Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sipo mbali na wewe unayetaka twende kwa hoja.Okey sawa, mm sikatai. Ila jiulize kama ni suala la imani, kwann wenye imani ya wakati ule ni sahihi na wanaoamua kumuamini huyu isiwe sahihi? Si imani ya mtu?
Ukiwa unazungumzia maandiko ya kwenye biblia, usiyahusishe na mwili, kwani ile injili imekuja kutukomboa kiroho.Hivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?
Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kuoiga ounyeto ama ilikuaje?
Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?
Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
Alimuoa Maria yusufu akiwa na miaka 80, baada ya kumzaa mtoto haikupita muda mrefu yusufu akafariki, yule mama hakuwahi kuingiliwa na mwanaume milele
Kwa kipimo kipi serikali itafahamu kuwa roho ipo hatarini?Sipo mbali na wewe unayetaka twende kwa hoja.
Imani yoyote ikichochewa vichwani mwa watu hugeuka kuwa ni bhangi yenye madhara makubwa sana.
Hivyo Serikali inatakiwa kulinda roho na afya za watu wake.
Ni wapi imeandikwa kwamba jamaa alikua na miaka 80 na alifariki mapema, mapema ni mwaka gani huo?Alimuoa Maria yusufu akiwa na miaka 80, baada ya kumzaa mtoto haikupita muda mrefu yusufu akafariki, yule mama hakuwahi kuingiliwa na mwanaume milele
Kwahiyo camera ina macho ya rohoni ?Mpaka uwe na macho ya rohoni ndugu yangu hivi hivi huwezi kumuona [emoji1739][emoji1739]
Uwongo wa kiwango cha juu sanaAlimuoa Maria yusufu akiwa na miaka 80, baada ya kumzaa mtoto haikupita muda mrefu yusufu akafariki, yule mama hakuwahi kuingiliwa na mwanaume milele
Tokeo la Bikra Maria siyo show off, halitokei bila kuacha ujumbe.Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.
NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
Mwanga tu huo ulioakisiwa ,hakuna cha bikira Maria wala nini.Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.
NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
Waende Rwanda wakajifunze, watakuja na majibu namna ya kudhibiti vishoka wa dini.Kwa kipimo kipi serikali itafahamu kuwa roho ipo hatarini?
Haswaa, Joseph aliendelea kumtafuna Maria kama kawaida kwa kuwa Maria alikuwa ni mke wake halali wa ndoa.
Hata kabla ya Masihi kuzaliwa (wakati Maria akiwa mjamzito) huenda Joseph alikuwa anakula mzigo wake kama kawaida, maana ni haki na halali yake tena ni baraka.
Rwanda walichofanya ni kutaka watu waende shule kwanza kabla ya kuanzisha kanisa. Kuna kingine?Waende Rwanda wakajifunze, watakuja na majibu namna ya kudhibiti vishoka wa dini.
Bikira inatisha baada tu ya kupigwa miti.Huyo Mari mwenyewe ni mtu tu,anapat wapi nguvu ybkuonekana.Waafrika ni wapumbavu sana.Hivi mtu anaendelea kua bikira hata baada ya kuzaa?
Je mumewe Bwana Yusufu baada ya mke wake kuzaa aliendelea kupiga punyeto ama ilikuaje?
Miaka yote ya Ndoa Yusufu alikua anapiga tu punyeto ili mkewe aendelee kua bikira ama inakuaje?
Kama ndio hivyo basi ndoa ya Yusufu ni mojawapo ya ndoa ya mateso kuliko ndoa zote Duniani, imagine kama aliishi miaka 90, miaka yote anapiga tu punyeto.
Wamewataka bila kuchukua hatua?Rwanda walichofanya ni kutaka watu waende shule kwanza kabla ya kuanzisha kanisa. Kuna kingine?
Waliopendelea walienda shule kama sheria ya nchi yao inavyotakaWamewataka bila kuchukua hatua?
Na wahubiri makanjanja wamepelekwa wapi?
Undugu haupo kwenye kuzaliwa tumbo moja tu, kumbuka pia yusufu alikua na watoto na wajukuu pia kabla ya Mariam na yesu.Acha kukalili maliamu aliendelea kuzaa
Mathayo 13:55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?
Mathayo 13:56 Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?
Wajinga Ni Wengine Sana brotherAmeonekanaje live wakati kumuona mpaka uwe na macho ya rohoni. Au hujui maana ya live