Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

"To the one who has no faith, no explanation is possible and to the one who has faith, no explanation is needed". "Mwenye imani hahitaji maelezo mengi yoyote, kwa asiye na imani hakuna maelezo yoyote yanayoweza kumtosha!"(Thomas Acquinas)

Kuhoji ni mwanzo mzuri wa imani, Mungu akujalie imani thabiti.
 
Biblia siyo utaratibu wa ibada. Hapo ndipo nyie mapentekoste mnakosea. Nimekuuliza kuna ubaya gani kusema Mama Maria utuombee kwa Mungu?
Kifungu cha Biblia tafadhali kiweke

Ukiristo una mwongozo ambao ni Biblia ili kuepuka mtu kuibuka tu na kujitungia vya kwake.Fafanua uhalali wa yeye Maria k
kuombwa aombee watu na ushahidi wa Kiblblia kuwa alipaa mbinguni

Mpira tunaurudisha kwako weka hoja yako vizuri na ufafanuzi mzuri unaoungwa mkono na Biblia
 
"To the one who has no faith, no explanation is possible and to the one who has faith, no explanation is needed". "Mwenye imani hahitaji maelezo mengi yoyote, kwa asiye na imani hakuna maelezo yoyote yanayoweza kumtosha!"(Thomas Acquinas)
Msemo tu wa hekima za kibinadamu sio za kimungu .imani sio blind faith isiyo na maelezo ya uhakika

Waebrania 11:1 inasema
"Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.”

Faith is not blind.Ni kitu unatakiwa kuwa na uhakika nayo na ushahidi wa uhakika wa hayo mambo unayoamini uwezayo kuelezea hata mwingine akaelewa hicho unachoamini kwa ubayana
 
Baba yako mzazi mwenyewe huna uhakika naye na bado unamuita baba. Acha kuleta nukuu isiyo relevant
 
Biblia siyo utaratibu wa ibada. Hapo ndipo nyie mapentekoste mnakosea. Nimekuuliza kuna ubaya gani kusema Mama Maria utuombee kwa Mungu?
Wewe bro unajua unachokiandoka
Sasa biblia ni kitu gani ??
 
Umesema kweli
Madhehebu yana taratibu zao
Ila kanisa halisi
Halina taratibu wala kanuni isipokuwa biblia
Maana biblia imeeleza kila kitu
Jinsi ya kuomba
Ibada ziweje
Kila kitu
 
Msichonge kwa mfano wake
 
Kanisa la kwanza lilianzishwa na Mungu mwenyewe siku ya pentekost
Na mmiliki wa biblia sio catholic
Mungu ndie mmiliki wa maandiko yake matakatifu.

Haikuwa vatican iliyimtuma musa ama eliya ama paulo ama yohana
Mungu ndie aliewatuma watumishi wake na kuwapa maneno hayo ya uzima.

Kama roman ndio iliwatuma ao watu basi bila shaka biblia ni yao

ILA MPAKA LINI NINYI WAPAGANI MTAJIPATIA UTUKUFU WA MUNGU.
KWA UNAFIKI WA MIOYO YENU
MUNGU HASHEI UTUKUFU WAKE NA WANADAMU.
 
Marko 7:6-9
[6]Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa,
Watu hawa huniheshimu kwa midomo
Ila mioyo yao iko mbali nami;

[7]Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu,

[8]Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.

[9]Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.



