Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

Tunajadili,umediss mi kutumia AI kujua uandishi wa biblia,ndiyo nimekuuliza AI inasema tanganyika ilipata uhuru lini?..AI inasema vita vya ghuba ya uajemi vilitokea lini?..ww2?..au AI haisemi kweli kwenye history za dini tu?
Hiyo AI uliyotumia iko kwenye majaribio(beta), usiiamini inaweza kukupa majibu yasiyo sahihi.
By the way, hoja ya msingi hapa sio Biblia iliandikwa lini. Hoja kuu ni je Biblia ni Neno la Mungu? Tubaki hapo, mkuu
 
Tafadhali jibu kwanza maswali ya awali, maana hiki ulichouliza mwandishi amekiweka kwenye uzi.
Amefafanua kuwa kwenye biblia kuna maneno ya Mungu mwenyewe, kuna maneno ya shetani, kuna maneno ya binadamu wa kawaida, kuna maneno ya wachawi, kuna maneno ya majini n.k. Yote yamewekwa kwa sababu maalum kabisa, na mwandishi amefafanua sababu hizo.

Sasa jibu maswali ya msingi;
  1. Je unamfaham/unamjua Mungu?
  2. Kama unamjua, ulimjulia wapi?
  3. Kama humjui, umejuaje biblia sio neno lake?
1)ndiyo
2) Quran
 
wakahukumiwa kukatwa vichwa na binadamu. Shetani alikuwepo?
Msipende kumsingizia uongo shetani.
Yohana 10:10
"Mwivi haji ila aibe, na kuchinja, na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele
Mwivi hapo ni shetani. Aliwatumia tu watu hao kuwakata vichwa
 
Unaweza ukaongea ukweli mtupu kabisa lakini kwa hila!
Kama ilivyo leo wengi sana wanadhani utaua au utakatifu ni njia ya kupata faida.
Meaning that ukiokoka au kumwamini Mungu wa kweli unakuwa tajiri, upaswi kufanya kazi wewe ndo wa kusikilizwa tu, ukihubiri ulipwe, ukifundisha ulipwe, ukiwa nabii lazima uwe tajiri, ukuwe na mali nyingi ndo kubarikiwa.
Vyote hivyi ni kuchanganyikiwa, Mungu atusaidie we need the truth na sio drama drama za religion hiki kirusi cha dini kinatafuna akili zetu. Tunajadili mambo ya kidini na sio uhalisia wa mambo.
 
Mbona nimekujibu. Adam na Hawa wapo leo? Shetani alisema hawatakufa. Nimekuambia pia walikuwa uchi. Mungu ni roho. Hao walibadilika wakawa roho?
Hakuna Andiko Lilisema Kuwa Mkila Mtakuwa Uchi, Au Lipo?
Is this Your Commentary au Ni bible maana Katika Bible Hakuna hivyo unavyotaja..

Ok kwahyo Kama Hawakubadilika Kuwa Roho Hawakuwa kama Mungu kwahyo Mungu Muongo alidanganya?

Oka Ngoja Nikukumbushe Kitu..
Shetani Alisema Kuwa "Watafanana Na Mungu kwa Kule Kujua Mema na mabaya" (Mwanzo 3:5)

na Mungunaliprove kuwa "wamekuwa kama Mmoja wao kwa kujua mema na Mabaya" (Mwanzo 3:22)..

Ok Tuache Hilo la Kubadilika Twende Kwenye Hoja Zako..
Umesema Kuwa Adamu na Hawa walitumikia adhabu ya Dhambi ya Umauti kama walivyoahidiwa Ukiwa unamaanisha (Kwa Kusema Kuwa tunao leo)..

SWali kama Walitumikia Wewe Kama Mkristo Ujio wa Kristo au Yesu ulkuwa na maana Gani kama Adam na Hawa walitumikia Adhabu ya Dhambi yao?

Maana Tunajua Yesu alikuja Kukomboa kutoka katoka dhambi ya Asili sasa kama Dhambi Ilishatumikiwa Adhabu yake alikuja Kufanya nini?

Pili Tuna watu wengi sana ambao Tuliambiwa Hawafi Ila walikufa..

UNAMKUMBUKA KAINI? kaini aliomba Kufa ila Mungu akamuwekea Alama Ya Kutokufa na mtu atakayemuona amkimbie...Je kaini Yupo mpaka Leo?

Twende kwa Yohana ambaye yesu alisema Hafi mpaka Ufalme wa mungu Uje yaani Mapaka atakaporudi mara ya Pili Yohana mwanafunzi wake Hatakufa Vipi Yohana anakaa Nchi gani??

natamani Kama Ungekuwa na Majibu authentic bila Kuweka Maneno yako unayowaza
 
Hilo neno Kama Ndo neno alilotumia Shetani Pia na Ndo neno alilotumia Mungu Pia Swali liko pale pale kosa Liko wapi kusema Ukweli?

Uongo wake bado sijaupata mpaka sasa Na kama Utashindwa sema Nimeshindwa Usidanganye Kitu..

Narudia tena.. NIKIHUSISHA NA NEO "KAMA"

Maneno ya Shetani

Mwanzo 3:5

" kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.


Maneno ya Mungu

Mwanzo 3:22
" Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;"



bado Swali linabaki wazi Binti
Shetani alisema ukweli kwamba wakila tunda watakuwa kama Mungu, ila hakuwaambia mkisha kula tunda la katikati nendeni mkale na la uzima wa milele
Au labda hiyo siri hakuijua.
Mungu akakiri kwamba wamekuwa kama wao, akaondoa mti wa uzima wa milele.
 
Umesoma uzi? Mleta uzi ametaja aina zipi za walioweka maneno kwenye biblia?
Nani kakwambia mleta uzi yuko sahihi!?..tungeona yuko sahihi tusingejadili,hakuna neno la Mungu kwenye bible bali maneno ya watu wakidai Mungu kasema
 
Back
Top Bottom