Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

utakuta basi limeharibika njia ya Kigoma -Kibondo na wapo confortable tu wanasubiri fundi anatengeneza waendelee na safari.
🤣😆 halafu ndiyo wasomi wakuu Tanzania nzima Afrika Mashariki na Kati
 
Chuma imeisha, Mungu awape faraja familia za wahanga
 
Hili basi huwa ni bovu lakini wahaya ulikuwa huwaambii kitu Advanture alipeleka gari mpya wahaya hawapandi ikabidi afute route ya Kigoma -Bukoba. Walipenda basi lao kampuni KABCO kwakuwa kuanzia dereva na makonda ni watu wahaya. RIP wapendwa wetu.
Una bifu na wahaya mkuu?
ina maana magari mapya hayapati ajali?
 
Yeah
Nashukuru umenikumbusha mkuu
Nakumbuka Madereva wa Kipindi ile Kiswele Kuna Rwambo, Yogi na Okalla, Ukienda Tawaqal yuko Giriki na ukija Special Coach unawakuta John Africa na Mapunda

Shabiby akajipendekeza kuleta chuma yake 🐼
 
Mabasi ni mabovu, dereva wa basi safari ndefu ni mmoja, traffic wanakusanya Chao na kwenda makwao, LATRA hawafuatilii mabasi!

Wabunge wawe wanapanda mabasi ya kwrnda kwenye majombo yao!
 
Jana nimefanya safari kutoka DAR -DODOMA Huko njiani nimeona sinema zinazochezwa na mabus ni hatari sana, huku barabarani kuna maisha mengine kabisaa. Traffic wa nchi hii wapo Kwaajili ya magari madogo tu
Juzi natoka Dodoma...basi linaendeshwa ovyo na speed kama zote....aisee nilimuona traffic nikamuita aisee amuonye dereva aisee...spendi ujinga mimi

Dereva na konda wake walimind lakin waliendesha kwa tahadhali kule mbele
 
Juzi natoka Dodoma...basi linaendeshwa ovyo na speed kama zote....aisee nilimuona traffic nikamuita aisee amuonye dereva aisee...spendi ujinga mimi

Dereva na konda wake walimind lakin waliendesha kwa tahadhali kule mbele
Mimi huwa nawaonya wakikaidi napiga simu LATRA kuwauliza kuwa muda huo hiyo gari ilitakiwa iwe imefika wapi na kwasasa imefika wapi kwa speed inayotakiwa? Then traffic akisogea karibu na gari namsomesha hadi anaona aibu.

Wahusika leteni vigezo vipya vya kuajiriwa madereva wa mabasi ya abiria ...kwasasa asilimia kubwa ni vichaa wasiyojali usalama wa abiria.
 
Poleni sana wafiwa na majeruhi mimi hapo mlima Simba huwa namwagika tu breki napigia kwenye lile geti la Polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…