Mmesoma kwenye maandiko yenu habari za mafarisayo na masadukayo
Na jinsi walivyoshika mapokeo yao na kujimilikisha utukufu wa Mungu.
Wakionekana watakatifu mbele za wanadamu

ILA NAWAAMBIENI YUPO ALIEMBAYA ZAIDI YA MAFARISAYO NA MASADUKAYO WAKATI HUU.
Ni heri mara mia mafarisayo na masadukayo
Kuliko upagani wa vatican, na kwakuwa nafsi zao zipo kifungoni,haziwezi kugeuka hata kama ukweli wakahubiriwa mpaka siku ya kuzikwa kwao
 
Kanisa la kwanza lilianzishwa na Mungu mwenyewe siku ya pentekost
Na.
Mungu hakuanzisha kanisa bali Mungu aliumba dunia. Mwanzo:1

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Yohana 3:16-17
 
KIMBIA UROMAN KWA MBIO ZAKO ZOTE.
HUU NI UJUMBE WA DHARURA
JITENGENI NAE.
TOKA KWAMBIO ZAKO ZOTE,NA NGUVU ZAKO ZOTE,UIOKOE NAFSI YAKO.
MAANDIKO YANASEMA MPINGA KRISTO ATAKUWA MKRISTO,NA ATAFANANA SANA NA UKRISTO WA KWELI MATH 24:24
ILA mtawatambua kwa mambo wanayoyafanya.

2 Wakorintho 6:15-17
[15]Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari?
Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?

[16]Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

[17]Kwa hiyo,
Tokeni kati yao,
Mkatengwe nao, asema Bwana,
Msiguse kitu kilicho kichafu,
Nami nitawakaribisha.


Tokeni jitengeni nao.

Wao ni banda kubwa la mabroila,wamefungia watu wengi wasiojitambua.
Hawajui lolote isipokuwa kile padri anachosema
Na iko wanakiamini sana ata wafe kuliko wanavyoliamini neno la mungu .
Yupo radhi alitetee kanisa kuliko neno Mungu aliemuumba.

MABROILA,WANASUBIRI PADRI AJE AWALISHE.
NA HATA MEZA YA BWANA WANATAKA WALISHWE.

Ufunuo wa Yohana 18:4-5
[4]Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.

[5]Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
 
Mungu hakuanzisha kanisa bali Mungu aliumba dunia. Mwanzo:1

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Yohana 3:16-17
Mungu hakuumna dunia peke yake
Soma maandiko
Utaona mambo Mungu amefanya na jinsi yalivyo mengi.
Kama Mungu hakuanzisha kanisa lake siku ha pentekost basi vatican ndie aliewashushia nguvu za roho mtakatifu siku ile.

Biblia inasema Mungu anakanisa lake
Na shetank ana makanisa yake
 
Injili imehubiriwa mpaka mtandaoni .
Ila nawaambieni angekuja leo hii uyo Yesu mnaedai mnamwambini
Angewapinga na upagani huu wa romani.
Tena zaidi ya hvi
Kwakuwa ili ni neno lake

Yule yesu wanaedai wanamwamini akija leo hii hawatamkubali,atavunja meza za biashara na minada kanisani na mengi zaidi wasingemvumilia wangemtimua kama alivyotimuliwa zamani zile.

Kanuni za roman zitapita
Ila neno la Mungu halitakaa lipite kamwe.
Ni heri ukasimama juu ya mwamba ambao ni neno la Mungu
Uko kwengine unapopatetea nje ya neno la Mungu si penyewe.

Mungu atahukumu kupitia neno lake sio kanuni za roman na vitabu vya roman kama mnavyosema

Na haya nawaandikia kwa upendo,
Tokeni kwake
 
Mkuu uislam umeingiaje hapa katika mada hii, em jikite kujibu hoja za mwenzetu pasipo kukimbilia kuingia uislam hapa,
 
Tutajie kidhehebu uchwara chako kwanza, siyo tu unakomaa na imani ambayo haikuhusu
 
Kuna biblia inayotumia kiswahili cha kisasa inaitwa biblia habari njema na biblia takatifu inayotumia kiswahili cha kimvita....hii ndio hutumika sana
 
toka lini vitabu vya ziada vikaitwa biblia mkuu?
Misale ni kitabu cha sala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuunganiswa na baadhi ya maandiko ya biblia.

Kule kunasala za
Asubuhi
Mchana
Usiku
Kazi
Misiba.

Ukipata wasaha mzuri unaweza jifunza pia kwa waumin walio karbu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…