Uchaguzi 2020 Biharamulo - Rusahunga Dkt. Magufuli aikacha Ngara, aelekea Kigoma

Ukitaka kuuza madawa ya kulevya ruksa ,

Ukitaka kuuza silaha nayo ruksa yaani wewe hata kuiba iba tu serikali itakulinda.

Hii kawadanganyeni ndege warukao angani. Hata watoto wadogo watawang'amua kuwa kweli nyie ni misukule!
 
Mjinga kama wewe huwa humu ni kuwa puuza
Mwulize jiwe kama atakwambia ni upuuzi mpuuzi wewe.

Hivi wewe ndiyo ulikuwa kwenye ule mfano namna ya ku ignore wapuuzi? Au yule alikuwa Soviet Union na siyo wewe?
 
Hiyo itakupa bei gani leo upate pesa ya kula
UNAZUNGUMZIAJE KUZOMEWA KWA MEKO? Kagera??MPAKA TBCCM KUKATA MATANGAZO???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eagle vipi WANAMZENGO wanasemaje??[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kumbe ni kweli mwalimu wao ni kipofu?
Sasa,hilo swali liliulizwa ni swali gani?

Liko nje ya mada,kajipange upya

Kama kawaida yao watambue buku 7 wenziwe kwenye list ya waliovutiwa mno na swali lake.

Kwa kweli kama walivyo wao, baba lao kutokea kwenye mdahalo ni ngumu mno kuliko kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano.

Ukweli mchungu. Ni weupe mno. Si wa ngozi lakini.
 
Yani wasafiri wanataka kuwahi kufanya shughuli zao za kuwapatia kipato wanawekwa pembeni kupisha msafara wa dikteta uchwala mmoja masaa zaidi ya matatu???
HATUMTAKI HUYU MTU!
 
Yani wasafiri wanataka kuwahi kufanya shughuli zao za kuwapatia kipato wanawekwa pembeni kupisha msafara wa dikteta uchwala mmoja masaa zaidi ya matatu???
HATUMTAKI HUYU MTU!
 
Ili tujue ukweli ungetuwekea ratiba inayoonyesha mgombea alitakiwa kufika eneo husika na hakufika. Au wewe ulihisi atafika kwasababu wewe umetaka afike.
Hivi wagombea wanatembelea maeneo yote kabisa ya nchi? Mbona muda wa kampeni utaisha hawajamaliza hizo safari.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanamsifu kwamba amejenga barabara nyingi sana ila nikiangalia barabara nyingi zipo pale alipoishia JK .hivi kweli hizo barabara nyingi alizojenga kazijenga nchi hii hii ya Tanzania?
 
Lisu huyu ninaemjua!! Ha ha ha, kweli tanzania nikubwa!! Lisu awe Rais? Ha ha ha ! Mhudumu ongeza grass.

Mkuu grass unazoongezewa ni za Arusha au za Tabora?

Kwa mwendo huu hala hala mkuu usije kuanza kusaula ukiwa bado kufika nyumbani?
 
Jamaa wanamsifu kwamba amejenga barabara nyingi sana ili nikiangalia barabara nyingi zipo pale alipoishia JK .hivi kweli hizo barabara nyingi alizojenga kazijenga nchi hii hii ya Tanzania?

Barabara anazopigia kelele zote ni za JK.

Za kwake nani asiyezijua kuanzia na ile pendwa ya pesa za ile Dec 9?

Amekuwa akifungua hata za kipindi cha JK. Kwa kweli haieleweki kujisifia huku na barabara anakutoa wapi?
 

Bandiko litakuwa limekugusa vilivyo hadi aya hii hukuweka kuiona wala kuielewa:

"Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo."

Majibu ya ulichoandika yako kwenye aya hiyo. Jiridhishe kuwa unashirikisha pia ubongo wako unaposoma.

Ni kwa sababu hiyo hiyo msajiliwa mwenzio kwenye ile timu pendwa, kwenye huu uzi aliona heri kujifariji:



Huyo ndiye winga machachari wa ile famous utopolo FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…