Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

God has given both his promise and his oath.
These two things are unchangeable because it is impossible for God to lie.” Hebrews 16: 18

On the other hand: The Devil: “Whenever he speaks a lie, he speaks from his own nature; for he is a liar, and the father of lies.”John 8: 44
 
Chief, soma hapa
Mwanzo 3:13
[13]BWANA Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganyanya, nikala.
Hapo unaona confession ya Eva kuwa alidanganywa na nyoka. Sasa rudi msitari Mwanzo hiyo 3:1-6 usome maneno yote ambayo shetani alimwambia Eva ambayo eva amekiri ni uongo. Angalia hapa baadhi;

Mwanzo 3:1,4-5
[1]Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
[4]Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
[5]kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
Mimi nachowaambia Wote Kuwa Lets acts Like Judges..
Tuwe mahakimu..
Tuchukue Maneno ya Shetani (Kama Mtuhumiwa)
Maneno ya Shahidi wengine kama Eva, Adamu na Biblia..

Halafu tutoe Hukumu kwa Pamoja..

Kuhusu Ulichosema Kwamba nyoka alimdanganya...Tuangalie ukweli..

Mwanzo 3:13 twende Kiasili sasa

וַיֹּאמֶר אֱלֹהִים, לָאִשָּׁה--מַה-זֹּאת, עָשִׂיתְ; וַתֹּאמֶר, הַנָּחָשׁ, הִשִּׁיאַנִי--וָאֹכַל.

Vayomer Elohim, la'ishah - ma-zot asit? Vatomer, hanakhash, hishi'ani - va'okhal.

Neno Hanakhash Maana Yake ni Nyoka ila Hishi'ani haina maana Ya Kudanganya Ina maana Ya Kuambiwa Kuishi Au kuwepo..

Na Maneno ya Eva Yalikuwa Shetani aliniambia Nitaishi..
Na Wala Sio Alinidanganya aliyefanya Tafsiri ndo alipanga Kudanganya..

Kiebrania Ni simple sana Mkuu ukikijua ..

Still bado
 
Ni kweli kwamba lugha za asili kama Kiebrania na Kigiriki hazikuwa na mfumo wa herufi kubwa na ndogo. Hata hivyo, maana ya neno "mungu" na "Mungu" inategemea muktadha wa maandishi na matumizi yake katika Biblia.

2 Wakorintho 4:4
"Ambaye katika hao mungu wa dunia hii amepofusha fikira za wasioamini..."

Ni sawa kwamba katika Kigiriki, neno θεὸς (theós) linatumika kwa Mungu wa kweli na miungu ya uongo, lakini kwa andiko hilo muktadha unaonyesha kuwa hapo "mungu wa dunia hii" ni Shetani, sio Mungu wa kweli.

Shetani aliiumba lini dunia hata aseme vitu vilivyomo ni mali yake.

Angalia mfano mwingine:
Wafilipi 3:19
"Mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo, na utukufu wao uko katika aibu yao; wanafikiri mambo ya duniani."

Katika Kigiriki, neno "mungu" hapo ni: ὁ θεὸς αὐτῶν ἡ κοιλία (ho theós autōn hē koilía)

Tafsiri ya moja kwa moja: "mungu wao ni tumbo lao."

Waliotafsiri kwa Kiswahili wamesaidia watu kuelewa tofauti kati ya Mungu wa kweli, shetani na miungu ya uongo. Period
Kwahyo Hapo kwenye wafilipi heujaona Theos?
🤣🤣 Sasa Nijibu kuwa Ni wakati gani Utaweka Herufi kubwa na Herufi ndogo kwa Herufi za Kilatin wakati ambapo Katika Ligha za asili hakuna Hizo herufi??
 
NA Hiyo ndo ilikuwa Jibu
Twende mdogo mdogo tutaelewana tu. Shetani hakusema ukweli bali alitumia maneno yenye mchanganyiko wa ukweli na uongo(nusu ukweli). Nusu ukweli sio ukweli kamili

Mwanzo 3:4-5
"Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa; kwa maana Mungu anajua ya kuwa siku mtakapokula matunda ya mti huo, macho yenu yatafunguliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya."

Hapo shetani alisema uongo kwa njia mbili:
Alisema "hamtakufa" – lakini walikufa (Mwanzo 5:5, Warumi 5:12). Kifo cha kiroho kilianza mara moja, na cha kimwili kikafuata.

