu...usinipe story za mababu... niambie in reality kasema lini na wapi?
Sipendi kubishana wala kuingilia mamlaka yako , waislamu hatunywi bia kama una akili timamu utajua tu.

kwetu sisi ukinywa bia ni tendo u ibada ya kumtukuza shetani hata uende dunia ipo inajulikana wanaofuata uislamu kamili hawanywi pombe kabla hata kupewa Ayah jambo lipo wazi😂😂
 
Hujui Quran ww nyamaza inakuelekeza mpaka kuingia chooni
 
Yachunguze maandiko kupitia archeology utaona haikuwa Hadith za kutunga, karibu kanisan kwetu ujifunze kuhusu ukuu wa Mungu Mkuu.
 
Mbona Quran inasema peponi Pana mito kabisa ya pombe yaani unajikingia mwenyewe unakunywa.
 
Biblia ni Neno la Mungu.
 
Unajua biblia ni kitabu ambacho kina muongozo mzima wa mwanadamu, awe mwema au mbaya, (negative or positive force) na namna ambavyo anapaswa kuishi katika hii dunia, na hii ni haijalishi una imani gani, fikra zipi wala utashi upi.

Hili nashindwa kulichimba sana kwa mapana kwa sababu ninasikia kuwa kuna vitabu vingine duniani vinajaribu kumuunganisha vyema mwanadamu kiakili, kimwili na kiroho, kumuunganisha na asili yake, na kadhalika..na zipo hadi imani zenye mlengo huu wa kimwili..

Hata mashetani, majini, atheists, wasioamini Katika Mungu, mabuddha, wanasiasa, Wanaotambika mizimu, n.k. wanaongozwa na Mfumo mama wa Biblia.

Ila ili uweze kujua mengi ya Biblia na jinsi ambavyo imeurekodi Ulimwengu wote ni mpaka uwe fit mno kimwili, kinafsi na Kiroho. (Uwe elevated spiritually)

Ila sasa, ili uifahamu vizuri unapaswa kujua kuwa upo kwenye force ipi..Negative to it or Positive to it.

NB: Ni kitabu ambacho unaeza kukisoma kimasihara na ukaelewa hivyoivyo kimasihara, na ikaisha hivyo. Hii kwa lugha za mitaani ni kuwa codes zake ziko very encrypted, zimejifunga vilivyo, kama yale maua ya saa nne sijui,[emoji3][emoji3] au yale maua ambayo ukiyagusa tuu yanajifunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Just kidding[emoji16][emoji16]

But seriously, Mfano Ukaisoma Biblia kisiasa au kichawi au kihistoria na ukajikuta unajua mengi na ukiwa vizuri kidogo, unaweza ku-posses some elevation of mind powers, na hata nguvu flani hivii ya nafsi hata kama hausali sana wala kuamini that deep katika imani ya kristo.

Archeologists wanathibitishaga kutumia some biblical lines and studies kugundua ngome, miji, mambo na vitu vilivyojificha, kufanya vumbuzi, na kadhalika..

So, kuhusu kujua asili ya mwanadamu, namuunga ndugu mtoa post kua ukisoma vizuri biblia ki-5G, unaweza kujua mambo Meengi mno.

Na kusoma Ki-5G simaanishi kutumia imani nyingi pekee, au akili nyingi pekee, au falsafa nyingi pekee, au chochote unachotumia kuelewa pekee[emoji23][emoji23]..no, ni kutumia vyote kwa pamoja, kama unaweza.

The more you know, the better...
 
Hii mada nikichangia nitammaliza nguvu mwenye hoja...[emoji1787]nimwache tu asome story book yake
Mawazo yako hayamsaidii yeye peke yake, bali kwa manufaa ya wote, maana mada hii ni pana mno kuliko watu wanavyodhani,

Maana kila mtu anachofikiri kinasaidia kufikia na/au kumjenga mtu mwingine kifikra
 
Nimeuliza maswla na kusema bible ni kitabu cha Mungu hilo swala ni "BIG NO" maana kuna vitabu kaandika paulo kama sehemu ya mafundisho yake..

Nina hakika wala sibishani bible haina muongozo complete na haiwezi kuwa sheria kwa vile kwanza binafsi ndani yake ina contradictions kibao .

Kingine hata ukimfuata mtu anayefuata bible unajua kuna mambo mengi yanahitaji atumie akili ili kucontrol..Mfano ndoa inafunga kikristo ila talaka inatolewa mahakamani kwamba bible haitambui talaka?

Sio kesi ila tambua dini intakiwa iwe na mfumo hata miaka million ijayo still inaweza kusimamia maandiko yake ,angalia leo hii ndoa zinavyovunjika mpaka watu wanaona waachane na bible waende mahakamani wakapate talaka.
 
Quran na Biblia ni mkusanyiko wa elimu zote za Dunia na zisizo za dunia na sayansi ikiwamo ndani.
Atheist hawana hoja zaidi ya ubishi tu.
Sayansi bado inakua wakat Hivyo vitabu vilishamaliza vikafunga maarifa yote.
 
Ndoa yoyote inatambulika kisheria, na nahakama ndio zenye mamlaka za kuvunja ndoa pasipo na migogoro yoyote ya kifamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…