Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
- Thread starter
- #281
umempa majibu Mazuri Sana.Again, don't act dumb.
Wakati unaendelea kubishana hapa wapo wengine wana access maisha ya ulimwengu wa roho wakiwa hapahapa duniani, na wanafanya mambo yao, tena makubwa kuliko maelezo, na unawatii na kuwashabikia, na hawakuambii, kwa sababu ukijua utashindana nao au kuwapita.
So, kama unaendelea kuboji ujinga ukitegemea nikufundishe kila kitu ukiwa umelala...pole.
Endelea kulala hivyoivyo.
Vitu ushaambiwa vipo, vitafute, hautaki unaanza kuleta akili nyingi..ambazo hazina maana yoyote na hazikupeleki popote.
Watu wengine sijui mpoje...bure kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
(No offense kama una nia ya kujifunza)
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Usimuamshe aliye lala.
Agenda ya LGBT hajiulizi nyuma yake aliweka pesa zake ni Nani.
Mashoga na wasagaji nani anawapa pesa za kufanya mambo yao.
Then kuna kiwanda cha kufyatua watoto,
mwanamke haitaji tena kubeba mimba, napeleka mbegu na yai, then mnafata mtoto.
Ukijumlisha na Aliens viumbe wa sayari nyingine nao watakuja kwenye hii planet yetu.
Nimepata Ushaidi ya kibiblia kuonesha kabla ya Adamu kuumbwa, kuna viumbe wengine waliishi hapa dunia kabla.
na ndio hao wanasaidia kukuza Technologia ya duniani.
Sasa piga picha,
hao watoto wa mitambo na hizo Alien zikiungana kuna mtu atakua salama hapa dunian, zikisema sisi nichakula chao tutabisha ??? 🤣🤣🤣