Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
"To the one who has no faith, no explanation is possible and to the one who has faith, no explanation is needed". "Mwenye imani hahitaji maelezo mengi yoyote, kwa asiye na imani hakuna maelezo yoyote yanayoweza kumtosha!"(Thomas Acquinas)Kuwa na waumini wengi ni shida nyingine maana kuna mfano wa Yesu wa Barabara Pana na nyembamba inatakiwa usome hicho kisa vizuri .
Shida kubwa ni kuwa unafanya na kuamini kitu ambacho haipo kwenye Biblia na mbaya zaidi unaamini ni agizo la Mungu...
Na si Hilo Tu hapo mengi mno sasa atasemaje mnafuata Biblia ikiwa Jambo ndogo Tu kama Kuomba Maria AWAOMBEE Kwa Mungu umeshindwa kutupa uthibitisho wa kimaandiko inaamaana huamini Biblia
Kuhoji ni mwanzo mzuri wa imani, Mungu akujalie imani thabiti.