Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Again, don't act dumb.

Wakati unaendelea kubishana hapa wapo wengine wana access maisha ya ulimwengu wa roho wakiwa hapahapa duniani, na wanafanya mambo yao, tena makubwa kuliko maelezo, na unawatii na kuwashabikia, na hawakuambii, kwa sababu ukijua utashindana nao au kuwapita.

So, kama unaendelea kuboji ujinga ukitegemea nikufundishe kila kitu ukiwa umelala...pole.

Endelea kulala hivyoivyo.

Vitu ushaambiwa vipo, vitafute, hautaki unaanza kuleta akili nyingi..ambazo hazina maana yoyote na hazikupeleki popote.

Watu wengine sijui mpoje...bure kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

(No offense kama una nia ya kujifunza)

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
umempa majibu Mazuri Sana.
Usimuamshe aliye lala.

Agenda ya LGBT hajiulizi nyuma yake aliweka pesa zake ni Nani.

Mashoga na wasagaji nani anawapa pesa za kufanya mambo yao.

Then kuna kiwanda cha kufyatua watoto,
mwanamke haitaji tena kubeba mimba, napeleka mbegu na yai, then mnafata mtoto.

Ukijumlisha na Aliens viumbe wa sayari nyingine nao watakuja kwenye hii planet yetu.

Nimepata Ushaidi ya kibiblia kuonesha kabla ya Adamu kuumbwa, kuna viumbe wengine waliishi hapa dunia kabla.

na ndio hao wanasaidia kukuza Technologia ya duniani.

Sasa piga picha,
hao watoto wa mitambo na hizo Alien zikiungana kuna mtu atakua salama hapa dunian, zikisema sisi nichakula chao tutabisha ??? 🤣🤣🤣
 
True..na biblia inakuelezea kila kitu, lakini kama hauelewi, ni hauelewi.

Mungu anasikitika kuona mwanadamu anaangamia kwa kukosa maarifa, kwa sababu inasikitisha na kuumiza sana.

People dont know anything...and they love knowing shit that leads to nothing.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mwili ndio unabeba Akili (Brain), yes, ila ni kwenye ulimwengu wa mwili (flesh) ila mind inakaa kwenye ulimwengu wa roho..ambapo tukisema tutaje eneo ni lazima litakuwa ni maeneo ya hukohuko kwenye ubongo.

Hii inawapa shida sana hawa watu wanaoendeleza tafiti za Neuro-link kuhusu ni namna gani ya kusoma mind ya mwanadamu na kuichakata kwenye computer.

Tafiti bado zinaendelea na zikifanikiwa maana yake zitakua zimesaidia mwanadamu kupona sana maradhi mengi ya ubongo, neva na magonjwa mengine magumu ambayo yametutesa wanadamu kwa muda mrefu

Mungu sayansi yake ni noma sana, ameunganisha vitu vya ulimwengu wa mwili na roho pamoja ila wanadamu tunapata sanaa tabu kuvijua.

Usione wachawi wajinga kukuchanja machale usiku, wanajua baadhi ya links na gateways za mwanadamu zinazomuunganisha na ulimwengu wa mwili na roho. Hivi vitu vinafuatana.

Mfano, yapo mahusiano ya karibu mno kati ya pumzi na roho...ila tafiti zake hata kama ni wewe, utaanzia wapi??[emoji23][emoji23][emoji23]

Au ndoto, na brain, ambazo hizi tafiti zinaendelea kufanyika na zina matokeo chanya, au mind na ile inner voice ya mtu binafsi, na kadhalika, na kadhalika.

So, ukisikia au kuona mtu anajadili mambo haya, ni busara kumsikiliza kwani huenda kuna vitu utajifunza na kuuongezea uelewa wako.

Nawapa tahadhari wasiosoma na kuelekeza zaidi kwenye imani pekee..au akili pekee. Ninasema hivi kwa maana siutetei upande wowote ule.

Siri kuu nawapa ni hii. Ili mwili ufanye kazi kikamilifu, kuna muda ni lazima uamini. Nenda mbele au urudi nyuma ni lazima uamini. Suala la kuichagua imani ni la kwako wewe, ila ni uamue tuu kuwa unataka imani ya positive force au negative force

Tafakari na kisha uchukue hatua.
Nafsi ndio inabeba Akili
Mwili hauwezi kubeba akili.

