Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

Huu upuzi utotelewe hapa Kuna sehemu gani imeandikwa bikira Maria alifufuka
 
Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
Pepo hilo, na wote wamwabuduo mwisho wao ni kuzimu
 
Kila mwanamke anakuwa bikira mpaka akiingiliwa au akizaa. Baada ya hapo hawi tena bikira!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Fala wewe
 
Ameonekanaje live wakati kumuona mpaka uwe na macho ya rohoni. Au hujui maana ya live
Nimejiuliza kama na camera iliyotumika kuchukua hiyo video ina macho ya rohoni pia
 
Just imagine kwa dunia ya leo mkeo humtafuni halafu anapata mimba ukimuuliza anasema ya roho mtakatifu[emoji1787][emoji1787]
 
Write your reply...Huo Ni upumbavu wa kiwango Cha juu sana
 
Wakenya kuna Yesu wao huko,kubaka mbuzi wamo,kukatana mapumbu wakauze wamo, kuwabaka mama zao wapo,kuua bibi zao wapike nyama wale wamo,mlima kilimanjaro wakwao sawa, baba kuoa binti yake sawa, leo hiyo ya bikra maria tufanye ni bonus tu
 
Mambo ya dini bwana 😂😂
Mimi namuamini Mungu, nazipenda dini lakini kamwe hazinipelekeshi. Pa kufaa akili inanisaidia. Siendi kibubusa.
 
Hakika mafuta na maji yashajulika katika kuamini mungu na kuchagua dini iliyosahihi hapa dunian kwa mwenye akili safi kabisa ya kufikiri.
Hakika Uislam ni neema kubwa sana sana kutoka kwa muumba wa mbingu na ardhi...na Mungu kila siku anabainisha usanii iliopo huko, hv hamzingatii jaman....
 
Hii Dini ina ufala mwingi sana. Nani anaijua Sura halisi ya huyo Bibi???

Hakuna dini ya maana kama ukristo,ukristo ukiwa wa kifala basi dini zote zinakua hazina maana tena.
 

Bikra maria hiyo ni sifa yake ya kuzaa kabla hajaingiliwa.
Wewe tunawezakukuita bikra lakini huwezi kuzaa bila kuingiliwa kwanza.

Ukiona unakereka kusikia bikra unawezamwita mama maria,wala sio kesi.
 
Siyo wote wanamfahamu Mama Bikira Maria, angalia unawapa taarifa watu wenye kuelewa nini kuhusu Mama wa Yesu.

Wakati mwingine mambo ya kiroho yaangaliwe deeply.
 
Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea.

NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona [emoji2956][emoji2956]
Kwani Kanisa Katoliki siku hizi lina MACHO YA ROHONI?
 
Hakuna dini ya maana kama ukristo,ukristo ukiwa wa kifala basi dini zote zinakua hazina maana tena.
kwahio nikweli bikra kaonekana?na unaamini ndio yeye?ukiristo niujinga.hivi ushawahi kuona waislamu wanasema tumemuona Fulani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…