Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.
Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?