Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
kipaji halisi mambo vp? Eti birthday yako ni tarehe 31/02? Nimeambiwa na Mtambuzi kuwa nikuandalie keki siku hiyo ikifika.hongera na ww kwa kula chumvi nyingi...hahahahahaha@paloma
...hahahahahaha...mimi sio tarehe bhana...yangu bado sanakipaji halisi mambo vp? Eti birthday yako ni tarehe 31/02? Nimeambiwa na Mtambuzi kuwa nikuandalie keki siku hiyo ikifika.
naiheshimu sana famile yako warembo wako wooooote!
pampas...alinivika Ruttashobolwa akanibadilisha mara mbili manake nlikunywa sana madhiwa yale ya pinki!
msalimie mwanao CHARMimglady! nimemiss tulivyokuwa tunacheza naye kombolela!
DadaPaloma mm sikuweza kukupa pongezi zangu kwa wakati....Hongera mpenzi
niko cha nne sasa na ndio ninachokipenda......
weweeee embu tuliza ki-ball hichooo...kula sangara sato wana-export-iwa sio hadhi yako!
Teh teh..usinisahau kwenye maids..hakuna pilau wala nini!!! nataka michango yenu nijengee banda la broilers! mtakula chipsi mishkaki kama ya pale leo tupo hapa
Mh... mke mwenza paloma hongera sana.... Bora tu nikubali yaishe la sivyo ntaumia roho bure ukizingatia wewe ndo umeshika mpini mie nimeshika makali lolest!!!!!!
Keki yangu ntaifata tu we ngoja nizichange za fastjet!!!!
JF Dar wing ikifika birthday yangu nitakuja nami mnifanyie party kha!!!!!!!
Kwanini tea jamani!!!?thitaki!!!
weweeee embu tuliza ki-ball hichooo...kula sangara sato wana-export-iwa sio hadhi yako!
Umeniacha peke yangu kwenye chama cha CCB..maana KakaKiiza alimpata amu siku ile. Kama shemeji yako Nicas Mtei yupo single mwambie na mimi bado nipo nipomamitooo kausha..........wee si ulikuwa unamdengulia! anyway usijali muwe mnajiiba mkumbushie......nisijue lakini nnaweza kuua mtu! hahahaaaaaaaa
wala usipate presha ikifika niambie tunatuma bukee la maua na keki ku fastjet.....wewe unarelax!!!
mamitooo kausha..........wee si ulikuwa unamdengulia! anyway usijali muwe mnajiiba mkumbushie......nisijue lakini nnaweza kuua mtu! hahahaaaaaaaa
wala usipate presha ikifika niambie tunatuma bukee la maua na keki ku fastjet.....wewe unarelax!!!
teh.......ushamba huuu....haya badilisha hukokwahuko