Ndio ita create opportunity ya viwanda vya ndani kubadili aina ya bidhaa na kuongeza wigo wa production.Tukipiga ban bidhaa za Kenya ambazo ndio zimetawala kwenye soko la TZ, serikali itasababisha mfumuko wa Bei mkubwa kwa sababu flow ya bidhaa itapungua.
Ukiondoa South Africa hakuna nchi ambayo ni industrialized kama Kenya East & Central Africa. Kuagiza bidhaa kutoka SA sio suluhisho kutikana na umbali Bei zitapanda tu.
Wale wadada hawatala mkate blueband ikikosekana jmn! 🤣 🤣 🤣Mwananchi wa pale kijijini kwenu anaathirika nini akikosa blueband toka Kenya
😂 😂 😂Unaweza kuja kuambiwa hadi kcb inatoa note fake [emoji1787]
Swali zuri! 👌Kenya hawajakurupuka, ila walichofanya ni kuchunguza mahindi yetu na kukuta yana sumu kuvu. Tanzania walipochoma vifaranga kutoka Kenya walitoa taarifa Kenya?
Wale vifaranga vipi, hivi hujui 'tit for tat is a fair game'?Kenya walichofanya ni kutuvua nguo. Maana sasa hatutaaminika sio na Kenya tu, bali Nchi zinginr zote za jirani. Yaan kibiashara au kiuchumi hatua ya Kenya ina madhara makubwa sana kwetu, na sio hatua ambayo ingepaswa kuchukuliwa na nchi kwa jirani yake.
Babu, wacha huko Tz, kuna company ya pineapple ya DelMonte ina bidhaa zao kwenye supermarket za nchi za nje nyingi sana (mimi mwenyewe nimeshuhudia na nikavinunua), sasa mbona hizo nchi hazijalalamika kuhusu product ya KE, nyinyi tu ndio mwataka leta issue finyu! 🤣Mtu kuhoji ubora wa bidhaa anazotumia unaita uswahili?
We jamaa ni mtupu Sana kichwaniEndeleeni kuleta Uswahili kwenye systems za biashara.
Mtavuna mabua maana mnashindwa kuelewa Uchumi Mkubwa mara mbili yako sio uchumi wa Burundi huu, angalia kwa makini sana.
Brother uki-import kitu chochote toka kokote kwa ndege ni lazima kipite Nairobi ndio kije JKNIA, sasa Kenya akiamua kutu-cut off tu route ya ndege, itabidi mizigo iende Cape Town ndio ije Dar, sikilizia bei hapo sasa!
Kua mpole mpaka uchumi wako utakapokua sawa au kuuzidi wa Kenya ndio uongee.
Hawajiulizi ile ni miti(mbao) au mifupa imechongwa ikatengenezwa toothpick? 😂 😂 😂Miaka yote mmetumia leo ndio muhoji??
Mbona mnaimport toothpick toka uchina nazo zina usalama??
Kenya wanatumia mahindi pia kutoka Tanzania miaka yote,ghafla wanayazuia eti yana sumu.Miaka yote mmetumia leo ndio muhoji??
Mbona mnaimport toothpick toka uchina nazo zina usalama??
Unamaanisha na wao KBS yao ilikuwa haifanyi kazi? Mpaka wa horohoro Bado mahindi yanapita, hapo ndio utaelewa Hawa wakenya Wana agenda yaoUzi wako unamaanisha TBS huwa haifanyi kazi...lakini kama unamaanisha kuwalipizia wakenya kwa njia hiyo huo ni USHAMBA...
Tuchunguze madai yao kama yana ukweli tufanyie kazi kama hayana ukweli tuchukue hatua stahiki ikiwemo kuwashitaki kwa kutuchafua na kutusababishia hasara....watu wazima humaliza matatizo na migogoro ki utu uzima.
Hilo swali si unaweza pia kuligeuza "miaka yote Kenya wanachukia mahindi Tz, kwa nini mwaka huu ndio waanzw kusema Yana sumu?Miaka yote mmetumia leo ndio muhoji??
