Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu.
Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi kikubwa umefeli sana, Putin alipojibu kwa makombora yenye nguvu zaidi ambayo hajawahi kuyatumia tangu vita ianze, Ukraine imetulia inajithamini.
Kwa upande wa kulazimisha kusifiwa Biden kaamua kuilazimisha Israel ikubali cease fire kwa Kakataa kuiuzia silaha za kuendeleza mashambulizi (Arms Embargo), Kwa kufanya hivi Netanyahu kishingo upande kakubali kusimamisha vita lakini ni kwa siku 60 tu, ni siku ambazo zimebaki Trump kuapishwa, Trump kipenzi cha Israel.
Netanyahu aliwahi kukiri wazi kabisa hakuna rais rafiki wa Israel kumzidi Trump, Na kweli ukiangalia safu inayojengwa na Trump kwenye uongozi wake ni Pro Max Israel, Yaani Israel ikihitaji silaha asubuhi basi mchana zinafika kwa ndege na nyongeza, Wataothubutu kuwatukana waisral Marekani walivumiliwa na Biden lakini watashughulikia awamu ya Trump.
Kwa upande mwengine Iran na vikundi vyake wajiandae, pindi tu Trump akiingia ikulu wajipange kisaikolojia na kufikiria mara mbili mbili kwenye kuishambulia Israel, Hakutakuwa na mambo ya cease fire na hakutakuwa na uhaba wa silaha kwa Israel.