Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Haleluya. Yesu Kristo ni Mwokozi. Mkubali awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, ili upate hakikisho la uzima wa milele.
Warumi 10:9-10
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
That if thou shalt confess with thy mouth the Lord Jesus, and shalt believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
[10]Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
For with the heart man believeth unto righteousness; and with the mouth confession is made unto salvation.