Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Mbona hujamalizia kama walivyosimuliwa!?.. biblia ilivyoandikwa ni kama hadithi za mtume kwa waislam zikivyoandikwa,ni simulizi za watu miaka tele baada ya wahusika kuondoka,waandishi wote wa agano jipya hawakumuona yesu,sababuy liliandikwa miaka 70-100 baada ya yesu kuondokaNini maana ya kunukuu, tuanzie hapo kwanza
Haya maneno siyo ya Mungu wala yesuHaleluya. Yesu Kristo ni Mwokozi. Mkubali awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, ili upate hakikisho la uzima wa milele.
Warumi 10:9-10
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
That if thou shalt confess with thy mouth the Lord Jesus, and shalt believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
[10]Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
For with the heart man believeth unto righteousness; and with the mouth confession is made unto salvation.
Vitabu vya Apokrifa ni "hekaya za Abunuwas." Visome tu kama unao muda wa kupoteza
Walipokula walikuwa uchi. Kuwa uchi ndo kuwa kama Mungu?Biblia Yake umeisoma Vizuri Mungu mwenyewe anathibitisha kuwa Walikuwa kama Mmoja wao..
Shetani alisema Hivi!
Mwanzo 3:5..
..kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu,
Angalia neno hilo "Kama"mkijua mema na mabaya...
Naye Mungu akasema hivi..
Mwanzo 3:22 ...
Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;..
Hilo neno Kama Ndo neno alilotumia Shetani Pia na Ndo neno alilotumia Mungu Pia Swali liko pale pale kosa Liko wapi kusema Ukweli?Walipokula walikuwa uchi. Kuwa uchi ndo kuwa kama Mungu?
Angalia neno hilo "Kama"
Na ndyo shetani alichosema"Kama" maana yake wamefanana tu.
Biblia sio hadithi bali ni Neno la Mungu lililoandikwa kwa uongozi wa Roho Mtakatifu (2 Timotheo 3:16). Isitoshe walikuwepo:Mbona hujamalizia kama walivyosimuliwa!?.. biblia ilivyoandikwa ni kama hadithi za mtume kwa waislam zikivyoandikwa,ni simulizi za watu miaka tele baada ya wahusika kuondoka,waandishi wote wa agano jipya hawakumuona yesu,sababuy liliandikwa miaka 70-100 baada ya yesu kuondoka
Narudia tena hakuna pahala Shetani anaizungumzia Bible na hata Mungu mwenyewe,tuache kutunga vitu.Nenda shule usome history, ujue Biblia ilivyopigwa vita
Ngoja nikupe mfano mwingine ulio wazi zaidi: katika Agano Jipya shetani alimdanganya Yesu jangwani:Hilo neno Kama Ndo neno alilotumia Shetani Pia na Ndo neno alilotumia Mungu Pia Swali liko pale pale kosa Liko wapi kusema Ukweli?
Uongo wake bado sijaupata mpaka sasa Na kama Utashindwa sema Nimeshindwa Usidanganye Kitu..
Historia yako ya uandishi wa bible umeitoa wapi?Biblia sio hadithi bali ni Neno la Mungu lililoandikwa kwa uongozi wa Roho Mtakatifu (2 Timotheo 3:16). Isitoshe walikuwepo:
Mashahidi wa macho: Waandishi kama Mathayo na Yohana walikuwa wanafunzi wa Yesu na walimwona moja kwa moja (1 Yohana 1:1-3).
Muda wa uandishi: Injili zilianza kuandikwa kati ya miaka 20-30 baada ya Yesu, si 70-100 kama unavyodai.
Uhakika wa kihistoria: Maandishi ya Biblia yana uthibitisho wa kihistoria na waakiolojia kuliko maandiko mengine ya kale.
Ukweli wa Biblia haupingwi na umbali wa muda, bali unathibitishwa na ushuhuda wa ndani na wa nje.
Sasa Wewe Unanipeleka Mbele Kwenye Mambo ya mbele wakati jambo la awali hujamaliza Huko Kote tutafika Wala usijali Twende Pole pole Kwanza Nijue Tatizo lake Pale Edeni ni Kosa gani..Ngoja nikupe mfano mwingine ulio wazi zaidi: katika Agano Jipya shetani alimdanganya Yesu jangwani:
Mathayo 4:8-9
"Tena Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu sana, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."
Uongo wa Shetani: Alidai kuwa anamiliki falme zote na anaweza kumpa Yesu, ilhali dunia ni mali ya Mungu (Zaburi 24:1).
Shetani anaongea nusu ukweli ili kupotosha, ndo maana tunasema ni muongo.