Mbona mnaimport toothpick toka uchina nazo zina usalama??
Mfano wako hauna mantiki yoyote kwa muktadha huu maana sasa isingekuwa unazuia halafu huna option uzuie bidhaa za Kenya hapo bongo kuna viwanada mbadala wa kutengeneza au utafanya import toka uchina je gharama zake wangapi watamudu?Kenya wanatumia mahindi pia kutoka Tanzania miaka yote,ghafla wanayazuia eti yana sumu.
"akupigae ngumi ya jicho na wewe tafuta kipande cha nondo umfume usoni"
"weka ugoko niweke msumari wa zege"
Wewe ni mjinga, bidhaa za Kenya ni maziwa, blue band, Sabuni za unga na vipande, kiwi n.kMfano wako hauna mantiki yoyote kwa muktadha huu maana sasa isingekuwa unazuia halafu huna option uzuie bidhaa za Kenya hapo bongo kuna viwanada mbadala wa kutengeneza au utafanya import toka uchina je gharama zake wangapi watamudu?
Tunaambiwa uchumi wa kati na viwanda watu wanakaa saa 12 bila umeme halafu hakuna taarifa wala fidia yoyote TRA wakija wanasomba pesa
Wakati mwingine tudili na matatizo yetu tuyatatue ndio tutunishiane misuli na waliotuzidi bila hivyo sifa za jiwe zitawaponza wakulima na watu wenye kipato chini...
Tanzania ilipaswa kufanya analysis kitaalamu kupinga hoja ya wakenya kitaalamu so walitakiwa wapime sampuli za mahindi tofauti tofauti ndio waje na jibu kupinga sio kupinga kwa story wakati wenzetu wanasema wamepimaHilo swali si unaweza pia kuligeuza "miaka yote Kenya wanachukia mahindi Tz, kwa nini mwaka huu ndio waanzw kusema Yana sumu?
Hao KBS sijui wawe hawafanyi kazi au wanafanya kazi siyo suala letu ku deal nalo...claims zimekuja tuzifanyie kazi tujue kama ni kweli au si kweli ili tuchukue hatua....siyo maneno mengi wakati hatujui kama ni kweli au si kweli rather than mere assumptions tu....Unamaanisha na wao KBS yao ilikuwa haifanyi kazi? Mpaka wa horohoro Bado mahindi yanapita, hapo ndio utaelewa Hawa wakenya Wana agenda yao
Nashindwa kukupa jina lingine zuri zaidi ya mjinga, Tz wao wanaona mahindi hayana shida, Sasa nj wajibu wa Kenya kupeleka official statement kwa TZ. Ukiachana na hayo kwa nini mpaka wa horohoro kule Tanga Bado mahindi yanaenda Kenya?Tanzania ilipaswa kufanya analysis kitaalamu kupinga hoja ya wakenya kitaalamu
Ajabu kwa awamu hii wanaishia kujibu puuzeni na hatujapokea barua yoyote na wanamtanguliza waziri ilhali zama hizi za kidigitali barua ilikwisha sambaa mitandaoni muda mrefu sana
Kosa kubwa la awamu hii ni kuigiza matatizo hayapo badala ya kutatua mfano ni Jiwe kusema Hakuna covid 19 Tanzania na wakati Tanzania hakuna upimaji je mtanzania akienda Bomet akapatikana na covid 19 mtasema ni Vita ya kiuchumi kama kawaida?
Hatuwezi kuyatatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo- Hayati Mwl J.K.Nyerere
Umesema TBS walikuwa wapi na Mimi ndio nikakuulizaa na hao KBS miaka yote walikuwa wapi? Naona umekwepa hili sababu ya ujinga wako.Hao KBS sijui wawe hawafanyi kazi au wanafanya kazi siyo suala letu ku deal nalo...claims zimekuja tuzifanyie kazi tujue kama ni kweli au si kweli ili tuchukue hatua....siyo maneno mengi wakati hatujui kama ni kweli au si kweli rather than mere assumptions tu....