Alisema "mtakuwa kama Mungu" – lakini hawakuwa kama Mungu bali walitambua uchi wao na kuogopa (Mwanzo 3:7-10),
Badala ya kuwa kama Mungu kwa utukufu, walipoteza uhusiano wao na Mungu na wakapata maumivu, hofu, na kifo. Walipungukiwa utukufu. Ukweli wa shetani uko wapi sasa hapo

Tofauti kubwa ni hii:
Mungu anajua mema na mabaya lakini hatendi mabaya. Matendo yake yote ni ya haki.
 
Maneno aliyosema Mungu:
"Na iwe nuru!" (Mwanzo 1:3)
"Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha." (Mwanzo 1:28)
"Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile; kwa maana siku utakapokula, hakika utakufa." (Mwanzo 2:16-17)

Maneno aliyosema Mungu mwenyewe kwa Musa (Amri Kumi)
"Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi." (Kutoka 20:2-3)
"Usiue. Usiibe. Usizini. Usitoe ushuhuda wa uongo." (Kutoka 20:13-16)

Maneno ya Mungu kwa Manabii
"Bwana asema hivi, Msihofu, maana mimi ni pamoja nanyi." (Isaya 41:10)
"Mimi ndimi Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi." (Ufunuo 1:8)

Maneno ya Yesu (Mungu Mwana)
"Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi." (Yohana 14:6)
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha." (Mathayo 11:28)
"Nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru." (Yohana 8:32)

LETA HOJA NYINGINE...
Mtu haji kwa baba ila kwa njia yangu mimi, baba ni nani na njia ni nani?
 
Kwahyo Hapo kwenye wafilipi heujaona Theos?
🤣🤣 Sasa Nijibu kuwa Ni wakati gani Utaweka Herufi kubwa na Herufi ndogo kwa Herufi za Kilatin wakati ambapo Katika Ligha za asili hakuna Hizo herufi??
Nimekuambia ukisoma Maandiko soma kwa muktadha.
Kusoma Biblia kwa muktadha ni kuelewa maana ya andiko kwa kuzingatia mambo yanayolizunguka, kama vile:
1. Muktadha wa kifungu – Kusoma mistari inayotangulia na inayofuata badala ya kuchukua mstari mmoja pekee.
2. Muktadha wa kitabu – Kuangalia ujumbe mzima wa kitabu husika cha Biblia na madhumuni yake.
3. Muktadha wa kihistoria na kitamaduni – Kuelewa mazingira, utamaduni, na wakati ambao andiko liliandikwa.
4. Muktadha wa Biblia nzima – Kulinganisha na mafundisho mengine ya Biblia ili kuhakikisha uelewa sahihi.

Angalia mfano huu wa kusoma kwa muktadha:
Wafilipi 4:13 "Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu."

Bila kusoma kwa muktadha, mtu anaweza kudhani Paulo anamaanisha anaweza kufanya chochote atakacho hata dhambi, wakati hiyo sio maana yake.
 
Twende mdogo mdogo tutaelewana tu. Shetani hakusema ukweli bali alitumia maneno yenye mchanganyiko wa ukweli na uongo(nusu ukweli). Nusu ukweli sio ukweli kamili

Mwanzo 3:4-5
"Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa; kwa maana Mungu anajua ya kuwa siku mtakapokula matunda ya mti huo, macho yenu yatafunguliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya."

Hapo shetani alisema uongo kwa njia mbili:
Alisema "hamtakufa" – lakini walikufa (Mwanzo 5:5, Warumi 5:12). Kifo cha kiroho kilianza mara moja, na cha kimwili kikafuata.
Ili Nimekuuliza Swali Siku nyingi Kuhusu Kufa kama Walikufa walitimiza Ahadi ya adhabu ya Kifo waliyopewa Sasa Ilikuwajr Yesu alikuja Kufanya Nini na Kama walikufa na Bado wakapewa Adhabu ya Mauti ya Kiroho kwahyo Mungu alitoa Adhabu Mara Mbili🤣🤣

Still Adamu hakufa Mpaka Alipotimiza Miaka 900+ na Swali langu Kuhusu Kaini na Yohana Hujaliona? Linaweza Kujibu Neno Hakika hamtakufa yako
Alisema "mtakuwa kama Mungu" – lakini hawakuwa kama Mungu bali walitambua uchi wao na kuogopa (Mwanzo 3:7-10),
Badala ya kuwa kama Mungu kwa utukufu, walipoteza uhusiano wao na Mungu na wakapata maumivu, hofu, na kifo. Walipungukiwa utukufu. Ukweli wa shetani uko wapi sasa hapo

Tofauti kubwa ni hii:
Mungu anajua mema na mabaya lakini hatendi mabaya. Matendo yake yote ni ya haki.
Aliyethibitisha Kuwa Amekuwa kama Mungu Ni mungu mwenyewe na Wala sio Shetani nafikiri Nimekuonyesha Hili fungu siku zote na Umenfanfania Kitu ambacho sijasema..