Bali unabeba Memory (kumbukumbu) tu.
na kumbukumbu hizo hukaa kwenye ubongo na kwenye Moyo.

Sababu:
Katika Kula chakula bora..
Utakua na kumbukumbu nzuri na utaweza kukumbuka mengi.

Lakini kula vizuri hakukupi Akili ndugu.
Akili ni Kama Wisdom tunapata kwa kupewa na aliyetuumba kwa kusikia neno lake na kujua hekima yake.
 
True..na biblia inakuelezea kila kitu, lakini kama hauelewi, ni hauelewi.

Mungu anasikitika kuona mwanadamu anaangamia kwa kukosa maarifa, kwa sababu inasikitisha na kuumiza sana.

People dont know anything...and they love knowing shit that leads to nothing.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Alishindwaje kuumba binadamu ambao hawato angamia?

Badala yake aliumba binadamu wanaoweza kuangamia na kuanza kusikitika?

Ina onekana kwamba Mungu Hajui yote, kama anajua yote kwa nini aliumba binadamu ambaye ana msikitisha?

Alishindwaje kuumba binadamu ambaye atamfurahisha milele?
 
Wakati unaendelea kubishana hapa wapo wengine wana access maisha ya ulimwengu wa roho wakiwa hapahapa duniani,

Watu gani hao?
Lete ushahidi usio na shaka?
Ngoja na mimi nichangie kidogo.

Wanadamu ni sawa na pande mbili za shilingi.

Tunaonekana tuko sawa kwa kila kitu(utu),Lakini kila mtu ana upande wake ,mwonekano wake, tabia yake, ufahamu wake, maono yake n.k.

Si kila mwanadamu aliye mbele yako ni sawa na wewe.

Unataka ushahidi usio na shaka. Mungu ni roho huwezi kuiprint ikaonekana.

Wewe una roho.Je unaweza kutuonyesha jinsi inavyofanana?

Unahitaji kujua watu wenye access na ulimwengu wa roho.

1.Wachawi na wote wanaotumia nguvu za giza.

2.Watumishi wa Mungu wa kweli na watu wote walio katika ulimwengu wa nuru.

Ukitaka kuujua huu ulimwengu wa nuru na giza unafanyaje kazi tafuta watu wa haya makundi watakusaidia kuujua zaidi.

Ninaposema pande mbili za shilingi, namaanisha kuwa kuna watu hawajui chochote kinachohusu ulimwengu wa roho na kuna wengine wanaujua na kuutumia ulimwengu wa roho kiufasaha.

Vyote hivi utavijua ikiwa una IMANI haijalishi ni ya namna gani, utachagua ni imani ipi,ya gizani au nuruni. Na huwezi kumjua Mungu kama huna imani.
 
Wewe una roho.Je unaweza kutuonyesha jinsi inavyofanana

Nimekunukuu hapo juu
Na tuumbe mtu kwa mfano wetu.
Binadamu aliye umbwa aliumbwa nafsi au mwili tu?

Kama iliumbwa nafsi tu nitakubaliana nawe Mungu ni nafsi, ila binadamu alianza kuumbwa mwili kitu kinachoonyesha hata huyo mumdhaniaye ni mwili.

Aliyesema ni nafsi mmeitoa kwenye chanzo kipi?

Mimi Sina roho na ni myth isiyo na mashiko toka ngano za kale za Wahenga.

Roho ni nini?
Usije sema ni pumzi maana tunajua ilipotokea na jinsi inavyokuwa created na mwili hasa Respiratory system.
 
Kwahiyo hapa ninazungumza na kiumbe kingine ambacho si mwanadamu?
 
Unataka ushahidi usio na shaka. Mungu ni roho huwezi kuiprint ikaonekana.

Wewe una roho.Je unaweza kutuonyesha jinsi inavyofanana

Nimekunukuu hapo juu
Na tuumbe mtu kwa mfano wetu.
Binadamu aliye umbwa aliumbwa nafsi au mwili tu?

Kama iliumbwa nafsi tu nitakubaliana nawe Mungu ni nafsi, ila binadamu alianza kuumbwa mwili kitu kinachoonyesha hata huyo mumdhaniaye ni mwili.

