Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

Hili basi huwa ni bovu lakini wahaya ulikuwa huwaambii kitu Advanture alipeleka gari mpya wahaya hawapandi ikabidi afute route ya Kigoma -Bukoba. Walipenda basi lao kampuni KABCO kwakuwa kuanzia dereva na makonda ni watu wahaya. RIP wapendwa wetu.
 
Imenikumbusha ajali moja mbaya ilitokea kona za Lukumburu Songea, nimesahau jina la bus ila ilifumuka kama hiyo na iliua karibu abiria wote, ile sehemu pamejengwa mnara
 
Aliyeandika hii habari huenda hana D mbili
Haiwezekani anasema haijawahi tokea ndani ya miaka 10 kama hii halafu hajaandika taarifa kamili....

Kwani huko ni mchana mbona picha jua bado lipo na mpaka sasa hakuna media imeripoti breaking news
 
Aiseee😰
 
Tribalism tu wanajuwa kabisa gari bovu na huwa linaharibika mara kwa mara njiani lakini utakuta basi limeharibika njia ya Kigoma -Kibondo na wapo confortable tu wanasubiri fundi anatengeneza waendelee na safari.
Hao jamaa Mungu amewapa vitu vya ubinafsi flani hivi,special fake flan hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…