Naomba Kurudis Shetani alisema kwamba Watakuwa kama mungu kwa Kujua Mema na Mabaya..

Na Mungu akasema wamekuwa kama wao kwa Kujua mema na Mabaya..
Sasa Hayo mengine sinui Kutenda mabaya Wewe Umeyatoa wapi..

Huwa siongezi kwenye yale niliyoyasema, swala la Kupungukiwa na Utukufu nimelisema Mimi au Shetanj alisema wataongezeka Utukufu..
Mbona Unaongeza maneno ambayo hayapo kwenye Arguments zangu..

Mimi nilichokadhania Ni hiki watakuwa sawa na Mungu kwa kujua mema na mabaya (Said Serpent)
Na wamekuwa Sawa na Sisi kwa Kujua Mema na mabaya (Said God)..

Hayo mengine Umeyatoa wapi??
 
Shalom!
Mwanzo 2:16-17
"Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile; kwa maana siku utakapokula hakika utakufa."

N i tunda halisi: Biblia haisemi kuwa ni fumbo bali ni tunda halisi kutoka kwenye mti maalum uliokuwa bustanini.

Hata hivyo dhambi yao haikuwa kula tunda tu, bali kutokutii amri ya Mungu.

Jitahidi uwe unasoma Biblia mwenyewe. Vinginevyo ni rahisi kudanganywa na wapotoshaji. Mimi nimeisoma Biblia yote, kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo, zaidi ya mara tatu! Na bado naendelea kuisoma tena na tena.
sasa wanadai bustani na tunda pamoja na hilo tendo la kufa sio kama unavyo elewa yani ni fumbo hii imekakaje mtumishi
 
Kuhusu Ulichosema Kwamba nyoka alimdanganya...
Sikusema mimi, amesema Eva. Rudia kusoma vizuri.

Halafu pia, kazi ya kuhukumu sio ya mwanadamu. Ni kazi ya Mungu. Angalia hapa;
Mathayo 7:1
[1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
 
Twende mdogo mdogo tutaelewana tu. Shetani hakusema ukweli bali alitumia maneno yenye mchanganyiko wa ukweli na uongo(nusu ukweli). Nusu ukweli sio ukweli kamili

Mwanzo 3:4-5
"Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa; kwa maana Mungu anajua ya kuwa siku mtakapokula matunda ya mti huo, macho yenu yatafunguliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya."

Hapo shetani alisema uongo kwa njia mbili:
Alisema "hamtakufa" – lakini walikufa (Mwanzo 5:5, Warumi 5:12). Kifo cha kiroho kilianza mara moja, na cha kimwili kikafuata.
Ili Nimekuuliza Swali Siku nyingi Kuhusu Kufa kama Walikufa walitimiza Ahadi ya adhabu ya Kifo waliyopewa Sasa Ilikuwajr Yesu alikuja Kufanya Nini na Kama walikufa na Bado wakapewa Adhabu ya Mauti ya Kiroho kwahyo Mungu alitoa Adhabu Mara Mbili🤣🤣

Still Adamu hakufa Mpaka Alipotimiza Miaka 900+ na Swali langu Kuhusu Kaini na Yohana Hujaliona? Linaweza Kujibu Neno Hakika hamtakufa yako
Alisema "mtakuwa kama Mungu" – lakini hawakuwa kama Mungu bali walitambua uchi wao na kuogopa (Mwanzo 3:7-10),
Badala ya kuwa kama Mungu kwa utukufu, walipoteza uhusiano wao na Mungu na wakapata maumivu, hofu, na kifo. Walipungukiwa utukufu. Ukweli wa shetani uko wapi sasa hapo

Tofauti kubwa ni hii:
Mungu anajua mema na mabaya lakini hatendi mabaya. Matendo yake yote ni ya haki.
Aliyethibitisha Kuwa Amekuwa kama Mungu Ni mungu mwenyewe na Wala sio Shetani nafikiri Nimekuonyesha Hili fungu siku zote na Umenfanfania Kitu ambacho sijasema..

Naomba Kurudis Shetani alisema kwamba Watakuwa kama mungu kwa Kujua Mema na Mabaya..

Na Mungu akasema wamekuwa kama wao kwa Kujua mema na Mabaya..
Sasa Hayo mengine sinui Kutenda mabaya Wewe Umeyatoa wapi..