Aliyesema ni nafsi mmeitoa kwenye chanzo kipi?

Mimi Sina roho na ni myth isiyo na mashiko toka ngano za kale za Wahenga.

Roho ni nini?
Usije sema ni pumzi maana tunajua ilipotokea na jinsi inavyokuwa created na mwili hasa Respiratory system.
Okay. Chanzo cha nafsi.

Mwanzo:2:7

BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai;mtu akawa nafsi hai.
 
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Alishindwaje kuumba binadamu ambao hawato angamia?

Badala yake aliumba binadamu wanaoweza kuangamia na kuanza kusikitika?

Ina onekana kwamba Mungu Hajui yote, kama anajua yote kwa nini aliumba binadamu ambaye ana msikitisha?

Alishindwaje kuumba binadamu ambaye atamfurahisha milele?
Kwanza unakosea sana kuwa mjinga. Na kama unajua alafu unatoa hoja dhaifu hizi, basi huu ni upumbavu. Na hata Mungu mwenyewe hawezi ku tolerate watu wapumbavu.

Pili, hauwezi kuujua ukuu wa Mungu (umilele) kwa akili za kimwili zinazoharibika. Fikra zako ni za kimwili, za akili inayoharibika, na si za milele...so chochote kile utakachofikiri hakiwezi kufikia umilele wa Mungu...sanasana unaonekana Boya....ndio maana wenye imani wanakuambia kwa lugha nyepesi kuwa unakufuru.

Tatu, mwanadamu haharibiki, kinachoharibika kwa mwanadamu ni vazi lake la nje, ambalo ndio udongo.

Ujinga ni pale unaona hilo vazi lako (mwili) kuwa ndio kila kitu, wakati hilo vazi ni la hapa tuu duniani, au mars, au kwenye ulimwengu huu tuu unaoonekana, ila vazi la mbinguni haulijui, maana lipo, vazi la motoni lipo, na haulijui, na hata kama kuna vazi la ulimwengu mwingine tofauti na hiyo niliotaja kama lipo, maana yake litakuwepo ukibahatika kufika huko.

Alafu, Mungu aliumba viumbe wengine, wasio na vazi la mwili, akaghairi, na mpaka umeumbwa mwanadamu uishi hapa duniani maana yake wewe sio wa kwanza.

Huenda ni wa pili, huenda ni wa saba, huenda ni wa mia tano, hauwezi kujua. Kwa sababu mwanadamu sio wa milele

Ukweli usioujua ni kuwa mwanadamu atapata maisha ya milele endapo akiacha vazi la mwili na kwenda kupata vazi la kiroho.

Sasa hapa ni suala la wewe kujua.

Lakini ukibishia sana hili na kudhania kuwa hakuna ulimwengu wa roho, basi ukifa (ukiliacha vazi la dunia hii utapotelea kusikojulikana, au kwa lugha ya biblia, utakufa.

Ila ukijua maisha ya ulimwengu wa roho, utaendelea kuishi milele

NB: Midhambi ndio inayomsikitisha Mungu, na midhambi ni matendo yako wewe mwanadamu. Unaambiwa ufanye mema, alafu unatenda dhambi, unadhani unataka Mungu akuendeshe kama rimoti.

Kama ushawahi kufundisha timu ya mpira utakua unaelewa...umefundisha timu imeiva, wanaingia uwanjani kucheza wanapigwa nne bila, watu wanajichezea wanavyotaka na unawafundisha kabisaa wacheze mfumo huu wao wanaenda kujichezea hovhovo..utajihisije?

Hivyo ndio Mungu anahisi kwako unapomkosea.

Na mwanadamu anaangamia kwa kukosa maarifa..na Biblia ilishasemaga..so..[emoji88][emoji88]
 
Kwanza unakosea sana kuwa mjinga. Na kama unajua alafu unatoa hoja dhaifu hizi, basi huu ni upumbavu. Na hata Mungu mwenyewe hawezi ku tolerate watu wapumbavu.

Pili, hauwezi kuujua ukuu wa Mungu (umilele) kwa akili za kimwili zinazoharibika. Fikra zako ni za kimwili, za akili inayoharibika, na si za milele...so chochote kile utakachofikiri hakiwezi kufikia umilele wa Mungu...sanasana unaonekana Boya....ndio maana wenye imani wanakuambia kwa lugha nyepesi kuwa unakufuru.

