Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.

Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?View attachment 3265537View attachment 3265539
Wewe wadhani yale machocho ya bidhaa bei rahisi china mnazoonyeshwa na wafanyabiashara wajasiriamali si ndizo mnaletewa hapa.
 
Back
Top Bottom