Huwa siongezi kwenye yale niliyoyasema, swala la Kupungukiwa na Utukufu nimelisema Mimi au Shetanj alisema wataongezeka Utukufu..
Mbona Unaongeza maneno ambayo hayapo kwenye Arguments zangu..

Mimi nilichokadhania Ni hiki watakuwa sawa na Mungu kwa kujua mema na mabaya (Said Serpent)
Na wamekuwa Sawa na Sisi kwa Kujua Mema na mabaya (Said God)..

Hayo mengine Umeyatoa wapi??
 
Mtu haji kwa baba ila kwa njia yangu mimi, baba ni nani na njia ni nani?
Swahi hili liko nje ya mada, lakini ntakujibu:
Yohana 14:6
Katika andiko hilio
Baba ni Mungu (Yehova), Baba wa milele na Muumba wa vyote.
Njia ni Yesu Kristo, ndiye mpatanishi pekee kati ya Mungu na wanadamu (1 Timotheo 2:5).

Yesu hapo anamaanisha kwamba hakuna mtu anayeweza kufika kwa Mungu, au kupata wokovu au uzima wa milele bila kupitia kwake(Yesu). Kwa maneno mengine Yesu pekee ndiye njia ya kweli ya kutufikisha kwa Mungu. Kwa njia yake tunapata kusamehewa dhambi, na kupata uzima wa milele.
 
Nimekuambia ukisoma Maandiko soma kwa muktadha.
Kusoma Biblia kwa muktadha ni kuelewa maana ya andiko kwa kuzingatia mambo yanayolizunguka, kama vile:
1. Muktadha wa kifungu – Kusoma mistari inayotangulia na inayofuata badala ya kuchukua mstari mmoja pekee.
2. Muktadha wa kitabu – Kuangalia ujumbe mzima wa kitabu husika cha Biblia na madhumuni yake.
3. Muktadha wa kihistoria na kitamaduni – Kuelewa mazingira, utamaduni, na wakati ambao andiko liliandikwa.
4. Muktadha wa Biblia nzima – Kulinganisha na mafundisho mengine ya Biblia ili kuhakikisha uelewa sahihi.

Angalia mfano huu wa kusoma kwa muktadha:
Wafilipi 4:13 "Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu."

Bila kusoma kwa muktadha, mtu anaweza kudhani Paulo anamaanisha anaweza kufanya chochote atakacho hata dhambi, wakati hiyo sio maana yake.
Huko Kote mimi Sikufika..
Yote unayoyaongea Ninayajua Na Yanafundishwa Kwa mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Theology...
Even a Junior theologian anaweza akajua ulichoandika..

Nasubiri Ujibu hoja Zangu maana Naona Unachofanya sasa Hivi kinaitwa Red Herring Fallacy.ni aina ya Logical fallacy ya Kujitengenezea maswali na Kujijibu kitu ambacho hujaulizwa
 
Sikusema mimi, amesema Eva. Rudia kusoma vizuri.

Halafu pia, kazi ya kuhukumu sio ya mwanadamu. Ni kazi ya Mungu. Angalia hapa;
Mathayo 7:1
[1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Kwahiyo Eva Kadanganya?

1 Wakorintho 6:2

" Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?"
 
Twende mdogo mdogo tutaelewana tu. Shetani hakusema ukweli bali alitumia maneno yenye mchanganyiko wa ukweli na uongo(nusu ukweli). Nusu ukweli sio ukweli kamili

Mwanzo 3:4-5
"Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa; kwa maana Mungu anajua ya kuwa siku mtakapokula matunda ya mti huo, macho yenu yatafunguliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya."

Hapo shetani alisema uongo kwa njia mbili:
Alisema "hamtakufa" – lakini walikufa (Mwanzo 5:5, Warumi 5:12). Kifo cha kiroho kilianza mara moja, na cha kimwili kikafuata.

Alisema "mtakuwa kama Mungu" – lakini hawakuwa kama Mungu bali walitambua uchi wao na kuogopa (Mwanzo 3:7-10),
Badala ya kuwa kama Mungu kwa utukufu, walipoteza uhusiano wao na Mungu na wakapata maumivu, hofu, na kifo. Walipungukiwa utukufu. Ukweli wa shetani uko wapi sasa hapo

Tofauti kubwa ni hii:
Mungu anajua mema na mabaya lakini hatendi mabaya. Matendo yake yote ni ya haki.
Mungu hatendi mabaya .ebu Rudi Kwa Ayubu 45:11 ule uovu uliletwa na Nani?
 
Back
Top Bottom