Tatu, mwanadamu haharibiki, kinachoharibika kwa mwanadamu ni vazi lake la nje, ambalo ndio udongo.

Ujinga ni pale unaona hilo vazi lako (mwili) kuwa ndio kila kitu, wakati hilo vazi ni la hapa tuu duniani, au mars, au kwenye ulimwengu huu tuu unaoonekana, ila vazi la mbinguni haulijui, maana lipo, vazi la motoni lipo, na haulijui, na hata kama kuna vazi la ulimwengu mwingine tofauti na hiyo niliotaja kama lipo, maana yake litakuwepo ukibahatika kufika huko.

Alafu, Mungu aliumba viumbe wengine, wasio na vazi la mwili, akaghairi, na mpaka umeumbwa mwanadamu uishi hapa duniani maana yake wewe sio wa kwanza.

Huenda ni wa pili, huenda ni wa saba, huenda ni wa mia tano, hauwezi kujua. Kwa sababu mwanadamu sio wa milele

Ukweli usioujua ni kuwa mwanadamu atapata maisha ya milele endapo akiacha vazi la mwili na kwenda kupata vazi la kiroho.

Sasa hapa ni suala la wewe kujua.

Lakini ukibishia sana hili na kudhania kuwa hakuna ulimwengu wa roho, basi ukifa (ukiliacha vazi la dunia hii utapotelea kusikojulikana, au kwa lugha ya biblia, utakufa.

Ila ukijua maisha ya ulimwengu wa roho, utaendelea kuishi milele

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Pili, hauwezi kuujua ukuu wa Mungu (umilele) kwa akili za kimwili zinazoharibika. Fikra zako ni za kimwili, za akili inayoharibika, na si za milele...so chochote kile utakachofikiri hakiwezi kufikia umilele wa Mungu...sanasana unaonekana Boya....ndio maana wenye imani wanakuambia kwa lugha nyepesi kuwa unakufuru.

Kama yeye hawezi kwa kutumia fikra za kimwili na akili wewe umetumia nini kugundua?

Umilele wa Mungu umejuaje?
Maana pia unatumia fikra na akili za Mwanadamu awe ndugu yetu ni malaika
 
Wewe ni mwanadamu au kiumbe kingine?
Mimi natoka kwenye:
Kingdom: Animalia

Multicellular organisms; cells with a nucleus, with cell membranes but lacking cell walls

Phylum: Chordata

Animals with a spinal cord

Class: Mammalia

Warm-blooded chordates that bear live young; females have mammary glands that secrete milk to nourish young

Order: Primates

Mammals with collar bone; eyes face forward; grasping hands with fingers; two types of teeth (incisors and molars)

Family: Hominidae
Primates with upright posture, large brain, stereoscopic vision, flat face, different use of hands and feet

Genus: Homo
Hominids with S-curved spine, recognisable as human

Species: Homo sapiens
Humans with high forehead, well-developed chin, thin skull bones
 
Sijakuelewa. Mimi sikubahatika kwenda shule,mjadala ulikuwa kwa Kiswahili ingekuwa vizuri ungetumia lugha ninayoilewa.

Sifa mojawapo ya Lugha kama haieleweki kwa msikilizaji huwa haina maana.

Ulichokiandika hakijaleta maana yoyote kwangu.
Ahsante.
 
Unataka mchakato wote wa uumbaji?
Mwanzo:2:7

BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai;mtu akawa nafsi hai.

Nimeqoute mstari wako
Ndio nimeuliza kipi kilianza kwa kutumia huu mstari
 
[emoji23][emoji23]sio ibada maana ya ibada ni kufanya kitu Chochote kwa kumnyenyekea mwenyewe Mungu..

Yaani ndo maana wewe ukitaka kulala lazima umuombe ,hata ukitaka kula basi kulala ,kula na matendi yote unapomuhusisha Mungu ni ibada..

Kutembea ni ibada, kula ni inada, kufanya tendo la ndo ni ibada.

Tofautisha ibada na sala
Kwani shetani wafuasi wake hawamwabudu?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom