Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Dini ile nyingine ipi? Hebu nyoosha maneno ili tujue tunachangiaje
 
Uislamu unatambua na kuheshimu dini zote , ndiyo maana kwenye quran umetajwa uyahudi, wametajwa waabudu masanamu , ametajwa beelzebub aliyekuwa akiabudiwa na dini ya wababiloni, umetajwa ukristo na si kwamba kutambuliwa ukristo ni ishu kubwa hapana.

Hata ukisoma biblia utakuta imetaja dini nyenginezo pia hii haimaanishi hizo dini ni special au nini ..
Kikubwa je? Umepata ujumbe uliopo kwenye QURAN?
 
Ebu tuambie wakati Musa anaandika Taurati wakatoliki walikuwepo?
Wakatoliki hawakuwepo
Ila Wakatoliki ndo waliokueleza kuwa Musa aliandika Torati.
Bila Wakatoliki usingeijua hiyo Torati.
Labda ungeijua kupitia dini nyingine na si Ukristo. Dini nyingine zina Torati lkn inatofautiana na ya kwenye biblia iliyokusanywa na Wakatoliki walioamua Vitabu vya kuingiza kwenye biblia na vingine kuviacha.
 
Unaonesha ni kiasi gani ulivyo mpofu wa maadili mema.
Usilete kashfa kama mtoto uliyekulia kwenye danguro, jibu hoja.
Hoja ipi ijibiwe?
Wakati una qoute comment ya mtu uwe umefuatilia mazungumzo ya hao watu kwanza

Na wakati una wausia wawe na maadili wakati wewe mwenyewe hauna naona unatia kinyaa tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wakatoliki wameikuta Taurati watu wakiwa nayo na wameitunza, bila msaada wala nguvu ya wakatoliki, hivyo hoja yako ni mfu sanaaa , wayahudi ndio wenye vitabu hivi kwenye mioyo yao na kwenye maandishi, hawa ndio wa kupongezwa, maana hao wakatoliki wako wamepiga chabo kwa wayahudi
 
Ukishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Na jiwe lenyewe ni mwamba mgumu; na huu mwamba ni Petro, ambaye kanisa katoliki limejengwa juu yake!
 
Mimi nafikiri kanisa alilosema Yesu sio Katoliki, hili dhehebu lilianzishwa tu na watu wenye akili ili kufanya biashara. Petro alikuwa na mke na watoto, baba mtakatifu ana mke na watoto? Je Yesu alikuja kuanzisha siasa na biashara?
 
ukirisito nguzo yenu kubwa ni kuabudu masanamu kila kanisa lina sanamu ndanimo mpaka nje [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ukishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
hiyo ni kweli hili kanisa linaedena watu kuabudu sanamu kila asubuhi utembezwa msalaba wenye kinyago cha yesu na mama yake kisha ukiweka mezani na kukiomba huyo papa akibusu mungu wenu tikiwambia niyiyi ni washirikina mnapinga [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
huyo hapo papa akiabudu mungu wake[emoji116]
 
Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
huyo papa akimuabudu mungu wenu
 
Ukatoliki utaanzisha kitu kinachowataka kuwacha imami yao ?

Qurani inasema Yesu si Mungu

Qurani inasema Yesu Hakufa wala kusulubiwa

Qurani inakataa utatu , Trinity


Jee wakatoliki wanakubali haya ????

Kidogo utumie akili , usipakazie
Quran haina jina YESU na wala haijawahi kumtaja Yesu.

Nyie wafuasi wa Issa sijui kwa nini huwa mnakuwaga wagumu kuelewa hili.
 
wakirisito nyote mungu wenu huyo hapo chini akiabudiwa na rais wetu mpendwa jembe letu la wakati uliopita msibaguane
 
ebu tupe chanzo cha vita via badir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…