Umeniacha peke yangu kwenye chama cha CCB..maana KakaKiiza alimpata amu siku ile. Kama shemeji yako Nicas Mtei yupo single mwambie na mimi bado nipo nipo
Mwanamke kudengua weye...... hahahaaaa... We kubali tupo wawili ili usiumie roho bidada!!!!!
Teh teh.... Haya mke mwenza!!!!!!!
nimenuna!!!
Hongera sana Paloma, tunakuombea mungu akuongoze akubariki kila uingiapo na utokapo. Aisee ile miaka ya naniiii bado kabisa banaa! Mulize King'asti na gfsonwin wanajua how to deal ile mambo..... Chezeiya maloveeee.... Vin Diesel abaki anashangaa unazidi kung'ara na kupendeza
kwani mie nakataa baathi ukute tunajishaua hapa kumbe mwenyewe anayependwa yupo.......chezea hawa watu wenye naniliu......heheheheee! Sie tupendane tu kwelikweli mwenyewe atukomeee.........
:becky::becky::becky::becky::becky::becky:Umeniacha peke yangu kwenye chama cha CCB..maana KakaKiiza alimpata amu siku ile. Kama shemeji yako Nicas Mtei yupo single mwambie na mimi bado nipo nipo
Hahahahahahaha
ngoja nimtume charminglady akulletee
Umeniacha peke yangu kwenye chama cha CCB..maana KakaKiiza alimpata amu siku ile. Kama shemeji yako Nicas Mtei yupo single mwambie na mimi bado nipo nipo