Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

gwajima askofu na gwajima mume wa waziri ni mtu na kaka yake kwa upande wa mama
Yule mzee alisimama leo pale madhabauni Askofu kamtaja ni babaake na wamezaliwa watoto 12 kwa baba mmoja mama mmoja na Askofu ni wa nane.
 
Jamaa wametuchukulia poa sana sisi wananchi tunaohangaika na maisha ...hizi ni dharau za wazi wazi kwetu sisi wananchi,..Muumba tembea nao hawa mapema.
 
Yule mzee alisimama leo pale madhabauni Askofu kamtaja ni babaake na wamezaliwa watoto 12 kwa baba mmoja mama mmoja na Askofu ni wa nane.
kale kazee nako ni katapeli
 
Yaani Wafuasi wa Gwajiboy wanashangilia na vigeregere eti asitumie Jina la Mume wake kha!
Kwa vigelegele na nderemo kabisa.....akina mama wakiwa mstari wa mbele...
 
Wazee wenye hekima katika huo Ukoo au familia, wamalize ugomvi huu maana watu watavuana nguo
 

Inatia huzuni na hasira sana kuona watu wazima na akili zao kusadiki upuuzi wa mtu aina ile!
 
Huyu gwajima kaoa mwanamke kichaa kaachika ndoa mbili,yeye akaja kuchukua gunia la mavi...huyo mama ingekua kwetu tulishamfukuza kwenye familia,ni kichaa halina mjadala
 
Wakuu nimeamua kwenda site kujiridhisha na Ile project ya mkono wa baunsa,daaaaa kichekesho Cha Karne bwana Gwajiboy kuikana Ile sio project yake maana mwanzo sura haikwepeshi mbaka anaiziba kamera na mkono ( wa baunsa)
pale end of the scene Ile miguno ya kukwaruza ni sauti yake kabisa yaani daaa
Huyu jamaa ni msanii Aisee yaani nyumbu zake kawashika kweli hata hawashtuki Hadi huruma!
😁😁😁😁
 
Askofu Gwajima anafanya haya yote kwa lengo gani na faida ya nani, anataka ku prove nn
Hili ndo swali na hoja inayotesa wote wenye akili. Ilikuwa kosa kubwa sana kumkaribisha Gwajiboy barazani mwa ccm. Hakika ni ngumu sana kujua anachotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…