Hiyo habari ni fundisho, tujue jinsi shetani anavyoleta majaribu na jinsi tusivyopaswa kumkufuru Mungu. Shetani ameishaandaliwa moto. Ndio sababu anahangaika kutafuta watu watakaoenda naye motoni. Kama unakubali kwenda naye motoni sawa, endelea kumuunga mkono. Utayakumbuka maneno haya kwa majuto.kwenye biblia shetani anapiga stori na Mungu mpaka wanapanga mipango ya kumtesa Ayubu
Hawa watu walitumwa na shetani waziwazi kuikosoa Biblia. Wameshangilia sana kwenye ule uzi wa "Nabii"
Nilipo-post huu uzi hali ikabadilika ghafla. Sasa shangwe zimeisha. Ukweli umejulikana - Biblia ni Neno la Mungu.
Kitabu Kizima Kina Contradiction zaidi ya 700Aah usiniambie!!!
Kwa hiyo ma-logical contradiction na ma-logical fallacy kama yote!!!
Nikikupa hilo andiko?Mungu hatambui kitabu kinachoitwa Biblia, kama unabisha leta andiko lililotaja neno biblia
Mbona si wengine hatuzioniKitabu Kizima Kina Contradiction zaidi ya 700
Nakupa elfu 10 mashahidi wawe ModeratorsNikikupa hilo andiko?
Hiyo habari ni fundisho, tujue jinsi shetani anavyoleta majaribu na jinsi tusivyopaswa kumkufuru Mungu. Shetani ameishaandaliwa moto. Ndio sababu anahangaika kutafuta watu watakaoenda naye motoni. Kama unakubali kwenda naye motoni sawa, endelea kumuunga mkono. Utayakumbuka maneno haya kwa majuto.
Afadhali umerudi. Nilifikiri umeenda kulala. Karibu tena Dr.Mkuu biblia Ina Contradiction Nyingi Nimeona Niache kwa hapo maana Huwezi pata Jibu Hata Ukikazana Kutafuta
Aah usiniambieNakupa elfu 10 mashahidi wawe Moderators
Ongeza na Hii Jibu la Yesu akimpasha au Vijana wa sasa Akimpa Vichambo Herode..Biblia sio maneno ya Mungu, Mungu gani mwenye upendo aseme haya maneno
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos
Na Mathayo 10:35 imeandika
"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
Kwa hiyo unaamini uwepo wa Mungu ila tu unaamini kuwa biblia si maneno yake?Biblia sio maneno ya Mungu,
Kiufupi Kuna kitu Unatakiwa Kujifunza Ungekuwa Umesoma Theology ningekukumbusha Ila ngpja Nikusaidie Jitahidi Kujibu Hoja Kulingana na Ulichouliza, Pili Kumbuka Mungu hatetewi wala Usijaribu kutetea Mpaka Ukaharibu Kitu sema Kitu kama Kilivyo Bila kuingiza Maneno yako wala Visingizio..Afadhali umerudi. Nilifikiri umeenda kulala. Karibu tena Dr.
Mimi nipo. Naendelea kupiga Injili na kumwaibisha shetani. Nimeeleza kwa kirefu tatizo la watu wanaosema Biblia ina "contraction"
Kibao Sana..Mbona si wengine hatuzioni
Yesu hakuja kuhamasisha vita au ugomvi. Badala yake, Mathayo 10:34-35 inazungumzia mgawanyiko ambao Injili inaleta miongoni mwa watu.Biblia sio maneno ya Mungu, Mungu gani mwenye upendo aseme haya maneno
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos
Na Mathayo 10:35 imeandika
"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
Mimi nimesoma na kurudia mara kwa mara vitabu vya Mathayo,Marko,Luka,Yohana,Matendo na Ufunuo.Kibao Sana..
Huwezi kuziona Kama Wewe Sio Msomi wa Biblia Kama Ni mtu wa Kuambiwa Biblia Ni kitabu Kisichohojiwa Utaona Kila Kitu ji sawa
Kwamba unataka ujiweke level moja na Mungu mtu ambaye anakufa mda wowote ilihali Mungu hafiNalifahamu Ilo kiundani zaidi na ndio maana Lusifa alimuasi . UOVU NI UOVU TU HAIJALISHI KATENDA NANI
Anatambua kitabu gani?Mungu hatambui kitabu kinachoitwa Biblia, kama unabisha leta andiko lililotaja neno biblia
Vichwa viko higherKwamba unataka ujiweke level moja na Mungu mtu ambaye anakufa mda wowote ilihali Mungu hafi