Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Na hizo pesa hua hazijulikanaga zinaendeaga wapi...

Utasikia kesi za hujumi uchumi, matumizi mabaya ya ofisi...
 
Nampenda mama Sana Tu. Lakini wewe inaonesha upo kwenye kitengo cha propaganda kutangaza mazuri ya mama. Ujinga huo wa miluzi mingi ndio nyie machawa mnani bore. Let mama do her things wenyewe tunaompenda tutaona.
Sio mje na propaganda zenyu za uchawa pro max hapa mtaacha hata tunaempenda tumchukie Sasa. Actions speak louder than words zenu za pale Lumumba.
By the way this time around I'm happy I'm writing my opinion freely Lumumba nyie hamtaweza kunikata kucha sio km zile enzi zenu za buku Saba Saba. Sema I have impression kitengo chenyu cha buku Saba mshakirudisha kwa mama na mmepewa mje mumsifie sifie. This awamu hatutaki huo upuuzi wenyu.
 
Interesting. Kwenye uzi huu naona MATAGA na “wanyonge” ndio wamekuwa BAVICHA wapya!
 
Kwakweli walichofanya ni sasa hivi ni mfanyabiashara ambae alikuwa analipa lundo la kodi sasa analipa na Tozo juu

Mwananchi wa kawaida nae analipa Tozo
 
Hapo Mkuu Chama kitakuwaje bila makatibu kutembelea mashina?

Kumbuka Chama ni watu
 
We Màtaga toa ufafanuzi kuhusu :-

Kipindi Cha awamu zilizopita thamani ya shilingi yetu shidi ya us $ IL kuwa shilingi ngapi?
 
Huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

Nimnyenyekevu na mpole sana,

Hana majigambo kabisa,

Mungu akulinde Rais wetu

Watanzania tunakupenda sana,
Upendo wetu kwake umeshuka kwa kukubali waliomzunguka kumfunga waziri mkuu wetu Mbowe
 
bado sana hiyo pesa bajeti 36 t makusanyo kwa mwezi 1.9 t maana yake kama kila mwezi tutakusanya kiwango hicho ambacho ni impossible pia tutakuwa na gap la 11 t hizi pesa zote tutazitoa wapi ili tukamilishe kile tulichoiandaa kwa 2021-2022 possible tutakopa so tutegemee mikopo kutamalaki...
 
Labda kusanyo la b 900!
Kama anakusanya kodi kubwa angemalizia miradi yote ya JPM!
Hapa ni sifa ili agombee 25, na namhakikishia hata kwa usanii 25 hatoboi
Kura za bara ni za mtu wa bara
Watu milion 2 wa Zanzibar hawatapata kitu
 
Ni habari njema sana, imebaki kidogo sana kukamilisha lengo la 2.1 trl kwa mwezi alilopewa Waziri Mwigulu.

Ni meipenda sana taarifa, maana hapa ni NAMBA ndio zinazungumza na sio siasa. Hongera mkuu wa TRA TZ. Hongera wafanyakazi wote wa TRA TZ. Hongera Mh Rais SAMIA, Kazi iendelee!
 
We mama acha kujisifia mitandaoni, unatuchosha
 
Hizo 1.9T kakusanya kutoka wapi, au ni zile misaada alopewa na beberu baada ya kukubali chanjo?. Muda ni hakimu mwema, let's watch and see.
 
Kila mahali mnatukamua... Sishangai kukusanya hivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…