Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

Dawa ya watanzania ni TOZO, nimegundua ikifika hapo wanakuwa wapole hakuna kucheka wala vigeregere.
 

Hoja mfu haswaa, na waumini wao wakishabikia 🤣🤣🤣 ngoja wapigwe mafuta ya upako kama wale wa MOSHI wakapoteza maisha kwa ujinga wa mwamposa 🤣🤣🤣
 
sasa kale kazee katapeli klikomzuia kutumia jina la Gwajima kanajielewa kweli?
Kazee kamekosa busara kabisa.

Nimeshangaa sana kwamba kumbe mpaka leo kuna wazee ambao busara zero kabisa ?
 
kuna sehemu alisema kuwa katika baba zao walio hai huyo ndiye aliyebakia na kwa mila zao wasukuma ni kweli ndo baba mkwe ila maadam amemkana ina maana kuwa ukoo si mmoja tena dorothy na joephat wameawagawa tayari
Dah! Kweli mchungaj gwajima hana vita ndongo..yaani tatizo la kiserikal limesababisha agawe ukoo?
 
...Mimi Jana niliambulia hii tu......KWANI WAREMBO WANA UBAYA GANI🤭🤭
 
Askofu Gwajima mtu wa fiksi kali.
Uongo unaendelea kumuumbua.
Toka ashindwe kufufua wafu, laana iko juu ya kichwa chake.
 
Alimshambulia Makonda aka Bashite kila palipo na ibada jumapili......akapata umaarufu mkubwa kwa visingizio vya uongo na sasa amerudia tena
Yale ya Bashite Ni kweli, mbona Makonda alikataa kutaka jina la baba yake siku alipohojiwa? Halafu Mh alimkingia kifua Hadi akasema Makonda siyo mtumishi wa umma.
 
Sio tu katapeli ni kapuuzi pia kwa sababu kwa mzee mwenye hekima hawezi kuongea utumbo kama ule
Kwanza ni aibu kusimamishwa kanisani kwaajili ya utumbo kama ule..hivi huyu mzee si ndo alitakiwa awe msuluhishi? Sasa anaparamia kanisa kuonyesha vile hana busara dah! Kwweli siyo wazee wote wenye busara
 
wameshiba hao wakiwa na njaa watanyamaza....

Ndugu wakigombana shika jembe ukalime😁
 
Yule mzee alisimama leo pale madhabauni Askofu kamtaja ni babaake na wamezaliwa watoto 12 kwa baba mmoja mama mmoja na Askofu ni wa nane.
Ukiangalia huyo mzee kafana sana na askofu kuliko marehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…