Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

Africa ni dump la bidhaa fake za china, na ndio source kubwa ya uchumi wao Kwa Sasa.

Mchina yeye kazi yake ni kutoa copy ya bidhaa zote zinazo trend huko duniani na kuzimwaga Africa.

Kiujumla biashara inayofanywa na wachina Africa ni utapeli halali ambao serikali za Africa zimeridhia.
 
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.

Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537View attachment 3265539
Hivyo viatu ulifua na Sabuni
Kingine inategemea umenunua duka Gani au bei Gani, kiatu kiuzwe 35K Kwa nn kisipauke?
 
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.

Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537View attachment 3265539
Acha kuvaa midosho mkuu, mwaka Jana nimenunua raba makumbusho ilikuwa ni mwezi wa nne na hiyo raba haipauki zaidi ya kuishiria sori na nilikuwa nazivaa kila siku...
截屏_20250310_140215.jpg
 
Mamlaka zifanyeje,
Hapo umevaa Vans ya kichina haiyumkini umenunua 15- 30 k.
Unaijua bei ya Vans yenyewe OG?toka mbele,100-150k
Endeleeni kuvaa matambara
 
kupitia uzi huu nimegundua ujivuni wa members wengi ambao nao hawajui chochote
 
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.

Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537View attachment 3265539
Ajabu ni kwamba both team to score (BTS)

Jeans na kiatu vyote vimepauka
 
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.

Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537View attachment 3265539
Hahahaa....pole! Ila watanzania wengi hatuna desturi ya kusoma maelekezo katika bidhaa....
Mfano: Nguo imeandikwa usafi ifanyiwe kwa "dry clean", wewe raia unaloweka masaa nane😀😀😀😅lazima upate mpauko grade one!!..
 
Na huu ndio ukweli wenyewe.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom