Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.

Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
 
Kama mchunga mbuzi hapo chini!Viwango vya ovyo,Bora mitumba!
 
Nguo zisizopauka zipo tu shida bei yake utaweza tembea nayo kiongozi?store za woolworths tz wana brand jeans kama Levi's price ina range shilingi 70 mpaka laki mbili na uchafu wake.Store za streetsoul product unazosema zipo shida bei utatembea nayo?
 
Sio
Kwamba mnapenda vitu vya bei chee bwelele bwelele eti unakuta mwanaume mzima ananunua kiatu cha elfu 15k rubber za mchina kama hizo ulizovaa hazizidi 20k ikizidi hapa umeibiwa , jeans la 25 mpaka 35 utalia sana. Soko huria/hulia sijui ninii! 😀😀🇹🇿🇨🇳🇹🇿🇨🇳🇹🇿
 
Usishangae ukavipeleka kwenye mitumba ukaambiwa mtuba mugumu unadumu.
 
Janja wa Tukuyu moja eeeh…

Mkiambiwa acheni kwenda kwa Vunjabei mnagoma🤣🤣
 
Zamani walikuwepo watu wanaitwa TBS sijui kwanini walifutwa? Hawa ndiyo wangetusaidia kwenye haya mambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…