25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
huyo mshenzi tu kwanza ajui uisilamu uliazia wapi wakati gani chini ya nani,anacho jua ni kuabudu sanamu tuCatholic ilizaaje Uislam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo mshenzi tu kwanza ajui uisilamu uliazia wapi wakati gani chini ya nani,anacho jua ni kuabudu sanamu tuCatholic ilizaaje Uislam?
Kama papa aliomba radhi Alitambua /walitambua kosa bila shaka.Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
fafanua uisilamu ulivio zaliwa na ukirisitoKwa kuuwezesha kutumia maandiko yake torati na mengine kujihalalisha. Angalia nani alimuibua Adam na Eva aka Hawa kwa waislam. Kimsingi, ukristo ndiye baba na mama wa uislam. Na kimsingi, quran ni biblia iliyoandikwa kishairi. So simpo.
thibitisha kwa maandiko tena yatoke kwenye qur,an au biblia yakoHaya Ni maoni yako,,,,au kwa mujibu wa vitabu?
thibitisha kwa maandiko tena yatoke kwenye qur,an au biblia yakoHaya Ni maoni yako,,,,au kwa mujibu wa vitabu?
hii nini kama sio mungu wenuQuran haina jina YESU na wala haijawahi kumtaja Yesu.
Nyie wafuasi wa Issa sijui kwa nini huwa mnakuwaga wagumu kuelewa hili.
hii ndio nguzo ya ukirisito bila sanamu hakuna ukirisitoHaya tusali kwa pamoja "Ee Muumba wa vyote fungua mioyo yetu ili tujue kati ya haya madhehebu mpinga Kristu ni nani" Aaamen.
Mimi nitakujibu... twende one on one.Kwa hivyo huna ushahidi, wewe si dini
Jibu swali
Kwani ukristo ni dini?
Hiyo picha haipo kwenye Quran.hii nini kama sio mungu wenuView attachment 2511511
Quran haina jina YESU na wala haijawahi kumtaja Yesu.
Nyie wafuasi wa Issa sijui kwa nini huwa mnakuwaga wagumu kuelewa hili.
Ukristo ni dini , kwa ushahidi upi ?Mimi nitakujibu... twende one on one.
NDIO, Ukristo ni Dini.
Baada ya hapo, Mimi nina swali moja tu kwako. DINI NI NINI?
tena akupe andiko kutoka kwenye kitabu chake linalo sema ukiristo diniUkristo ni dini , kwa ushahidi upi ?
Quran haina jina YESU na wala haijawahi kumtaja Yesu.
Nyie wafuasi wa Issa sijui kwa nini huwa mnakuwaga wagumu kuelewa hili.
wewe usiwe mshamba yesu ndio huyo issa mfano qu,aan inamuita mtu wakwanza a,adamu nayi hata nyiyi mnatumia jina hilo hali yakua ni la kiarabuHiyo picha haipo kwenye Quran.
Narudia tena: Quran haina jina Yesu(kwa lugha yoyote ile) na wala haimtaji Yesu wa kwenye Biblia.
Huwa nashangaa sana.Hivi Isa Ana shida gani mpaka inabidi mkimtaja lazima mumuegemeze kwa Yesu?
Mbona wakristo hawamuegemezi Yesu kwa Isa wenu?
Hii ni moja ya sababu inayofanya niuone uislam kama dini dhaifu inayojaribu kujisimamiasha kupitia Ukristo.
Yaani tuwaseme Catholic kwa kuingiza mambo maovu kanisani, tujiunge kwa mtoto wakatoliki aliyepindua kabisa maandiko na kukana wokovu thahiri. Acha hizo.Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s.alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufuna wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutokakoo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:
A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shakamitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).
B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).
Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,
Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:
1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema: “Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutanowa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.
Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini? Karibuni, Muhammad s.a.w.mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili.
Unasema kuwa Isa ndio yesu.wewe usiwe mshamba yesu ndio huyo issa mfano qu,aan inamuita mtu wakwanza a,adamu nayi hata nyiyi mnatumia jina hilo hali yakua ni la kiarabu
nisiondoke bila kukuwekea picha ya kuongozi wenu papa akimuabudu mungu wenu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2511650
umechanganyikiwa kijanaKanisa katoliki ndio lililoua ukristo wa kweli duniani. Katoliki liligeuzwa kuwa dini ya Nchi, wengi wasiowakatoliki waliuwawa. Middle east yote ilikua christian land, Morocco, Algeria na Egypt. Zilikua christian countries. Catholic chini ya utawala wakiimula uliua na kuumiza wengi. Ndipo ulipotokea uislamu kama mkombozi wa mateso ya Catholics. Ukristo ulikuwepo,kabla ya ukatoliki na ulivurugwa na tawala zilizo kuwa chini ya Catholic. Wanakuja watu kama Martin Luther n.k kuuamusha ukristo iliuwawa na Catholic. Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
Nakunukuu[emoji116]Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s.alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufuna wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutokakoo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba: