Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

Wabongo acheni kulialia

Siyo lazima unywe soda, kwanza soda ni

Mbaya kwa afya yako tu

Na upande wa maji chemsheni wenyewe

Maji mya chuje

Ova
Ameongelea vitu vingi sana ndugu mwandishi


Soda
Alizeti mafuta
Nondo nk wewe umeona soda tu???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3530]matupu wewe
 
Kukimbia shule, bidhaa huathiriwa na uzalishaji, uhitaji na usambazaji
Uzalishaji umepungua kipindi cha mama tu? Vita ndo kwanza inasiku 35 toka ianze


Washushe petrol na diesel tu
Wamemaliza kila kitu
 
Na haujawahi tokea. Kwanza hawa wahindi bac tu.
 
Hakika mkuu
 
Hizi bei za bidhaa hasa mafuta ya kupikia, soda na maji zitajipunguza zenyewe automatically kwani watumiaji watazi- ignore hizo bidhaa Kwa kununua kidogo au kutonunua kabisa na mwisho wa siku zitawadodea waliozifungia kwenye magodown na zitaexpire waking'ang'ania kubaki nazo! Ni suala la muda mfupi mno tusubiri!
Walaji tujaribu kususia bidhaa hizo Kwa kutumia bidhaa mbadala ambazo bei zake ni avoidable Kwa pesa ulizonazo! Hakika tutaishinda hii vita ya bei kupanda kiholela!
 
Singida haiko dsm na wala mafuta kutoka singida hayaji kwa ungo..!

Treka za kulimia mashamba na mashine za kukamulia hazinywi maji wala mbege.
 
Endelea kujidanganya hivyo,

Tanzania ina uhaba mkubwa wa mafuta ya alizeti.
 
Nimetoka kununua sabuni ya jamaa mche 3500/= sabuni ya unga ya mchina 1 kg 1400/=.Mama anaupiga mwingi sana.
 
Jipangeni upinzani mda ndiyo huu. Maisha magumu sana.
 
Hapo ndipo naona utofauti wa Tanganyika na Zanzibar, huku Nungwi - Zanzibar tumezoea kuuziwa soda 1000/1500 na tunaona fresh tu, tukija Tanganyika tukitoa 1000 tunaondoka hadi muuzaji/muhudumu akuite akurudishie chenchi ndipo unakumbuka uko Tanganyika na si Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…